kimyakimya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Chuo Kikuu cha Iringa hivi imekuwaje Mwenyekiti wa Baraza amerejeshwa kibaruani kimyakimya?

    Mwenyekiti wa Baraza wa Chuo Kikuu cha Iringa, Dkt. Lilian Badi aliondolewa mara ya kwanza kwa tuhuma za mazingira tata lakini hivi karibuni amerejeshwa kazini huku kukiwa hakuna maelezo sahihi ya sababu za kurejeshwa kwake. Kibaya zaidi ni kuwa hakuna maelezo kamili yaliyotolewa kuhusu zile...
  2. Teko Modise

    Kuna mgao wa umeme kimyakimya?

    Nimekuja mkoa flani huku kaskazini, naona tangu juzi ni umeme kukatika mchana na kurudi jioni. Je kuna mgao wa kimya kimya?
  3. Restless Hustler

    Inakuwaje mfanyabiashara kuondoa Blue tick(kusoma message kimyakimya)

    Mtu anaunda group la Whatsapp, anajaza picture za bidhaa alafu bei tukiuliza anasema njoo inbox. Ukienda inbox anasoma message kimyakimya alafu anachagua za ku reply. Yale maswali magumu hajibu. Huu mtindo unatia shaka sana
  4. S

    Gharama za vipimo Muhimbili zimepanda kimyakimya?

    Jana siku ya jumatatu 26.08.2024 nilimsindikiza mgonjwa Muhimbili akaandikiwa kipimo cha Ultrasound tulivyoenda kulipia tumekuta bei imepanda zamani ilikuwa Tsh 25,500 lakini jana tumelipishwa 35,500,je ina maana na vipimo vingine navyo vimepanda bei au imekaaje hii. Je hali ikiwa hivi sisi...
  5. M

    Jinsi Hezbollah inavyoitembezea kichapo Israel kimyakimya

    Siongei sana. Sina maneno mengi! Video yenyewe iliyosheheni operation za Hezbollah inajisemea. Tazama! https://m.youtube.com/watch?v=JpONxjW0X9Q
  6. D

    Kujiuzulu kimyakimya ni kulinda Staha, Ukiomba kibali kujiuzulu unatumbuliwa

    Iko hivi katika siasa! Ukitaka kulinda Staha kwa wapigakura wako mwanasiasa fanya kujiuzulu tu kimyakimya! Ukiomba kibari cha kujiuzulu ...utadhalilishwa kwa kutumbuliwa na kuharibiwa sifa kwa wapiga kura! Wanasiasa za kuambiwa changanyeni na zenu!
  7. Kamanda Asiyechoka

    Pre GE2025 Makonda asema pesa za kujenga ofisi ya CHADEMA zimetolewa na Rais Samia

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema. "Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na...
  8. jingalao

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Nani yupo nyuma ya huu mchakato mchafu wa kumchafua waziri wa Afya Ummy Mwalimu? Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya ...yaani sio mtaalamu wa afya lakini amejitahidi sana kuielewa sekta hii.ameitendea haki kwa kadri ya kipaji alichonacho. Japo naona na napata...
  9. matunduizi

    Watu wengi wana mapepo ya kimyakimya na yenye kelele kwa sababu ya Miziki na nyimbo wanayosikiliza

    Mziki ni ibada. Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba. Asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye ikulu ya ibirisi ni nyimbo na miziki. Kila mziki unaroho nyuma yake. Wanaweza kuwa roho wasafi na roho wachafu. Ndio maana miziki ya ibada ikipigwa kwa utukufu malaika hushuka na pepo...
  10. Faana

    NMB Morogoro: Mmehamisha Location Kimyakimya?

  11. Barackobama

    Elimu bila malipo imekufa kimyakimya

    Ni miezi sasa takriban mitatu. Tangu Septemba hadi Desemba 2023, Serikali haijatuma fedha za ruzuku shuleni bila maelezo yoyote jambo ambalo limezua mjadala katika utekelezaji wa ebm kwa mujibu wa waraka wa elimu kama ulivyotolewa na Serikali. Jambo hili linapelekea Walimu viongozi kuanza...
  12. P

    Maeneo ya Ada Estate kuna mgao wa maji wa kimyakimya? DAWASA wakitafutwa hawatoi ushirikiano

    Wakuu, Nimekuja jamaa yangu maeneo haya ya Ada Estate, Kinondoni, Dar maji ni shida. Nadhani kuna mgao wa maji wa kimyakimya ambao hauna taarifa rasmi na DAWASA wapo kimya. Leo tuna siku ya nne maji yanatoka usiku tu na preshayake ni ndogo sana. Ukienda kwenye ofisi zao hawatoi ushirikiano...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

  14. Heparin

    Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Rais wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Balozi Siwa ameapishwa leo tarehe 28 Agosti, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa...
  15. Dalton elijah

    Je serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria?

    Na Yericko Nyerere Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliye twaa Urais wa Samia aurejeshe haraka sana! Kwamjibu wa Sheria ya Nembo ya Taifa ya Mwaka 1971 na Katiba...
  16. BigTall

    DOKEZO Wilaya ya Kyela huduma ya Petroli ni changamoto wiki ya tatu sasa, kwani kuna mgomo wa kimyakimya?

    Jamii Forums naomba muwafikishie taarifa kwa Mkurugenzi wa EWURA kuwa wiki ya tatu hatuna mafuta ya Petrol katika Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya. Nauli zimeanza kupanda, sehemu yakwenda kwa buku sasa hivi ni buku mbili hadi shilingi 2,500. Kwani kuna nini kinachoendelea wakati kila siku Waziri...
  17. R

    Kuna mgao wa maji unaendelea kimyakimya maeneo ya Tegeta?

    Jamani hakuna mtu ambae haelewi umuhimu wa maji kwenye shughuli mbalimbali za kila siku. Sasa maji yanavyokosekana siku nzima bila taarifa yoyote wala tahadhari watu wajiandae mnataka watu tuishije? DAWASA shida ni nini mpaka wakazi wa Tegeta maeneo ya Kibo, maeneo kuzunguka Hospitali ya...
  18. F

    Rais Samia aepuke kufanya mambo ya kitaifa kimyakimya ni ishara ya kukosa uwazi na kutokujiamini

    Juzi tumemsikia Raila Odinga akisema rais Samia alikwenda Nairobi kwa lengo la kuwapatanisha Raila na Odinga katika tafrani zao za kisiasa. Sisi watanzania tunajiuliza inakuwaje rais wetu kwenda nchi nyingine kufanya jambo la kisiasa mathalani kufanya upatanishi kimyakimya? Kwani kulikuwa na...
  19. D

    Acheni kumuandama Rais Samia, angeweza kusaini bila kuwashirikisha na msingefanya chochote

    Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm. Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge? 1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala...
  20. Roving Journalist

    Wapangaji nyumba za NHC Kariakoo walalamika notisi za kuhama bila mazungumzo, wadai NHC wamempa dili mwekezaji mpya kimyakimya

    Baadhi ya Wafanyabiashara na wakazi waliopanga kwenye majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation - NHC) mitaa ya Kariakoo wamelalamika kupewa ‘notisi’ ya miezi itatu wakitakiwa kuhama kwenye majengo hayo pasipokuwa na mazungumzo yoyote. Wafanyabiashara hao waliopo kwene...
Back
Top Bottom