Wadau mtakumbuka jinsi wazee wetu hawa walivyodhalilishwa na watu walio wachanga sana kisiasa hapa nchini, dharau hizo zilizidi hasa katika Serikali ya awamu ya tano.
Je, sasa si wakati wa wazee wetu hawa kurudia kuheshimika kutokana na hazina yao ya kisiasa hapa Tanzania? Karibuni kuchangia...
Wakuu,
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nafasi kubwa ndani ya chama hicho na kimsingi ndiye mchora ramani ya mwelekeo wa chama hicho.
Mzee Mangula (Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa wa sasa) yupo katika siku zake za mwisho katika nafasi hiyo.
Kumekuwa na utamaduni ndani ya CCM kwa...
Ndugu Magufuli, mkoa wa Tanga uliwahi kuwa mkoa tajiri no.1 East Africa kwa sababu ulikuwa ndio sehemu iliyo ongoza ulimwenguni kwa zao la katani, likifuatiwa na yucatan ya Mexico.
Tokea miaka ya 1970, zao la katani limekufa baada ya nylon kugunduliwa na kuweza kutengenezwa kwa bei nafuu zaidi...
Wana JF,
Muda mfupi mfupi uliopita aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Spika wa Bunge la Afrika Mashariki na Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama changu cha Mapinduzi ametuonya kuwa hakuna Uchaguzi Mkuu rahisi hata siku moja kuwa kura ya mpiga kura ipo moyoni mwake.
Akiwa hapa msibani Masaki kwenye msiba wa...
Halmashauri kuu ya CCM imemsamehe Katibu mkuu mstaafu kanali Kinana ambaye alipewa onyo kali na kuwekwa katika matazamio.
Halmashauri kuu pia imemfukuza kabisa yule mwingine ( Membe) ambaye hakufanya juhudi yoyote ya kuomba msamaha.
Membe alirudisha kadi yake CCM badala ya kutubu.
Maendeleo...
Juzi juzi wote tuliona Marais wote (yaani na wale wataafu) wakiwa Dodoma, wakapewa ndege tausi na wakashuhudia uzinduzi wa Jumba Jeupe la Dodoma.
Katika kikao hicho uwezekano mkubwa kuna mambo muhimu sana yalijadiliwa. La kwanza kabisa hata kabla ya kujua yale ya undani zaidi tuliona jinsi...
Dr. Mwele alijua yuko sahihi na wao walijua yuko sahihi ndio maana hadi leo hawaachi kumtaja.
Tundu Lissu alipigwa risasi zaidi ya 16 si kwa sababu alikuwa na kosa, bali kosa lake ni kuuzungumza ukweli, hajaomba radhi kwa kuwa alisema alichokuwa anakiamini.
Membe kasema yeye siyo mhalifu kwa...
Katibu mkuu mstaafu wa CCM Mzee Kinana amemsifu Mchungaji Msigwa kwa uungwana wa kuomba radhi kwa uzushi aliomzushia.
Kinana anasema baada ya uzushi huo alimshtaki Msigwa Mahakama Kuu ambapo alikutwa na hatia na kutakiwa kumlipa fidia Mzee Kinana.
Baada ya hukumu mchungaji Msigwa alimtafuta...
Tetesi kitaa zinasema, wale maswahiba wakubwa wa JK enzi zake, Abdulrahman Kinana a.k.a. Mzee wa Tembo, na Bernard Membe a.k.a Jasusi, wanaungana nguvu kuchapisha tiketi yao ya kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020.
Msidhani msigwa kakurupuka kuanza kumsafisha Kinana. Chadema wamejifunza toka...
Natoa tamko la kumuomba radhi Abdulrahman Kinana, ikumbukwe nilikuwa na kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyofunguliwa na Kinana kutokana na matamshi niliyowahi kuyatoa kumuhusisha na ujangili. Ninakiri tuhuma hizo hazikuwa za kweli wala ushahidi wowote, bali zilikuwa na malengo potofu ya...
Ninaamini CCM wanauelewa msemo kwamba kesi ya kima huwezi kupeleka kwa nyani. Hakutakuwa na haki katika hukumu.
Vivyohivyo, Watanzania wote wanaelewa kwamba tuhuma za CCM dhidi ya Membe, Makamba na Kinana kwa namna kubwa zilikuwa zinamhusu Magufuli.
Membe siku zote ameonwa kuwa mpinzani na...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho
Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema ripoti ya Makamba, Kinana na Membe iko tayari na itawasilishwa mbele ya kamati kuu ya CCM wiki hii tayari kwa kufanyiwa maamuzi.
Kadhalika Dr Bashiru amesema swala la katiba mpya ni la mchakato wa muda mrefu na siyo la wiki moja kama wenye tamaa ya kwenda...
Wadau,
Kamati Kuu ya Halmashauri ya Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi inakutana leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli akipokelewa na Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally
Makamu...
Kuna mambo kadhaa ambayo CCM wanataka kutuchanganya hapa. Lakini kama usemi unavyoenda - you can fool some people sometimes but not all the people all the time.
Je, Kinana na Makamba wameonana na Kamati ya Maadili ya CCM au wamekutana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM?
Tunaelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.