kinyerezi

Kinyerezi is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 5,811.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Wananchi washindwa kupita kwenye Mto Kinyerezi kwa siku tatu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaagiza TARURA kuhakikisha wanajenga daraja kwa haraka eneo la Tabata kinyerezi ili wananchi wapate mahali pa kupita na kuepusha maafa kwa wananchi ambao wamekuwa wakikatiza huku maji mengi yakiwa yanapita. Chalamila ametoa maagizo hayo kwa...
  2. Mwande na Mndewa

    Dawasa Kinyerezi naona mnakula kwa urefu wa Kamba

    Salaam! Salaam toka Kinyerezi mtaa wa Sadani kwa Babu Ali,huu mtaa una miezi miwili hauna maji,ratiba ya kufungulia maji mara moja kwa mwezi mtaa huu inarukwa either kwa makusudi au wanatuona sisi manyani,kuna mitaa michache inapata maji kwa mwezi hata mara 3 kimpango mkakati ili itumike kama...
  3. Doctor Mama Amon

    Mgao wa Umeme, IPTL, Kinyerezi IV, na Pan African Energy Tanzania (PAET) Ltd: Kwa nini tunarudia makosa ya enzi za Rais Kikwete?

    Mhe. Doto Biteko , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Tangazo la serikali kuhusu mgao wa umeme unaoendelea limekuja wakati ambapo kuna maswali mengi juu ya "upungufu wa umeme" pamoja na sababu za kusimamishwa kwa Mradi wa Umeme wa Kinyerezi IV, ulioasisiwa na hayati Magufuli. Pia limekuja...
  4. Roving Journalist

    Dar: Wanawake wa Kinyerezi wazindua jukwaa lenye lengo la kumuinua Mwanamke kiuchumi

    Wanawake wa Kata ya Kinyerezi Jijini Dar es Salaam wamezindua rasmi Jukwaa la Wanawake ikiwa ni hatua ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika kumuinua Mwanamke kiuchumi. Jukwaa hilo limezinduliwa na Lutta Rucharaba ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli, jana ya Agosti...
  5. A

    DAWASA Kinyerezi mna shida gani?

    Kabla ya malipo niliwauliza inachukuwa muda gani kuunganishiwa maji wakajibu siku 7 hadi 21 za kazi sasa baada ya malipo imepita miezi miwili sasa nikiwapigia wanadai vifaa hakuna hadi nafikiria wanatengeneza mazingira ya rushwa maana sio sawa hii.
  6. P

    Muonekano wa kituo kipya cha daladala cha Kinyerezi

    #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
  7. FRANCIS DA DON

    Napendekeza uanzishwaji wa mradi wa Kinyerezi V hadi X

    Tanzania kwa sasa inamiliki bomba kubwa la kusafirisha gesi asilia toka Mtwara hadi Kinyerezi Dar es salaam ambalo lilijengwa kwa mkopo wa zaidi ya Dollar bilioni 1 toka China. Kwa taarifa nilizowahi kupata, ni kwamba hadi sasa Bomba hilo tunalitumia kwa chini ya asilimia 6 tu, hivyo bado kuna...
  8. Michael Amon

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kinyerezi - Songas

    Kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi kinauzwa Kinyerezi - Songas mbele kidogo ya mitambo ya kuzisha umeme ya Kinyerezi 1 na Kinyerezi 2. Kiwanja kipo eneo la kishua (Kwa wale wanaopajua Kinyerezi - Songas basi watakwambia kuwa hii ndio Masaki ya Kinyerezi). Kiwanja kipo kwenye barabara ya lami ya...
  9. U

    Raisi tunaomba Mradi mmoja wa ziada wa Gas Kinyerezi kabla ya 2025 hata wa MW 500

    Kiuhalisia Bila Raisi Kikwete kuleta Mradi wa Kinyrrezi 1,2 na 3 na extension one, tungekimbia nchi Kwa mgao mkali wa umeme, matumizi yameongezeka zaidi ya asilimia 50, hivyo Mzee kikwete alitusaidia sana, na Sasa tuna umeme wa gas ambao ndo huu tunagawana hawana. Ombi langu Kwa Raisi Samia, ni...
  10. uberimae fidei

    Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    *ENEO LINAUZWA* Eneo lenye ukubwa wa *ekari ishirini* linauzwa *Pingo, Chalinze*. Eneo linapakana na *Chuo cha Ualimu Chalinze* kwa mbele na kwa upande wa kulia ni *kiwanda kipya cha vigae cha Twyford* kinachojengwa hapo Pingo.Kama ambavyo baadhi watakuwa wanajua, kiwanda cha vigae kitaajiri...
  11. JanguKamaJangu

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na uhakika wa umeme wa gesi kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na uhakika wa upatikanaji wa umeme wa gesi katika kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II ambacho kinazalisha megawati 240 ambazo zinaingizwa kwenye gridi ya taifa. Kamati hiyo imefanya ziara katika Kituo cha Kinyerezi II kujionea uendeshaji...
  12. N

    DAWASA Kinyerezi, mwezi sasa unaisha sijapata control number ya kufanya malipo kuunganishiwa maji

    Wakuu ni mwezi sasa unaisha sijapata control number ya kufanya malipo kuunganishiwa maji, wadai mtandao TTCL upo down jambo hili linashangaza sana kwa kampuni kubwa kama DAWASA Kama wahusika mpo fuatalieni, msilazimishe kampuni kukaa kwenye mtandao mmoja ambao tija yake ipo chini kisa tu ni wa...
  13. B

    Dar: Panya road wavamia nyumba 24, wanne wajeruhiwa

    Wakazi wa mtaa wa Kabaga Kinyerezi yamewakuta. Ilikuwa ana kwa ana na panya road usiku wa manane. Kwa takribani masaa 2 ikivunjwa nyumba moja baada ya nyingine. Wakazi hao macho pima walikuwa wakichungulia madirishani, wakiwa wameufyata vilivyo mmoja baada mwingine akisubiria zamu yake...
  14. Jackal

    Nimenyimwa risiti ya EFD Kinyerezi hapa Makroy

    Hivi kama nimetoa tin number sitakiwi kupewa risiti? Bag langu la laptop wamezuia kisa nimedai EFD risiti.
  15. amu

    Plot4Sale Kiwanja minauzwa Kinyerezi kwa Ditopile

    KIWANJA KINAUZWA UKUBWA MITA 28 KWA 18 TAMBALALE LOCATION: KINYEREZI KWA DITOPILE. MWENYEWE NDIO ANAEUZA. MAUZIANO NI SERIKALI YA MTAA. UKIHITAJI WASILIANA 0620593714 Bei Million 9
  16. Mawematatu

    Tahadhari: Baa hii iliyopo Tabata Kinyerezi ina wadada wezi

    Ndgu zangu tunao simama kwenye hizi Bar tuweni makini Ilikuwa hivi. Nilisimama kinyerezi mwisho njaa ilibana Sana. Nikaona magari na wateja wasimama na wanakula Wababa wamejikalia wakila na kunywa. Kwa kuwa ilikuwa jumamosi nikapark pembeni mbele ya bar tajwa. Nikiwa nasubiri oda ya chakula...
  17. Nyuki Mdogo

    Car4Sale Suzuki carry (kirikuu) inauzwa. Iko kinyerezi Dar

    Haina tatizo lolote. Gari ya kuwasha na Kuondoka baada ya Malipo. Bei 4.million Net. Dalali unanipa elfu 15 tu ya Bando la Mwezi. wahisha biashara achana na comments 0713096076
  18. B

    Natafuta kiwanja Kinyerezi ukubwa kiwe 30x25

    Wakuu natafuta kiwanja maeneo ya Kinyerezi kilichopimwa kwa size ya 30 kwa 25, bajeti yangu haizidi 10mil naomba mwenye kujua tuwasiliane
  19. C

    TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  20. K

    Tafadhali: Mwenye habari kamili kuhusu kuuawa kwa mwalimu huko Kinyerezi Dsm, mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki.

    Ni story ya kusikitisha. Ugomvi wa kiwanja. Nimeiona hiyo nyumba inayotakiwa kubomolewakijuujuu tu. Tafadhali mwenye picha kamili
Back
Top Bottom