kimataifa

  1. Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Walinda amani wa Tanzania kurejeshwa nyumbani kutokana na madai ya utovu wa nidhamu CAR 9 Juni 2023Haki za binadamu Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) chenye makao yake makuu mjini Bangui, kimetangaza uamuzi wa Sekretarieti, kuwarudisha...
  2. Waziri Tabia Mwita Azinduza Tunzo za Kimataifa za Muziki Zanzibar

    Waziri wa habari vijana utamaduni na michezo Mh. Tabia Maulid Mwita, amesema Serikali itaendelea kusimamia sanaa ya Zanzibar katika kuimarisha miundombinu itakayowawezesha wasanii kuzalisha kazi zao katika mazingira mazuri. Akizungumza katika uzinduzi wa tunzo ya Zanzibar International Music...
  3. Uchambuzi wa point za Simba kwa miaka mitano iliyopita kimataifa na harakati za Yanga kumpita

    Mimi huwa napenda sana namba na hesabu Kwani hazidanganyi, haziongopi wala hazipendelei Jinsi Simba alivyojizolea point 35 katika msimamo wa vilabu bora Afrika 1) Msimu wa 2018/2019 aliishia robo fainali Klabu Bingwa hivyo akajizolea point zake 3 2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0 Sijui...
  4. K

    Baada ya Dkt. Salim, Dkt.Tulia atairudisha nchi katika unguli wa diplomasia ya kimataifa. Tumuombee, anaweza kuwa Katibu mkuu ajaye wa UN

    Kwanza, ninampongeza sana Spika Dkt.Tulia kwa ushindi wa kishindo kama Rais wa IPU, kama Taifa linajivunia juhudi na jitihada zake za kuitangaza nchi kimataifa. Spika Tulia au tumuite Rais wa IPU ni jasiri na mpambanaji na historia yake inajieleza vema. Kwa ufupi ni mwanamke wa shoka na yuko...
  5. Najib Mikati, Waziri Mkuu wa Lebanon: Jeshi la Lebanon ni nguzo ya muundo wa taifa

    Kaimu waziri mkuu wa Lebanon, Najib Mikati hapo jana alifanya ziara ya kushtukiza kusini ya nchi yake na mpakani na Israel.Katika ziara hiyo aliambatana na kamanda mkuu wa majeshi ya nchi hiyo, Joseph Auon. Katika ziara hiyo alikagua vikosi vya UNIFIL na kusema alifika eneo hilo pendwa la...
  6. Kimataifa takwimu zinambeba sana Rais Samia. Awe makini ili kuwepo na consistence

    Ukisoma vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi hali inaonekana nzuri sana kwa Tanzania chini ya Rais Samia. Wawekezaji wanaonekana kuwa na imani nae sana na hadi wanapohojiwa na makampuni makubwa wanasema wazi wako tayari kuwekeza Tanzania zaidi ya maeneo mengine. Kwenye utalii nako si...
  7. B

    Wasanii wa Tanzania mnakwama wapi kwenda kimataifa? Jifunzeni kwa Diamond Platinum

    Mwaka 2010, jina la la Diamond Platinum lilichomoza kwenye vyombo vingi vya burudani kwa wimbo wake uliokuwa mkali kipindi hicho "Kamwambie". Ilimuchukua Diamond miaka 4 kupambana kwa kuimba sana nyimbo nzuri mpaka 2014 alipopata collabo kubwa ya kimataifa na Davido kwa wimbo wake "number one...
  8. Unafiki na chuki zinadhihirika katika migogoro ya kimataifa

    Moja kwa moja. Nimeona nije na mada hii baada ya kuona huu uzi leo Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa! nikakuta za comments mbalimbali. Nije katika hoja, kwamba mnasema football haipaswi kuchanganywa na siasa na mambo mengine kinyume cha...
  9. Ni ipi sera ya ITV kuhusu habari za kimataifa?

    Wakuu habarini za jioni? Nimekuwa nikufuatilia hiki kituo cha televisheni kwa muda mrefu ila sikuwahi kuwaona wakiwa na habari za kimataifa nje ya East na Central Africa. Naona siku za karibuni wamekuwa wakiturushia matukio ya kinachoendelea Gaza katika habari yao ya saa 2 usiku, je huu ndo...
  10. R

    Ni Waziri gani wa fedha anaeongoza kwa kukopa Mashirika ya Kimataifa tangu tupate uhuru?

