Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Nchini Professa Philipo Sanga amesema Mkoa wa Tabora ni kinara kwa asilimia kubwa ya watu wasiojua kusoma na kuandika katika mikoa mitano nchini ambayo bado ina changamoto hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya maonesho ya...