kinana

  1. U

    Nukuu ya Mzee Abdulhaman Kinana kwenye hafla ya kumkabidhi ofisi ya Ukatibu Mkuu mrithi wake Dkt Bashiru Ally Kakurwa

    Ilikuwa Juni 20,2018 kwenye hafla iliyoandaliwa na Watunga sheria kumuaga & kumkaribisha ( Abdulhaman Kinana & Dkt Bashiru Ally Kakurwa)
  2. M

    Wazee wetu nguli wa Siasa Mzee Kinana na Mzee Makamba kurudi kwenye chati na kuendelea kuheshimika?

    Wadau mtakumbuka jinsi wazee wetu hawa walivyodhalilishwa na watu walio wachanga sana kisiasa hapa nchini, dharau hizo zilizidi hasa katika Serikali ya awamu ya tano. Je, sasa si wakati wa wazee wetu hawa kurudia kuheshimika kutokana na hazina yao ya kisiasa hapa Tanzania? Karibuni kuchangia...
  3. Yuko wapi Mzee Kinana?

    Mzee wetu sijamuoma kwenye matukio ya kitaifa ya karibuni, kuanzia misiba mpaka matukio ya huko Makao Makuu. Yuko nchini?
  4. M

    Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa?

    Wakuu, Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nafasi kubwa ndani ya chama hicho na kimsingi ndiye mchora ramani ya mwelekeo wa chama hicho. Mzee Mangula (Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa wa sasa) yupo katika siku zake za mwisho katika nafasi hiyo. Kumekuwa na utamaduni ndani ya CCM kwa...
  5. M

    Uchaguzi 2020 Magufuli ukija Tanga, haya ndiyo yataweza kukupa kura za kishindo

    Ndugu Magufuli, mkoa wa Tanga uliwahi kuwa mkoa tajiri no.1 East Africa kwa sababu ulikuwa ndio sehemu iliyo ongoza ulimwenguni kwa zao la katani, likifuatiwa na yucatan ya Mexico. Tokea miaka ya 1970, zao la katani limekufa baada ya nylon kugunduliwa na kuweza kutengenezwa kwa bei nafuu zaidi...
  6. Kinana: Asikudanganye mtu hakuna Uchaguzi rahisi, kura ipo kwenye moyo wa mtu

    Wana JF, Muda mfupi mfupi uliopita aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Spika wa Bunge la Afrika Mashariki na Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama changu cha Mapinduzi ametuonya kuwa hakuna Uchaguzi Mkuu rahisi hata siku moja kuwa kura ya mpiga kura ipo moyoni mwake. Akiwa hapa msibani Masaki kwenye msiba wa...
  7. J

    Abdulrahman Kinana asamehewa, Bernard Membe afukuzwa rasmi CCM

    Halmashauri kuu ya CCM imemsamehe Katibu mkuu mstaafu kanali Kinana ambaye alipewa onyo kali na kuwekwa katika matazamio. Halmashauri kuu pia imemfukuza kabisa yule mwingine ( Membe) ambaye hakufanya juhudi yoyote ya kuomba msamaha. Membe alirudisha kadi yake CCM badala ya kutubu. Maendeleo...
  8. T

    Kikao cha MaRais wote, kujimwambafai, Mpango sio matumizi na uungwana wa Kinana!

    Juzi juzi wote tuliona Marais wote (yaani na wale wataafu) wakiwa Dodoma, wakapewa ndege tausi na wakashuhudia uzinduzi wa Jumba Jeupe la Dodoma. Katika kikao hicho uwezekano mkubwa kuna mambo muhimu sana yalijadiliwa. La kwanza kabisa hata kabla ya kujua yale ya undani zaidi tuliona jinsi...
  9. Q