    Ninaomba kufahamu Waziri wa Fedha aliyewahi kukopa sana toka tupate uhuru. Tupate pia na historia ya Waziri wa Fedha aliyekopa kidogo sana. Tufahamu kwanini huyo aliyekopa sana alikubaliwa akaaminiwa akakopeshwa sana, na huyu aliyekopa kidogo alitumia mbinu zipo kuendesha serikali na miradi ya...
  11. Mbali na simu kuwa na bei nafuu soko la kimataifa, nchi zinazoendelea bado simu ni gharama

    Kati ya vifaa vyote vinavyopatikana na uwezo wa mtandao, simu za mkononi kwa ujumla ndizo zenye bei nafuu Zaidi ukilinganisha na laptop nk. Utafiti uliofanywa Septemba 2021, ulithibitisha kuwa simu za mkononi ni zana muhimu zinazoweza kutumika kwa mtandao, watumiaji wa simu za mkononi waliripoti...
  12. B

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango afungua Mkutano wa Kimataifa wa Korosho Dar

    12 October 2023 https://m.youtube.com/watch?v=2Fv1zCpiHmU Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Kilimo hapa nchini kufanikisha lengo na Wizara hiyo la kuacha kuuza Korosho ghafi nje ya nchi ifikapo mwaka 2026. Makamu wa Rais amesema...
  13. R

    PhD za heshima kwa viongozi wetu Tanzania: Je, wana sifa za kimataifa?

    Sifa za kupata degree hizo za heshina (Honorary PhD) zinaweza kutofautiana, lakini katika viwango vya kimataifa/dunia lazima kuna na minimum qualification ili mtu yeyote aweze kupata tuzo hiyo. Baadhi yake ni hizi kwa msaada wa kutoka website mbalimbali. Ingawa hizi siyo exaustive, lakini kwa...
  14. Waziri Dkt. Ndumbaro: Mikutano ya Kimataifa Inayofanyika Nchini ni Fursa Kukuza Kiswahili

    WAZIRI DKT. NDUMBARO: MIKUTANO YA KIMATAIFA INAYOFANYIKA NCHINI NI FURSA YA KUTANGAZA KISWAHILI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema mikutano ya Kimataifa inayofanyika hapa nchini ni fursa ya kutangaza lugha adhimu ya Kiswahili ambayo ni mojawapo ya Lugha Rasmi...
  15. Sina Uongozi thabiti, Kocha mahiri na Kikosi cha Kushindana kweli Kimataifa period

    Asante kwa Jini letu Kumchanganya Beki ili aone kuwa anaokoa kumbe anajifunga Mwenyewe vinginevyo leo ilikuwa ni 'Kuchapana Bakora na Kutimuana Day' tu na hakika tungeumizana Mbagala.
  16. Kulikoni tena zile Tano Tano za katika Ligi Kuu na Kimataifa zimepungua na sasa ni mwendo wa Moko Moko tu kote kote?

    Taratibu sasa Watu wanaanza Kumsoma Kocha wenu ambaye kwa 80% anatembelea Nyota ya aliyekuwa Kocha wenu wenye Hasira na ambaye akihojiwa anachanganya Kifaransa, Kiswahili, Kindengereko na Kiingereza.
  17. Septemba 30, Siku ya Kimataifa ya Tafsiri ya Lugha

    Siku ya Kimataifa ya Tafsiri huadhimishwa Septemba 30 kila mwaka ikiwa na lengo la kuwaenzi Wataalamu wa Lugha, kuyaleta Mataifa Pamoja, Kuwezesha Mazungumzo, Maelewano na Ushirikiano, Kuchangia Maendeleo na Kuimarisha Amani na Usalama Duniani. Mei 24, 2017, Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa...
  18. L

    Japan kumwaga maji taka ya nyukilia baharini kwasababisha hasira kubwa ya jamii ya kimataifa

    Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan imetangaza kuwa imemaliza awamu ya kwanza ya kumwaga maji taka ya nyuklia baharini, na awamu ya pili inatarajiwa kuanza hivi karibuni. Tangu Japan ilipoanza kumwaga maji taka ya nyukilia baharini, kitendo hiki kimesababisha hasira kubwa ya jamii ya kimataifa...
  19. Septemba 21, Siku ya Kimataifa ya Amani

    Kila ifikapo Septemba 21 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Amani (IDP), siku iliyotengwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwaajili ya kuimarisha Maadili ya Amani ikiwemo kusitisha Mapigano yote Duniani kwa angalau Saa 24 Kila Mtu anakumbushwa kuchukua hatua kwa Kutambua...
  20. R

    Ruto kupeleka M-Pesa Kimataifa, Safaricom na Apple kushirikiana M-Pesa ipatikane duniani

    Safaricom inafanya mashirikiano na kampuni ya Apple kuiunganisha M-Pesa na PayPal ili kuongeza wigo wa shughuli za M-Pesa kimataifa. Ruto asema wana nia ya kuzitumia fursa zilizoletwa na kampuni za Microsoft, Intel, IDM, Oracle na Google vizuri ili kuboresha uwezo wao katika mambo mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…