kinafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Determinantor

    "Mkishindwana achaneni kwa usalama" kauli ya kitoto na ya kinafiki sana hii

    Kuna binadamu ni wanafiki sana na wanapenda kufanya maigizo Kila kunapokua na issues za Wapenzi na mapenzi ambazo zimepelekea vifo. Ninaamini waumini wa statement hii "mkichokana achaneni kwa Amani" ni wale ambao wako na Wapenzi ambao hawajawahi kuwapenda, kujitoa, kuwalea, kuwasitiri n.k. Kwa...
  2. K

    Zitto Kabwe: Ubadhirifu wa 2020/21 ni mara mbili ya mwaka uliotangulia. Kulikuwa na ubadhirifu kwa jina la uzalendo

    Kuna watu walikuwa wanajifanya wazalendo mpaka kupiga wengine risasi. Lakini ni wazalendo gani wanampiga mtu risasi akiwakosoa, wanataifisha pesa za watu kwenye bank, waharibu biashara na uwekezaji wa watu, wanajipendelea na kutumia pesa ya umma kujenga kwao na kufikia mpaka kuweka mbuga...
  3. Mzee Mwanakijiji

    Swali Fyatu la Wiki: Yote Sawa? Mapenzi ya Kinafiki au Heshima ya Woga?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui lipi ni bora katika siasa au yote ni sawa tu? Yaani, unamheshimu mtu si kwa sababu anastahili heshima hiyo bali kwa vile unamuogopa. Unaogopa huyo mtu atakufanya nini. Unajitahidi kumfurahisha kwa sababu hutaki achukie au akushukie. Akinuna unaweweseka. Unajua...
  4. N

    Hongereni Rwanda kukwamua raia wenu ukraine siyo nchi za kinafiki na unafiki na unafikiiii

    yes yes yes hongera dikteta Kagame atleast unajali ....kuna ncgi ya kusadikika hadi leo haijui idadi ya raia wake waliokwama huko ni full u]unafiki tu, raia wa Rwanda wanafunzi waliokwama ni 85 , 79 wako poland na Blearus , 6 wako njiani wako in contact na balozi za Rwanda..kuan nchi ya...
  5. M

    Wanasiasa wa Tanzania kama hamna Upendo na nia ya kweli dhidi ya Kuwakomboa Wakulima acheni Kuwapenda Kinafiki kwani inakera!!

    Sasa ni mwaka wa 20 huu nawasikia tu Wanasiasa wa Tanzania kila mara wakisema wanawapigania Wakulima na wanawapenda lakini kila Siku nasikia mpaka Kushuhudia Vilio vya Wakulima kiasi cha mpaka kutia Huruma. Tanzania ingekuwa na Viongozi imara tena wasio na Unafiki mwingi ndani yake nina uhakika...
  6. Idugunde

    Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

    Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
  7. C

    Unafiki wa wala nchi hii: Mkutano wa TEHAMA umekwisha na maazimio ya kinafiki

    Limkutano huko Arusha lilikuwa na mbwembwe kwelikweli aisee yaani nimekaaa hapa natengeneza apps fulani bando limeisha kabisa kushoto kulia hata buku 3 ya kupata gb 2 sina niweze kuchukua baadhi ya vitu online na kucheki tutorials Ama kweli hili li nchi nuksi sana , walivyokuwa wanajiliza...
  8. Fundi Madirisha

    Kwanini wanalaumiwa Polisi na siyo Hamza?

    Katika pitapita zangu mitaani nimeshtushwa sana na wananchi badala ya kuhuzunika kwa gaidi kuuwa polisi wetu na badala yake wamegeuka wanawalaumu pili kwa matendo yao ya kubambikizia kesi,dhuluma,uonevu,kuchochea chuki,kuuawa raia wawapo mahabusu nk. Hii inaashiria kiti gani mbona si kawaida...
  9. Kasomi

    Manara yupo kibiashara Yanga

    Wana Bodi bila shaka mumeweza kulifahamu hili kuwa Haji Manara yupo kibiashara na wazito wa Yanga wanalifahamu hili. Rejea hapa:"Mithali 28:11 [11]Mtu tajiri ana hekima machoni pake mwenyewe; Bali maskini mwenye ufahamu humchunguza sana." Sasa acha Sisi masikini tumuchunguze sana. Bila...
Back
Top Bottom