KAMA ilivyozoeleka kwa baadhi ya wafanyabiashara, huwa wanapandisha bei ya bidhaa mara tu wanaposikia serikali imeongeza msha-hara na marupurupu kwa wafanyakazi kila mwaka. Uviziaji huo hufanyika wakati wa Sikukuu Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), kwani wafanyabiashara walishajua kuwa hicho ndicho...
Uongozi wa Klabu ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba. Wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani 'match analysts', wanatarajiwa kushuka nchini siku ya Ijumaa na taarifa za ndani zinasema washapata tiketi kwa...
Nauliza swali hili kutokana na mabadiliko ya lugha katika baadhi ya bidhaa ambazo hapo kabla hazikutumia lugha ya Kiarabu. Ningeweza kuweka baadhi ya picha za bidhaa hizo, lakini kwa sababu za kibiashara nimeona si vyema.
Kama tayari tuko kwenye umoja huo, tuambiwe ili tujue. Kwasababu hata...
Historia inaanza miaka zaidi ya million 82 iliyopiya ambapo virusi vinavyosababisha Homa ya inni (Hepatitis B) viligunduliwa uko afrika ya kaskazini mapoja na masharikI ya kati huku wataalamu wakidai kwamba virusi ivyo vilitokana na ndege pamoja na samaki kisha vikaenda kwa binadam. Ni miaka...
Kulikuwa na uvumi kuwa klabu ya Simba kuachana na kocha wa klabu hiyo, Pablo Franco Martín kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu ya timu na kufungwa na Yanga katika nusu fainali la kombe la FA. Kumekuwa na taarifa kuwa Mohammed Adil Erradi, amefika Dar kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi...
Marekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya...
Wakati watu wakijadili habari za nyongeza za mishahara bando limepanda bila kutangazwa. 20'000 ilikuwa unapata gb 30, mama alipoingia 20'000 unapata gb19 kuanzia juzi 20'000 unapata gb17. Tigo hao, provider wengine sijawajaribu. Mama anaupiga mwingi kwelikweli.
Baada ya malalamiko mitandaoni kuwa kampuni za mawasiliano ya simu Nchini Tanzania zimefanya mabadiliko ya kushusha vifurushi vya huduma za intaneti (mb's) pasipo kutoa taarifa kwa wateja wao, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema inafuatilia.
TCRA imesema: “Tumeona malalamiko kutoka...
Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli hiyo.
Sio kwamba nimetumia muda kusikilizwa tena sikusikia vizuri ila nilifanya hivyo kuongeza...
Kuna michongo inaendelea kimyakimya, ni kama vile Wabongo hawajui kinachoendelea lakini kiuhalisia wachache nao wanaojua wameona bora wakae kimya.
Inakera lakini tutafanyaje, ndiyo tumeaachia Wabongo wapige kimyakimya.
Huu mchongo wa kuuza jezi na bidhaa nyingine zenye nembo ya klabu...
Ni mwendo ule ule, umafia wa kimya kimya, kwa Voda na Tigo wameanza kutesti mitambo kwa kkupunguza GB za vifurushi vya mwezi.
Kuanzia sasa tutegemee lolote, hii ni trailer tu, bado muvi kamili ya machinjo yatayofanyika kimya kimya gizani usiku wa manane, nadhani tunaweza kuamka asubuhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.