kimataifa

  1. Mkutano wa Bodi ya Kimataifa ya EITI, Arusha

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, katika ufunguzi wa Mkutano wa 62 wa Bodi ya Kimataifa ya Uhamasishaji wa Uwazi na Uwajibikaji katika Usimamizi wa Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (EITI)...
  2. Bashungwa amwakilisha Biteko, ufunguzi wa Mkutano wa Bodi ya Kimataifa ya EITI

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, katika ufunguzi wa Mkutano wa 62 wa Bodi ya Kimataifa ya Uhamasishaji wa Uwazi na Uwajibikaji katika Usimamizi wa Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (EITI)...
  3. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliye

    Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliyefika kujitambulisha katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam baada...
  4. Video: Siku ya wanawake kimataifa, Wanawake madereva wa magari na mitambo wakionesha umahiri wao mbele ya Rais Samia

    Tazama Wanawake madereva wa magari na mitambo walivyoipamba Siku ya Kimataifa ya Wanawake Jijini Arusha mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  5. Napinga wazo la Muziki wa Singeli kusambazwa duniani

    Habari, Wiki kadhaa zilizopita alisikika Waziri wa Utamaduni na michezo Profesa Kabudi akisema kwamba serikali kupitia wizara yake ina mpango wa kuupeleka muziki wa singeli Kimataifa. Mimi binafsi napinga na ninakataa wazo hili kwa sababu zifuatazo; 1.Ni muziki unaotumia lugha chafu na unatoa...
  6. K

    Rais Samia Suluhu Hassan ni Kielelezo cha Uongozi wa kina Mama Duniani

    Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
  7. Ijue mgogoro ya kimataifa kuanzia miaka ya 1920

    Wadau kwema? Ni kawaida kwa taifa moja kuwa na mgogoro na taifa lingine, kama tu jinsi mtu na mtu wanaweza kuwa na migogoro baina yao. Migogoro hii huibuka pale tu ambapo kuna mwingiliano wa kimaslahi baina yao. Sasa basi baada ya vita ya kwanza ya dunia kufikia tamati mwaka wa 1918, kulikuwa...
  8. Mahakama ya Kimataifa ICC: Uchunguzi dhidi ya Uhalifu wa kivita DRC unaendelea

    Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika...
  9. Kijana jitahidi ujifunze angalau lugha mbili za kimataifa

    Najua sisi wabongo ni wazito mno kujifunza lugha za watu zaidi ya kiswahili na kiingereza ila niwahimize vijana kujitahidi kujua kiingereza na lugha nyingine moja ya kimataifa. Kwa mfanyabiashara/mjasiriamali makini lazima atajua umuhimu wa hiki ninachokisema. Kwa Mtanzania jitahidi ujue...
  10. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran ya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025.
  11. Profesa J atafurahi kuona Singeli inaenda kimataifa

    msikilize hapa akiwa na Sholo Mwamba.
  12. TANROADS Yapokea Tuzo ya Kimataifa Kutokana na Mchango Wake wa Kuboresha Usalama wa Barabara (Safer Road)

    TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD) Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea tuzo ya heshima katika mashindano ya kimataifa ya usalama wa barabara, iRAP Gary Liddle...
  13. X

    Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Ukraine na Ulaya wamejifunza kwa uchungu sana, Marekani yawakataa

    Mwaka 1968 aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje ya Marekani Henry Kissinger alisema: "Inaweza kuwa hatari kuwa adui wa Marekani, lakini kuwa rafiki wa Marekani ni majanga." – Henry Kissinger Na Marekani imethibitisha kuwa Kissinger alikuwa sahihi. Mara kwa mara, Marekani imeonyesha kuwa si...
  14. Tuweke rekodi katika kumbukumbu Rais Samia ameirejesha Diplomasia ya Tanzania Kimataifa!

    Wakati anaingia madarakani ilionekana kama anakirupuka hivi yaani anafungua nchi. Wengi tusingeweza kuamini kama angeonesha consistence katika sera yake ya mambo ya nje...yaani kufungua fursa kwa watanzania kuelekea mchangamano wa kidunia. Inawezekana wasaidizi waliopewa kazi hii awali...
  15. Dodoma: Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu yaridhishwa na ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa msalato

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato unaendelea kwa kasi, huku sehemu ya njia ya kuruka na kutua ndege (runway) ikiwa imefikia asilimia 90 ya utekelezaji. Hii ni hatua muhimu kuelekea kukamilika kwa mradi huu mkubwa wa miundombinu unaotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya...
  16. Mikutano mikubwa ya kimataifa Tanzania lazima ifanyikie Arusha na Dar tu?

    Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
  17. USA sio Mungu wakikosea tuwapinge, kwenye hili nasimama na Mahakama ya Kimataifa ya ICC

    Trump amewawekea vikwazo vya kifedha na Visa kwa maafisa wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC baada ya mahakama hiyo kutoa hati ya kukamatwa kwa viongozi wa juu wa Israel Israel na washirika wengine wa USA. Mtakumbuka kwamba mwaka jana 2024 mahakama hiyo ya kimataifa ilitoa hati kukamatwa...
  18. FEBRUARI 6: Siku ya Kimataifa ya Kupiga Ukeketaji

    MAELEZO MAFUPI (DONDOO) KUHUSU UKEKETAJI NA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUTOKOMEZA UKEKETAJI Maana ya Ukeketaji Ukeketaji ni kitendo cha kimila kinachotekelezwa na baadhi ya jamii ambapo sehemu ya nje ya via vya uzazi vya mwanamke huondolewa, huchanjwa, hukatwa ama huharibiwa kabisa...
  19. Mikoa ya Manyara na Arusha ndiyo inayoongoza kwa kiwango kikubwa cha ukeketaji kwa 43%

    KUH; MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKEKETAJI DHIDI YA MWANAMKE NA MTOTO WA KIKE TAREHE 6 FEBRUARI, 2025 Dar es Salaam, 02 Februari, 2025 Ndugu wanahabari, tarehe 6 Februari, 2025 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga ukeketaji dhidi ya mwanamke na mtoto wa...
  20. Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"

    Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amemjibu Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, kufuatia tuhuma alizozitoa za Simba kubebwa na waamuzi katika Ligi Kuu. Kupitia ujumbe wake, Ahmed; Soma: Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, alitoa tuhuma kali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…