kinyerezi

Kinyerezi is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 5,811.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali ya mkoa wa Dar es salaam Fikeni kinyerezi Ilani ya chama cha Mapinduzi inakanyagwa

    Ni mwezi, miezi na mwaka sasa watendaji wa umma wameamua kuwa sikio la kufa. Mnamo mwezi ya saba mwaka 2024 mh waziri alitembelea kinyerezi kuondoa kero ya maji iliyotesa wananchi. Aliiweka chini ya uangalizi wa wizara, cha ajabu mwaka unatimia kero ikiandama wananchi wa saranga na kinyerezi...
  2. DOKEZO Wakazi wa Kinyerezi waamua kuchimba visima kwa sababu ya uhaba wa maji

    Baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli, maji nayo yakafa Kinyerezi. Hivi sasa maji yanatoka mara moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika ikiwemo mitaa ya St Alex kwa Babu Ali hadi Sihaba. Maji ambayo hayana hata presha ya kupanda kwenye tanki yanatoka masaa matatu na kukatika...
  3. A

    KERO Hujuma ya Huduma ya Maji Kinyerezi - Kifuru kutoka Dawasa Kinyerezi

    Salaam wakuu Ni takribani mwezi na siku kadhaa tokea wakazi wa maneno ya Kinyerezi mpaka Kifuru na viunga vyake waone maji yakitoka katika mabomba yao ya maji ya Dawasa huku pakiwa hakuna taarifa yoyote kutoka Dawasa Kinyerezi ya kwanini huduma hiyo haipatikani Tatizo la Maji maeneo haya...
  4. KERO Tujengewe kivuko imara, hili daraja Mtaa wa Kanga, Kinyerezi Mwisho mvua ikinyesha inakuwa hatari kwa wavukaji

    Jamii Forums imekuwa nguzo muhimu katika jamii, hiyo ni kutokana na kuwezesha Serikali na mamlaka nyingine mbalimbali kutatua changamoto zinazowasilishwa na sisi Wananchi. Kuna daraja liko Kinyerezi Mwisho ukiwa unaelekea kwa Komba ambalo hasa linatumiwa na Watembea kwa miguu, tunapata shida...
  5. KERO Wakazi wa Pugu, Kinyerezi na Viwege tunalaza magari barabarani kutokana na ubovu wa miundombinu

    Sisi Wakazi wa maeneo ya Viwege na Pugu Kinyamwezi, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam tumekuwa na changamoto ya kuwa na barabara mbovu, ikinyesha mvua ndio kabisa hali inazidi kuwa mbaya kuliko maelezo. Barabara za mitaani kwetu zimeharibika vibaya, hali inayotulazimu kulaza magari mbali na...
  6. Ujenzi wa Barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi (KM 7) Waanza Rasmi

    Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kikazi kutembelea barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi yenye urefu wa kilometa 7, mkoani Dar es Salaam, na kusisitiza umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa barabara hiyo ya kimkakati. Katika ziara hiyo, Waziri Ulega ameagiza...
  7. Nyumba ya kupangisha ipo Kinyerezi Mbuyuni, sitaki madalali

    Nyumba ipo wazi kinyerezi mbuyuni, vyumba vitatu, kimojawapo ni master bedroom, public toilet ipo, jiko la wazi na sebule, ndani ya ukuta kuna nyumba 7, eneo lina utulivu ndani. Kodi ni 450,000 kwa mwezi, na tunapokea kodi ya miezi 6 Mimi sio dalali na sihitaji dalali, wewe kama ni muhusika...
  8. Mradi wa kuzalisha umeme kupitia gesi asilia wa Kinyerezi One

    Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020- 2025, Ibara ya 63(i)(c) imeelekeza Kukamilisha ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi I – Extension (MW 185). Mradi huu sasa umekamilika ambapo mitambo yote minne (4) imewashwa na inachangia Megawati 185 katika Gridi ya Taifa...
  9. House4Sale Kinyerezi: 2 Storeys 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    • Direction: Kinyerezi • Facilities: 4 bedrooms, 2 washrooms • Plot Area: 940 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 320 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ nyumba (ghorofa) ina vyumba master 2 na kawaida 2; sebule, dining, jiko, stoo, choo ya public na bindo ✓ ina malumalu, gypsum...
  10. U

    Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

    Naombeni sapoti yenu. Nimefungua Pub yangu Kinyerezi Mahakamani (Mnadani) inaitwa Run way pub. Asanteni Pia karibuni sana.
  11. Anahitajika mpangaji wa nyumba kwa taasisi au Dispensary, nyumba ipo Kinyerezi mwisho.

    Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density. Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200 kutoka barabara kuu lami. Matumizi unaweza kufanya ofisi au Dispensary itategemea na plan za...
  12. Kuna sehemu inaitwa Kinyerezi Park, ni classic sana, ila kwanini haifahamiki?

    Nimepita hapo. Watu ni wasiri sana, Hivi ni mimi tu ndio nilikuwa sipafahamu hapo au?
  13. Mwenyekiti UWT Mkoa wa Dar, Cde. Mwajabu Mbwambo Ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani Kituo cha Afya Kinyerezi

    📌Kituo cha Afya Kinyerezi 🗒️15/5/2024 Mwenyekiti Uwt Mkoa Dar es salaam Mwajabu Rajabu Mbwambo ameungana na Shirika lisilo la kiserikali TAHECO linalojishughulisha na masuala ya Afya na Mazingira chini ya mkurugenzi wake Shabani Maliyatabu na baadhi ya viongozi wa serikali za mitaa, chama na...
  14. Serikali kupitia TANROADS imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara-Bonyokwa-Kinyerezi kwa kiwango cha lami

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa – Kinyerezi kwa kiwango cha lami; Sehemu ya kwanza yenye urefu wa kilomita 6 pamoja na ujenzi wa daraja la Kinyerezi lenye urefu wa mita 25. Akizungumza kwa niaba ya...
  15. K

    KERO Dar: Maeneo ya Segerea hadi Kinyerezi hakuna Maji

    Mkuu Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa. Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu. Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hayatoki wiki ya 3. Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba...
  16. N

    House4Sale Nauza nyumba maeneo mbalimbali Dar

    NYUMBA ionekanayo pichani inaizwa TSH 15,000,000 (milioni kumi na tano) mazungumo Yapo -vyumba 2 vya kulala kimoja máster -Sebule -jiko -publick toilet NYUMBA ipo Mbagala Dar es Salaam maji matitu Kwa maelezo zaidi 0714337378/0715053339
  17. M

    Plot4Sale Nahitaji Kiwanja DSM cha Sqm 800-900, location KIGAMBONI Dege, Geza, muongozo, mwembe mdogo, cheka au KINYEREZI, kisiwe mbali na Main road. Offer 13M

    Mwenye nacho ambacho hakizidi Km 1 kutoka main road aniwekee namba ya simu, tuwasiliane.
  18. Naomba kujuzwa bei za viwanja Kinyerezi Mwisho

    Guys, nina ndugu anatafuta kiwamja 25 X 30 (750m²). Alipendekeza kinyerezi kuwa patamfaa. Katika kumsaidia kutafuta nikapata agency flani wakaniambia 65,000 per m². Meaning 48,750,000 kwa size anayotaka. Sasa kabla hatuja close deal nafanya due diligence nione kama hii bei ni thaman halisi ya...
  19. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Yatembembelea Chanzo cha Umeme wa Treni ya Kisasa Kinyerezi

    ✔️Yasema watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa inafanya kazi ✔️Vituo vya gesi kuboreshwa ili kuongeza uzalishaji Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema Watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa (SGR) inaanza kufanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
  20. L

    Kwanini Kinyerezi kuna mgawo wa Maji iwe mvua iwe jua?

    Naomba kuuliza nini kinasababisha kuendelea kuwepo kwa mgao wa Maji Kinyerezi? Mfano mimi nnapoishi sijaona maji ya DAWASA zaidi ya miezi 3 pamoja na mvua zote hizi zinazonyesha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…