kinafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manfried

    Hawa ndo wazee wa comment za kinafiki zisizokuwa na mawazo mbadala kwenye mada

    Numbisa huyu comment yake ukiiona ni ilimradi amechangia tu Smart911 huyu pia ndo wale wale Hawa sio watu ambao wanaweza kutoa mawazo mbadala Kwa mtu Comment zao hizi hapa Ebu tuone Binadamu wabishi Inafurahisha Inasikitisha Pole
  2. Damaso

    Jamii ya kinafiki? Kuadhimisha Watu Wenye maadili Mabaya Katika Jamii Yetu.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia hali ya kushangaza sana ambapo watu wanaofanya maovu wanaheshimiwa na kutukuzwa, na wakati mwingine kuwa mfano wa kuigwa, watu ambao maisha na mienendo yao sio yenye staha katika maisha ya kawaida. Hali hii inanifanya nijiulize: Kuna jamii ina haki ipi katika...
  3. Pang Fung Mi

    Bora Kuwa Single Maisha Yangu Yote kuliko kuwa na Mwanamke Ambaye Yuko na Mimi Kinafiki na Hanipendi

    Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke. Wanawake wamejaaliwa roho mbaya na roho chafu sana, roho ya kupewa, roho ya Chawa, roho ya kiroboto. Wanawake wengi...
  4. GENTAMYCINE

    Kuna Mwanaume Mwenzangu yoyote hapa JamiiForums mwenye Ujasiri huu wa Kinafiki na Uwongo kama wa huyu?

    "Mimi na Jennifer sio na hatujawahi kuwa wapenzi, naweza kulala nae kitanda kimoja usiku mzima na tusifanye chochote tukaishia kupiga stori tu"- Othman Njaidi, "Patrick Kanumba", Mwigizaji wa filamu Tanzania. Chanzo: Mitandaoni Yaani kabisa Nadindisha vyema, halafu nilale na Mbunye iko pembeni...
  5. DeMostAdmired

    Nimeamini urafiki wa kinafiki upo

    Hello how are you! Kama nilivowagusia kwenye uzi wangu ulopota. Baada ya kupata mishe mkoa wa Tanga nilifanikiwa kukutana na kufahamiana na watu wengi wafanya biashara hasa hasa. Miongoni mwa watu nilofahamiana nao kuna watu wa3 ambao nilikuwa nao na nipo nao closer kuliko wengine. Hawa jamaa...
  6. Pang Fung Mi

    Kauli ya Juma Nkamia Kuhusu Uchawa wake wa kinafiki kwa Magufuli Isibezwe

    Shalom, Mungu alituumba kipekee sana na kila mtu ana uhuru wake wa kufikiria aidha kupata, kupambana upate na kupambana usikose. Juma Nkamia kasema ukweli wake ambao hata katika utawala huu wa Bi Hassan tunayaona mengi sana, yeye mwenyewe alisema ana chawa wake. Wakati wa hatari kuna namna...
  7. Mcheza Piano

    Mnafiki ishi naye Kinafiki: Ni wakati wa kumrudisha Kagere na Boko Simba

    Hawa ma forward walioletwa wameshindwa kuendana na kasi ya kikosi chetu. Tunawataka viongozi wetu msimu ujao wawarejeshe Kagere na Boko ili kuchukua makombe. Huu ni ushauri wa kitaalamu, Benchikha atanielewa vizuri kuliko popoma. Kihasibu ndugu Jobe na Fredi ni hasara sindio OKW BOBAN SUNZU
  8. GENTAMYCINE

    Hivi Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu au ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu?

    Yaani mtu kajiuzuru mwenyewe kutokana na Ufisadi wake ambao Umeigharimu nchi pakubwa (hasa kwa kuitia hasara) halafu leo kafariki tunasema/tunamuita ni Waziri Mkuu Mstaafu! Lowassa alistaafu Uwaziri Mkuu wake kama wengine au alijiuzuru kutokana na Kashfa zake za Ufisadi alizojaribu kuzizima kwa...
  9. C

    Tanzania ilipocheza na Zambia kinafiki Mayele wenu alijifanya kutupa moyo watanzania, haya mwambieni atutie moyo tena dhidi yao kesho

    Sasa kama anaipenda sana Tanzania kwanini asiende tu uhamiaji Tanzania na akaombe uraia kabisa na asiendelee kutuchosha kwa kujifanya anatupenda sana watanzania na Tanzania yetu?
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Viongozi wanafiki wanashinda YouTube kutafuta matukio ya kupatia kiki za kisiasa. Huu ni unafiki

    Nachelea kusema kuwa Tanzania hakuna kiongozi mwenye uchungu na nchi hii. Kila mtumishi wa umma kaachwa afanye atakavyo. Akiharibu na taarifa ikifika kwenye media ndipo wanafiki (viongozi) hujitokeza kutoa kauli za kusimamisha kazi watumishi. Tangu Januari mpaka leo matukio ni mengi ambayo ni...
  11. GENTAMYCINE