    Mwele, Lissu na Membe mmeonesha ujasiri. Kinana umeudhalilisha utu wako

    Dr. Mwele alijua yuko sahihi na wao walijua yuko sahihi ndio maana hadi leo hawaachi kumtaja. Tundu Lissu alipigwa risasi zaidi ya 16 si kwa sababu alikuwa na kosa, bali kosa lake ni kuuzungumza ukweli, hajaomba radhi kwa kuwa alisema alichokuwa anakiamini. Membe kasema yeye siyo mhalifu kwa...
  10. J

    Kinana: Mchungaji Msigwa ni muungwana, aliniomba radhi baada ya kushindwa kunilipa fidia baada ya kutiwa hatiani nami nimemsamehe

    Katibu mkuu mstaafu wa CCM Mzee Kinana amemsifu Mchungaji Msigwa kwa uungwana wa kuomba radhi kwa uzushi aliomzushia. Kinana anasema baada ya uzushi huo alimshtaki Msigwa Mahakama Kuu ambapo alikutwa na hatia na kutakiwa kumlipa fidia Mzee Kinana. Baada ya hukumu mchungaji Msigwa alimtafuta...
  11. T

    Uchaguzi 2020 Kinana na Membe 2020 wanaitosha CHADEMA

    Tetesi kitaa zinasema, wale maswahiba wakubwa wa JK enzi zake, Abdulrahman Kinana a.k.a. Mzee wa Tembo, na Bernard Membe a.k.a Jasusi, wanaungana nguvu kuchapisha tiketi yao ya kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020. Msidhani msigwa kakurupuka kuanza kumsafisha Kinana. Chadema wamejifunza toka...
  12. Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

    Natoa tamko la kumuomba radhi Abdulrahman Kinana, ikumbukwe nilikuwa na kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyofunguliwa na Kinana kutokana na matamshi niliyowahi kuyatoa kumuhusisha na ujangili. Ninakiri tuhuma hizo hazikuwa za kweli wala ushahidi wowote, bali zilikuwa na malengo potofu ya...
  13. S

    Swali kwa CCM: Ikiwa "makosa" ya Membe, Makamba na Kinana yalihumhusu Magufuli, ilikuwa sahihi kwa Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Kamati iliyowaadhibu?

    Ninaamini CCM wanauelewa msemo kwamba kesi ya kima huwezi kupeleka kwa nyani. Hakutakuwa na haki katika hukumu. Vivyohivyo, Watanzania wote wanaelewa kwamba tuhuma za CCM dhidi ya Membe, Makamba na Kinana kwa namna kubwa zilikuwa zinamhusu Magufuli. Membe siku zote ameonwa kuwa mpinzani na...
  14. CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...
  15. J

    Dr Bashiru: Ripoti ya Makamba, Kinana na Membe iko tayari na itawasilishwa kwa kamati kuu kwa maamuzi wiki hii

    Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema ripoti ya Makamba, Kinana na Membe iko tayari na itawasilishwa mbele ya kamati kuu ya CCM wiki hii tayari kwa kufanyiwa maamuzi. Kadhalika Dr Bashiru amesema swala la katiba mpya ni la mchakato wa muda mrefu na siyo la wiki moja kama wenye tamaa ya kwenda...
  16. Lumumba, Dar: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imetoa siku 7 kwa Kamati yake ndogo kuwasilisha taarifa ya mahojiano ya Membe, Makamba na Kinana

    Wadau, Kamati Kuu ya Halmashauri ya Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi inakutana leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli akipokelewa na Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally Makamu...
  17. Video: Busara za Mzee Kinana zilivyogusa hisia za wasikilizaji

    Kuna msemo wa Kiswahili unaodai kwamba Wazee ni hazina, ama unaweza kusema Mkubwa dawa.
  18. S

    CCM semeni ukweli: Kinana na Makamba wameipuuza Kamati ya Maadili Dodoma wakaenda kuonana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM hapa Dar

    Kuna mambo kadhaa ambayo CCM wanataka kutuchanganya hapa. Lakini kama usemi unavyoenda - you can fool some people sometimes but not all the people all the time. Je, Kinana na Makamba wameonana na Kamati ya Maadili ya CCM au wamekutana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM? Tunaelewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…