kinga

  1. Pascal Mayalla

    Magonjwa ya Usubi, Matende na Mabusha, Yanazuilika na Yanatibika!, Tujitokeze kwa Wingi Kupata Kinga, Wagonjwa Wajitokeze Kupata Tiba Bure

    Leo January 30 ni kilele cha siku ya kimataifa ya maadhimisho ya magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele Duniani, ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika mjini Tanga kwa kauli mbiu ya “Chukua hatua sasa kwa pamoja tuchukue hatua tuwekeze sasa". Kwa mujibu wa Meneja wa Mpango wa Taifa wa...
  2. I

    Silaha ya mfumo wa kinga ya anga S-400 ya Russia yaangamizwa na Ukraine

    Ushahidi wa kwanza wa kuangamizwa kwa silaha ya mfumo wa kinga ya anga ya Urusi maarufu kama (S-400 Air Defence System) umepatikana. Hii ni mara ya kwanza kwa Ukraine kutoa ushahidi wa wazi kuthibitisha madai yao ya kuiangamiza silaha hiyo ya kisasa ya Russia...
  3. The unpaid Seller

    SI KWELI UKIMWI hausababishwi na HIV, kwamba agenda nzima ni scam na kuwa hakuna kipimo cha kupima HIV bali vilivyopo hupima tu kushuka kwa kinga

    Peace be upon ya' all, Hili swala limezua mjadala wa mda mrefu sana baina ya madaktari wao kwa wao wakivutana kwa hoja kuntu kabisa. Je ni kweli UKIMWI hausababishwi na HIV kwamba agenda nzima ni scam na kuwa hakuna kipimo cha kupima HIV bali vilivyopo hupima tu kushuka kwa kinga?
  4. Bridger

    KWELI Inawezekana kushiriki tendo la ndoa na mtu mwenye VVU/UKIMWI bila kinga na usipate Maambukizi hayo

    Kuna magonjwa mengi yanayosababisha upungufu wa Kinga mwilini ikiwemo maambukizi ya VVU. Kumekuwa na mijadala mingi pamoja na tetesi zinazohitaji majibu ya kina kuhusu uwezekano wa kupata VVU/UKIMWI kutoka kwa mtu aliye athirika hasa ikihusisha ushiriki wa tendo la ndoa pasipo kutumia kinga...
  5. JamiiForums

    Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake

    UGONJWA WA EBOLA ULIANZA VIPI NA WAPI? Ebola Virus Disease - EVD (Ugonjwa wa Virusi vya #Ebola) awali ulijulikana kama Ebola haemorrhagic Fever. Ni ugonjwa wenye madhara makubwa kwa Binadamu ikiwamo kusababisha kifo ikiwa haujatibiwa Ebola kwa mara ya kwanza ilionekana mwaka 1976 katika...
  6. Komeo Lachuma

    #COVID19 Tuhamasishe watu Kuchoma Kinga ya Corona. Tuliochoma Tujitokeze hapa kushuhudia

    Ni kama watu wanajaribu kujisahaulisha Ugonjwa wa Corona. Jamani Covid 19 ipo na inaua. Tuchomeni Kinga na tusisahau kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko. Serikali kwa upendo iliamua kusambaza chanjo. BURE KABISA. watu wanaonekana kujisahaulisha jinsi Covid 19 inavyoua. Tumeona watu...
  7. Sildenafil Citrate

    Utafiti tofauti ya kinga wanaoishi mijini na vijiji kufanyika

    Utofauti wa kinga ya mwili kati ya wanaoishi mjini na vijijini umewaibua wataalamu wa afya kuendesha utafiti ili kubaini chanzo cha tofauti hizo na kupima ufanisi wa chanjo katika maeneo hayo. Wataalamu hao ni kutoka Taasisi ya Utafiti (KCRI), hospitali ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) pamoja na...
  8. Dr Adinan

    Vidonda Vya Kisukari: Fahamu Chanzo, Athari, Tiba na Kinga

    Madhara Ya Ugonjwa wa Kisukari na Namna Ya Kuepuka Vidonda kwa wagonjwa wa kisukari ni changamoto kubwa sana inayosababisha ulemavu unaotokana eidha kuwa kukatwa miguu au mikono. Haya yote yanaweza kudhibitika kama tahadhari itachukuliwa katika muda muafaka. Kabla ya kufahamu ufanye nini na...
  9. M

    Raha kamili ya matumizi ya kinga

    Wakuu napenda kukubaliana na taasisi za afya kote duniani zinazosisitiza matumizi ya kondomu kama njia sahihi ya kujikinga na mimba zisizotarajiwa na magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI. Binafsi huwa situmii mara kwa mara kwa sababu nafanya tendo na mwanamke wangu mmoja ninayemwamini. Changamoto...
  10. Komeo Lachuma

    Yang Vs Dodoma Mji. Tukifungwa au kutoa Draw sisi Yanga nipigwe Ban ya Week na pia nitatembea bila Kinga

    Hii mechi tulishashinda kitambo. Leo Mayele lazima atupie hata 2 kuondoa Gundu mlilomtupia nyie Simba. Hii team yetu kabisa.... Dodoma hawawezi kutukamia... Yanga tumejipanga hasa msimu huu kuchukua Makombe yote. Na nasema hapa tusipochukua Kombe nipigwe Ban ya Mwezi mzima. Sioni wa kutuzuia...
  11. Izzi

    Benki zina kinga gani dhidi ya uchawi?

