Wakuu
Kama mada ilivyopandishwa hapo juu, yafuatayo ni masuala hatari sana kuyakabidhi kwa wageni kukodi, kubinafisisha au kuuza kwao maana yanahatarisha usalama wa nchi na uchumi wake wa ndani na nje
1. Usafiri wa anga
2. Usafiri wa maji wa nchi kutoka nchi moja au bara kwenda kwingine
3...
Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court:
1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
ipo hivi nisiwachoshe kihivyo..
simba ni timu kubwa sana Africa kwa sasa hata hivyo kwa sasa timu hii inakabiliwa na changamoto ya kuwa na wachezaji walio chini ya kiwango huu ni ushauri wangu wa jumla.
tujifunze kutoka yanga tusione aibu wenzetu wamefanya maajabu makubwa kwenye mashindano ya...
WADAU WA MAONESHO YA 47 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (DITF) MAARUFU KAMA SABASABA WAMESEMA MAONESHO YA MWAKA 2023 NI YA KIPEKEE - KIONJO CHA SABASABA EXPO VILLAGE
Wadau wa Maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (DITF) maarufu kama Sabasaba wamesema maonyesho ya mwaka huu ni ya kipekee kwa kuwa...
Utangulizi
Mpira wa miguu ni mchezo maarufu na wa kusisimua unaounganisha tamaduni na mataifa. Timu ya taifa ya Mpira wa miguu inaweza kutumika kama kichocheo cha kukuza fahari na mshikamano miongoni mwa raia wa nchi (Kielelezo 1). Hivyo, ni muhimu sana kwa serikali kuweka msingi bora kwa vijana...
Mfano Yanga kuingia tu Fainali ina uhakika wa dola lake nane. Ikichukua ubingwa itakunja dola milioni mbili. Simba kuingia robo Fainali ya Champions League walikunja dola mia kadhaa.
Pesa hizi zinakatwa kodi?
Wiki hii ni wiki ya mashindano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu ikiwa ni hatua ya nusu fainali. Kama timu yako haijafanikiwa kufika hatua hii kwa msimu huu basi pole na kusubiria kujipanga kwa badae. Upande wa ulaya ni mwendo wa nusu fainali na huku Africa ni mwendo wa nusu fainali. Wiki ya...
Prof. Kitila Mkumbo anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara.
Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
Wakati Mazuzu na Washamba wakifurahia Kudekezwa kwa sababu ya Kipumbavu ya kuwapa nafasi ya Kujiandaa wenye Akili Kusini mwa Afrika wanaendelea Kukipiga huko Kwao katika Mechi zao za Ligi na wamekataa SAFA Kuwadekeza kama ambavyo TFF inadekeza Majuha Kwingineko.
Halafu mkipigwa Nje Ndani...
Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwali linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF.
Nadhani jedwali hili litatupa picha kamili ya mafanikio ya timu hizi...
GENTAMYCINE nataka Wachezaji wote wapya wa Kigeni watakaosajiliwa na Simba SC kwa Msimu ujao wawe na Sifa Kuu hizi zifuatazo za Mchezaji Henock Inonga.....
1. Kujiamini mno Uwanjani
2. Uwezo mkubwa sana
3. Control ya uhakika muda wote
4. Akili nyingi Uwanjani
5. Mwenye Ari ya Upambanaji
6...
Ingawa dola ndiyo sarafu kuu katika biashara ya kimataifa duniani kote, vita vya Urusi na Ukraine vinaashiria hali mpya. Hiyo ni, China na Urusi zimekuwa zikifanya kazi katika kudhoofisha utawala wa dola ya Marekani.
Vikwazo dhidi ya Urusi kutoka Marekani na Umoja wa Ulaya vimekuwa na athari...
Katika siku za hivi karibuni viongozi wa nchi za magharibi wamekuwa wakifanya ziara kadhaa nchini China, wakitafuta njia mbalimbali za kuhimiza ushirikiano kati ya nchi zao na China. Mwishoni mwa mwaka 2022 Chansela wa Ujerumani Olaf Scholz aliongoza ujumbe mkubwa kwenye ziara yake ya kwanza...
Namkubali sana Ibrahim Rahabi akianza kuchambua sibanduki kwenye tv mpaka nachelewa kazini,,,Dogo Joseph Kenedy nae anatisha yuko full magazine,,Je,Wewe unaonaje!?
Tatizo tunaishi kwa mazoea na usimba na uyanga
Yanga wakati inaanza mwaka huu wa mashindano ilikuwa ya 75
Leo hii yanga ipo ndani ya top 20 best club in Africa.
Wakishika nafasi ya 20 wakati simba kapanda nafasi 5 tu mwezie kapanda nafasi 55 tuendelee kuwepo lakini ukweli Yanga ya Sasa ni...
Katika kipindi cha miaka 5 Simba ndio klabu bora Afrika Mashariki kwa hatua walizopiga michuano ya Kimataifa ya CAF.
Hatua ya makundi na Robo Fainali mara 4. Yanga itawachukua miaka 4 hadi 5 kuifikia hatua hii ya Simba.
Habari marafiki,
Nataka kuwataarifu kuhusu andiko jipya lililochapishwa na Bwana Elia Wilinasi kwenye journal ya kimataifa inayoitwa (Geoenergy Science and Engineering) kuhusu uzalishaji wa gesi. Journal hii ina impact factor (IF) ya 5.168 na CiteScore ya 8.1 kwa mwaka 2021.
Ikumbukwe journal...
Kabla ya Yanga kutinga hatua ya makundi na sasa kutinga robo fainali, hoja kuu ya makolo ilikuwa ni Yanga hawawezi kimataifa isipokuwa wao tu.
Sasa baada ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Shirikisho, hoja yao kubwa imekuwa hilo ni kombe la loser kanakwamba hiyo sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.