IGP Sirro ni Kati ya ma-IGP wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno.
Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama.
Siro ni doa ndani ya serikali.
Baada ya kujihoji na kuangalia matukio na baada ya kupoteza baadhi ya marafiki kwa muda mfupi ambao Vifo vyao Ni kupoteza fahamu ghafla, presha juu, upumuaji wa shida na sukari kujitokeza na kwamba magojwa hayo hawakuwa nayo hapo swali ndipo nilipoamua kuachana na ubishi... Nimepata Kinga ya...
MAABARA NI NINI
Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials), vipimo (tests) mbalimbali kulingana na mahitaji. zipo maabara za aina nyingi sana kama vile maabara za...
Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla.
Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame google na kusikiliza clip za wasiojua wenzake sasa anadhani anajua kuliko wenye taaluma yao ya chanjo...
Malalamiko yamekuwa mengi kina mama hatutaki kutoa unyumba visingizio kibao. Mara nyingi wanawake watu wazima from 35 hamu inakuwa hakuna .yaani tuseme upungufu wa nguvu za kike au nyreege
Sasa Kama wewe Una tatizo la kukosa hamu au south pole kunakuwa kukavu Fanya hili jambo rahisi tu utakuja...
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa...
Chukua tahadhari binafsi kwa kuvaa barakoa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko mikubwa isiyo ya lazima.
Tuendelee na mada.
Kwa siku kadhaa zilizopita nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali ya raia wakiuliza kuhusiana na uhalali wa chanjo ya Covid19 na...
Nipo njia panda wakuu,
Zamani enzi zetu miaka ya nyuma kidogo kuna baadhi ya makabila kwenye koo flani ilikuwa ni lazima upewe kinga, haya mambo yalianza zamani sana tunaambiwa ni baada ya wahamiaji wapya, kuowa nje ya ukoo, kuchanganyana na koo mpya kukaanza kujitokeza mambo ya teknolojia ya...
Wadau!
Kama mjuavyo, kikatiba ni Mh. Rais wa nchi pekee aliyekuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Lakini kwa siku za hivi karibuni listi imeongezwa kidogo ambapo MR, WM, JM, Spika na NS nao wana kinga ya kutoshtakiwa hata watakapokuwa wamestaafu. In short, ni "kinga ya maisha".
Kama tunavyojua...
Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi
Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi!
Pesa anazolipwa Mbunge zinatokana na kodi ya ambao hata mlo moja kwa siku ni shida!
KumbeTanzania inajengwa na wazalendo...
Kwa mfumo uliopo in ngumu kupata katiba mpya na bora kabisa kama hatutakuwa na ajenda ya kwanza kupeleka mswada wa dharula bungeni kuondoa vipengele vya KINGA.
KINGA zikiondolewa hata hii katiba iliyopo itaheshimika.
PICHA: Waziri wa zamani wa DR Kongo Matata Ponyo Mapon
Seneti huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemuondolea kinga ya kushtakiwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Matata Ponyo Mapon, hatua ambayo inaruhusu uchunguzi wa Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma.
Wachunguzi wanasema Dola Milioni...
Je, ni kweli kwamba baada ya kufanya majaribio kwa watu waligundua kwamba mtu anatakiwa achanjwe mara 2 ndio awe na kinga tosha, ila baada ya utafiti sasa wamebadilika tena, wanasema unatakiwa uchanjwe mara 3 ndio uwe na kinga?
Kwahiyo ile kauli ya hayati kwamba tusubiri kwanza ilikuwa na mashiko?
Ni sheria gani inamtaka mtumishi/mwanasiasa awe na kinga yakutoshitakiwa?
Kwa Siku 100 kuna mambo mengi yanajidhihirisha kikiuka sheria kwa kigezo cha kinga.
Kama kodi nyingi zinatumika kulisha mahabusu na wafungwa wengi wasio na hatia lipo tatizo kubwa kama nchi kuanza kufundisha elimu ya...
Nini maana ya KIAPO?
Nini maana ya KINGA?
Viongozi wetu wa mihimili yote mitatu na wakuu wakisiasa huapa huku waendako kutumikia kukiwa na kinga.
Mwananchi anafaidika au anapunjwa kisheria.
Wabobezi karibuni na nini kifanyike.
Kwa ufupi sana, niliwahi kudate na mwanamke flani miaka ya nyuma mkoa flani sitautaja.
Tukapotezana kwa maana ya kuonana, ila mawasiliano yalikuwepo kwa simu. Juzi kati amekuja mjini kwa biashara zake, kaniahidi tutaonana kweli kafika tukaonana ilikuwa jioni sana.
Tukapata msosi tukaelekea...
Ndugu wananchi wenzangu napenda kuwaambia tu na huko mitandaoni kumejaa habari na jipya,jamaa amepata chanjo za dozi mbili kasafiri amerudi kupimwa ameoneka positive almanusura azimie.
Hizi chanjo zipo kwenye majaribio na safari hii zinapelekwa direct kwa binadamu, ndio ikasemwa haata...
Ugunduzi wa kundi kubwa la watu ambao miili yao inaweza kupambana na kudhibiti Virusi vya UKIMWI nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaleta matumaini ya kupata tiba ya virusi hivyo.
Utafiti umebaini kuwa asilimia 4 ya watu waliokuwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI nchini humo wameweza...
Miili yetu inafanana na magari yanayotumia mafuta ya petrol na diseli kutembea pole pole na kutembea haraka. Ili gari litembee lazima itafutwe namna mafuta na hewa ya oxygen vitakutana na cheche ya moto ili vilipuke na kutoa nishati itakayolitembeza gari. Hivyo ni lazima uwe na tank lenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.