    Hakuna asiependa pesa (Hapo sasa nimekuwa semaji la binadamu wote), na kama yupo basi ana raha sana. Tutakubaliana pia, hakuna asiependa njia za mkato (shortcuts) za kurahisisha mambo. Njia mojawapo ya mkato ni kutumia uchawi kupata kile unachokitaka.... nimekua katika jamii ambayo inaamini ili...
  12. Idugunde

    Ni aibu kubwa kuwa na Mbunge kama Musukuma ambae anadhania kuwa Mbunge ni kinga ya kutokukamatwa kama akifanya makosa ya jinai.

    Taifa letu linarudishwa nyuma sababu ya kuwa na wanasiasa wanaojali upuuzi huku wakipoteza kodi za watanzania kujadili masuala yasiyo na na maana Bungeni. Yaani mtu akiwa Mbunge ndio watumishi wake wasikamatwe kwa kupakia samaki waliovuliwa kinyume na sheria? Askari gani ambae hana weledi...
  13. The Bleiz

    Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

  14. Zanzibar-ASP

    Kwanini Ndugai asimuite Samia kuja kujieleza kwenye Kamati ya kudumu ya Haki na Kinga za Bunge?

    Kufuatia matamshi makali na vijembe vizito vilivyotolewa na Samia dhidi ya Ndugai kiasi cha kuleta sintofahamu na kutafsiriwa kama jambo lenye kufedhehesha na kukidhalilisha kiti cha spika wa bunge, nadhani kuna haja ya Ndugai kutumia yale mamlaka yake ya siku zote aliyonayo kikatiba ili kumtaka...
  15. E

    Ndiyo maana walipitisha Sheria ya Spika kuwa na kinga ya kutokushitakiwa, kumbeee!

    Panapoukweli uwongo hujitenga. Ndio maana mihimili mikuu ya dora ni mitatu nayo ni Serikali, Bunge na Mahakama. Mihimili hii kikanuni na ukweli inapaswa kufanya kazi kwa uhuru, bila kuingiliana ila hufan ya kazi kwa kutegemeana. Kamwe mhimili mmoja usingilie mihimili mingine huo ndo ukweli...
  16. B

    Spika wa hawezi kuishtakiwa mahakamani, hata akimtukana au kumwondoa Rais kinga itamlinda?

    Kwa kuwa Spika ashtakiwi, akitaka kumwondoa Rais aliyepo madarakani aidha kupitia Bunge au kupitia mbinu chafu zozote akabainika atafanywa nini?
  17. escrow one

    Je, Kamati ya Haki, Kinga na madaraka ya Bunge itamhoji Spika Ndugai?

    Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge? Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki...
  18. Stephano Mgendanyi

    #COVID19 Semina na wanahabari na watu mashuhuri katika mitandao kuhusu afua za kinga ya UVIKO-19 pamoja na chanjo

    SEMINA NA WANAHABARI NA WATU MASHUHURI KATIKA MITANDAO KUHUSU AFUA ZA KINGA YA UVIKO-19 PAMOJA NA CHANJO Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Shirika la Amref Health Africa kupitia Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma inawakaribisha wote KESHO JUMAMOSI...
  19. Mantheman6

    Je, ni kweli bangi inaweza kukinga dhidi ya wachawi?

    Habari zenu ndugu zangu wa Jf ni imani yangu kwamba nyote mko salama na niwape pole kwa mihangaiko ya wiki nzima hakika kazi inaendelea. Sasa ndugu zangu mojakwamoja twende kwenye mada yetu kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Kumekuwa na stori stori nyingi mtaani kila mtu akisema lake...
  20. Miss Zomboko

    #COVID19 Sekta ya Afya yaanza utafiti ikiwemo kubaini waliochanjwa wamepata Kinga kiasi gani

    Sekta imeanza kufanya tafiti sita (6) kuhusu tabia za virusi za virusi vya Korona kwa kuangalia 1) askari wa kinga mwili (antibodies); 2) uelewa, mtazamo na utendaji (KAP Study); 3) utafiti wa kimatibabu (Clinical trials); 4) kuchunguza mpangilio wa vinasaba (Gene sequencing); 5) hali ya kimelea...
Back
Top Bottom