Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF.
Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam.
Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
Tukiachana na kombe la shirikisho ambalo ndio Yanga wamewahi kupata mafanikio makubwa ya kufungwa fainali klabu hii ya Yanga haijawahi kuwa na mafanikio wala ubora wowote ule kimataifa
Yanga ndani ya miaka hii mitano imecheza klabu bingwa mara mbili na katika misimu yote Yanga imeshindwa...
Inasikitisha sana kuona aliyekuwa kijana ambaye tulitegemea awe mzalendo ndiye alikuwa akichangisha fedha ili kuhudumia kampeni chafu ya kumchafua Magufuli kimataifa.
Kukiri kwake kunaongeza chuki dhidi yake na washirika wake kutoka kwa jamii ya watanzania iliyompenda John Pombe Magifuli...
Leo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni.
Msimu huu kuna mambo kadhaa yanafanana kati ya Simba na Yanga katika mechi za kimataifa:
1. Simba na Yanga zote zilicheza ugenini...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania imejipanga kutumia balozi zake zote zilizopo katika mataifa mbalimbali duniani, ili kuzifikia fursa za Kimataifa zilizopo katika mchezo wa Ngumi na kuwezesha mchezo huo kukua Kimataifa...
Yanga inavyocheza ligi kuu unaiona yanga Bora sana.
Nimara chache wanapata matokeo dhaifu lakini ukweli ni kuwa Yanga ndio wafalme wa ligi kuu kwa misimu ya hivi karibuni.
Tatizo ni pale inapocheza kimataifa hasa msimu huu wa mashindano.
Kulikoni Yanga?
Inasemekana chimbuko la yote hayo ni joto la uchaguzi wa ndani ya Chama Cha ha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ilogawanyika, na kutokuwapo kabisa uwezekano wa wengine kushinda nafasi hiyo.
Bado haijajulikana ni zipi hasa sababu za hali hiyo ambayo inayodaiwa kuchochewa na influence na access...
Kibu hajaimbwa sana kwenye ligi ya NBC..! Wachambuzi hawamuoni ama wanajifanya hawamuoni.
' Role ' anayoivaa kwenye Mechi Muhimu za Kimaamuzi za Kimataifa ndizo zinazomfanya awe 'distinct'..!
Rejea Mechi Ya Al Ahly Tripoli alivyoilainisha Mechi kwa Bao lake Maridadi La Tick taka .! Isingekuwa...
Sina haja na salamu.
Hakuna asiyejua kama mimi ni Shabiki kindakindaki ya YANGA SC.
1.Yanga yangu kimataifa inapwaya sana.Jana tumezubaa mpira hata haujavuka mstari refa akaita kati wachezaji plus Captain wamezubaa tu kama yale yale ya Mamelod hakuna hata kumlalamikia refa.
Kama umeona game...
Waziri Kombo awapa siri 3 za mafanikio wahitimu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewatunuku vyeti wahitimu 893 wa ngazi mbalimbali za masomo katika Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Ifike mahali kama Taifa tusikubali kila kifo kipite hivi hivi au kuacha mambo yaende hivihivi kana kwamba hakuna kilichotokea vile au kusema ni Mapenzi ya Mungu au kuona ni kawaida.Mungu ametupatia akili kwa ajili ya kufikiri na kufanya tafakari kwa msaada wake Mungu...
Wakuu habari,
Ukitafakari kwa umakini kabisa utaona kati yabHersi au GSM kuna mmoja wapo atagombea ubunge mwaka 2025, Sifa ya kwanza ya kuwa mbunge hapa bongo ni kuwa karibubu na viongozi wa CCM, kuwa maarufu, kuwa na mtaji wa watu.
Hivi karibuni timu yetu imekuwa ikicheza na akili za...
Na Mwandishi Wetu.
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali ya Awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha miundombinu ili sekta ya Biashara iwe na ushindani wenye viwango vya Kitaifa na Kimataifa.
Waziri Jafo ameyasema hayo...
Kulingana na RIPOTI KUTOKA OFFICE OF HIGH COMMISSIONER FOR HUMAN RIGHTS (OHCHR)ambayo ni ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na kukuza na kulinda haki za binadamu duniani ikiwa inasimamia utekelezaji wa mkataba wa kimataifa wa haki za binadamu na na kusaidia nchi wanachama katika kuimarisha...
Nchi ndogo kama Rwanda mikakati yake kutafuta maendeleo inaweza hata kumstaajabisha mtu. Unakuta wako kila umoja wa ushirikiano lakini ni kwa ajili ya vigogo wao kupata ulaji. Wasipopata mambo yanakua sio mazuri. Hebu fikiri, wapo commonwealth, na ufaransa ilipowafuatilia ili warudi umoja wa...
Si mara moja wala mara mbili au mara 3 ambapo jeshi la polisi limeua raia wakiwa wanashikiliwa, yaani wakiwa mikononi mwao, tena mara kadhaa raia hao wakijulikana ni raia wema. Na haya hayajaanza leo bali ni miaka mingi, na yanaendelea hadi leo.
Tuna kumbukumbu mbaya ya siku za nyuma, jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.