    Wachambuzi wa Michezo wamegoma Kuwachambua Yanga SC waipendayo wakisubiria Kesho Simba SC ifungwe ndipo Wachambue Kinafiki

    Sasa nami GENTAMYCINE nawaambieni hapa hapa (tena leo hii) kuwa Simba SC Kesho hatufungwi na Prisons FC hivyo tutawaacha kwa Alama (Points) Tatu (3) na najua Jumamosi mtawahonga Geita Gold FC ili mshinde (tena Goli nyingi) ili Kuwatuliza Mashabiki wenu na Sisi Simba SC kwa makusudi tutatoka Sare...
  12. GENTAMYCINE

    Ushirikiano huu wa 'Kinafiki' kwa Timu za Tanzania zinazoshiriki Michuano ya Kimataifa GENTAMYCINE siuafiki na siutaki

    Yaani kabisa GENTAMYCINE niishangilie Yanga SC nisiyoipenda kuliko hata Shetani Lucifer na nizishangilie Yanga B Timu za Singida Fountain Gate FC na Azam FC? Waziri Damas Ndumbaro ( ambaye nakujua ni mwana Simba SC lia lia kama alivyo Naibu wako Khamis Mwinjuma ) acha Kukurupuka katika hili na...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Kusema Rais anashauriwa vibaya ni kujaribu kueleza kuwa Rais hana akili; naona ni ukosoaji wa kinafiki

    Kwema Wakuu! Hakuna Jambo ambalo linanikera kama kumsikia MTU akisema Rais anashauriwa vibaya na washauri wake. Watu wengi wanaosema hivyo ni Watu wasioweza kueleza mambo bayana. Ni Watu wakupindisha pindisha maneno. Wasioweza kutamka nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Rais kama kakosea...
  14. E

    Watanzania tupinge siasa za kinafiki. Anayesema no DP WORLD aseme sasa

    Kuna watu wanasoma upepo, akiona ugali uko kwenye wanaosema YES wakati mawazo yake ni NO anakaa kimya kama hayupo. Siku akiona upepo umebadilika anabadilika na kuanza kusema NO. Lazima tujenge watanzania katika kusimamia kile wanachokiamini. Ukiamua kusema NO sema no kwa hoja na ukiamua...
  15. lufungulo k

    Waambieni ukweli siyo kuwatetea kinafiki

    Kwanini SHOMARI KAPOMBE na MOHAMED HUSSEIN 'SHABALALA" wameachwa katka uteuzi wa Timu ya Taifa. Ukweli uliowazi ,unaoaminiwa na wote waliokaribu na usimamizi wa Timu ya Taifa ni KWAMBA, vijana hawa HUWA HAWAJITUMI wakiwa timu ya Taifa kama wanavyojituma wakiwa kwenye timu yao ya SIMBA. Hili...
  16. M

    Majizo na EFM Radio yako huu Utangazaji wa Kinafiki na Majungu wa Watangazaji Maulid Kitenge na Twalib Muwa utaiponza Radio yako

    Haiwezekani Watangazaji wako hawa Maulid Kitenge na Twalib Muwa ambao si tu ni Mashabiki wa Yanga SC bali pia ni Wanachama wa Yanga SC kila wakiwa pamoja Hewani katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM Kazi yao ni Kuisakama Simba SC, Kuinanga, Kuidhalilisha na Kuichokonoa ili mradi tu...
  17. Billal Saadat

    Wasifu kwa minajili ya kutunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi kwa Rais Samia Suluhu

    Mheshimiwa Mkuu wa Chuo Kwa heshima na taadhima, pia kwa unyenyekevu mkubwa,ninaomba niwasilishe taarifa kumhusu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwa minajili ya kuifahamisha hadhira hii kwa nini mwisho wa maelezo haya nitakuomba umtunuku Shahada ya...
  18. GENTAMYCINE

    Je, tulikuwa tunangojea twende Kwake Geita ili tuonyeshe Mapenzi yetu ya Kinafiki kwa Wamachinga aliokuwa akiwapenda na kuwajali?

    Na ni Matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa hata pale tulipoenda Kuzuru Kaburi lake tulimuomba Msamaha kwa Kuharibu karibia 75% ya Mambo ya Msingi ( hasa ya Kimiradi ) aliyokuwa anaitekeleza huku hadi sasa 90% imesimama baada ya kuruhusu Kukumbatiwa na Mafisadi na Mafia wa 2005 hadi 2015...
  19. GENTAMYCINE

    Tutumie muda wetu mwingi kuikosoa Bajeti, kushauri ili kuiboresha na siyo kuisifia kinafiki na kwa kujipendekeza

    Tayari naanza kusikia Waandishi wa Habari (hasa Watangazaji wa Redio na Runinga) wanaanza Kuipongeza huku Wakimsifia Mtu (Mteuaji) wakati Wanachokipongeza ni Direct Responsibility ya Government kwa Wananchi wake ila Kuikosoa na Kushauri ndiyo Jukumu letu Kubwa ili basi kabla ya Kupitoshwa Kwake...
Back
Top Bottom