Wanajamvi, ninafahamu humu jamvini Kuna magwiji wa kila idara from miti shamba hadi PhD za MD.
Hivi kujifukiza ni kinga au ni tiba ya corona? Najua watanzania kutokana na umasikini wetu wa kipato na akili tunapenda sana mteremuko.
Hapa Tanzania ni kawaida sana kumsikia abiria akimpigia kelele...