Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika.
Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan.
Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
Umoja wa Afrika umekuwa mwanachama rasmi wa kundi la G20, baada ya kilio chake cha muda mrefu cha kutaka kuwa na sauti kwenye majukwaa ya kisiasa na uchumi ya kimataifa. Tangu kundi hilo lilipoanzishwa mwaka 1999, likiwa na nchi wanachama 19 + Umoja wa Ulaya, wakati wote mambo yanayohusu mambo...
Yaani kabisa GENTAMYCINE niishangilie Yanga SC nisiyoipenda kuliko hata Shetani Lucifer na nizishangilie Yanga B Timu za Singida Fountain Gate FC na Azam FC?
Waziri Damas Ndumbaro ( ambaye nakujua ni mwana Simba SC lia lia kama alivyo Naibu wako Khamis Mwinjuma ) acha Kukurupuka katika hili na...
Ndugu wanajukwaa Mimi ni mgeni, nikikosea mnirekebishe.
Wakuu katika pitapita yangu nikakutana na taarifa kupitia platform za kimataifa. Je, kama taifa tunanufaika vipi na taarifa kama hii? Je tatizo lipo wapi kati ya viongozi wetu waliojisaahu ama upinzani unaosaidia kumulika maovu ya serikali...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 2023) Nairobi- Kenya tarehe 05 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Wakuu wa Nchi na Serikali...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuiunga mkono Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara mwaka 2030 (EXPO 2030).
Ahadi hiyo imeelezwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo alipoelezea...
Tofauti na wengi wanaoona ,uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu umekuja kufuatia mamlaka kutomuamini Waziri Mkuu lakini mtazamo huo upo tofauti na mtazamo wangu.
Kwa mtazamo wangu, mamlaka imemuamini sana Waziri mkuu na uteuzi huu una lengo la kumuamini zaidi kwa majukumu makubwa ya kimataifa.
Sote...
Mkutano huu unafanyika kwenye Ukumbi wa Ikulu ya Magogoni Dar es Salaam ukishirikisha Wadau mbalimbali wa Kilimo, leo Jumapili Septemba 3, 2023.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Viongozi pamoja na Wahariri kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na...
Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS umeanza tarehe 22 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Huu ni mkutano wa kwanza wa uso kwa uso wa viongozi wa BRICS katika kipindi cha miaka mitatu, na pia ni mara ya tatu kwa mkutano kama huo kufanyika tena barani Afrika baada ya miaka mitano, jambo ambalo...
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Jana baada ya ku-file maombi ya kulitaka jeshi la Polisi kuwapeleka Dr. Slaa na wenzake mahakamani ambapo leo tungepangiwa jaji atakayesikiliza maombi yetu na kupewa wito wa mahakama (Summons) ili kuwaita wajibu maombi yetu .
Mimi nilisafiri kurudi Dar kwa ndege...
Salaam!
Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram.
Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri.
Asante.
Nimejaribu kufuatilia trend ya kupanda kwa dollar inshort inasikitisha na sijui tunaelekea wapi.... Wakubwa fedha zao nyingi zipo interms of dollars ko wanazidi kufurahia tu.
Na pale awamu mmoja ya uongozi inapoingia na nyingine kutoka kuna uchakachuaji mkubwa sana wa kupanda kwa dollar...
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania
Mkataba huo utaruhusu...
bandari
binadamu
haki za binadamu
human
human rights
human rights watch
kimataifa
kukamata
mkataba
mkataba wa bandari
nchini
serikali
serikali ya tanzania
tanzania
ubinafsishaji
wakosoaji
wapinzani
watch
Uwanja wa hadhi ya kimataifa, haujapata ugeni wowote wa kimataifa tangu Mzee wetu JPM afariki mwaka 2021. Hakuna watalii Wala tukio lolote la kimataifa.
Kwa nini ulijengwa kwa hadhi ya kimataifa na mataifa hayafiki hapo uwanjani?
Au walijengewa watu wa mataifa(wakristo watanielewa)
Akizungumza katika tamasha la Simba Day, Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa ahadi yake ya kutoa motisha kwa vilabu vinavyowakilisha Tanzania Kimataifa inaendelea
"Ahadi yangu ya kununua magoli kwa watakaofanya vizuri kimataifa iko palepale, nendeni mkatuletee ushindi."
Lagos, Nigeria. Tarehe 1 Agosti 2023: Taasisi kubwa zaidi ya fedha nchini, Benki ya CRDB imenyakua tuzo nne za kimataifa za umahiri katika ugavi zijulikanazo kama Africa Procurement and Supply Chain Awards (APSCA) 2023 jijini Lagos nchini Nigeria.
Benki yenyewe imeshinda tuzo mbili huku...
Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!
Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
Chuma hiki hapa kimeonekana kimetua Oman jana...
Kwanza kabisa ili kuweza kuelewa dhana hii kwa ufasaha, ni LAZIMA upate fursa japo kwa uchache kusoma nyaraka zifuatazo
1. Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977(The Constitution of the United Republic of Tanzania,1977)
2. Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, toleo 2010(...
Kuna mchezo Mara nyingi hufanyika Tanzania na Duniani kwa ujumla ambapo mawakili wa mshitakiwa kuchukua rushwa kutoka kwa malalamikaji.
Huu mfululizo wa kesi kushindwa tena zenye Maslahi mapana kabisa ya nchi ni madeal ya watu?
Hakuna hata kesi Moja tumeshinda kesi zote ambazo Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.