Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka kwenye mashimo hayo.
Lakini katika hali ya kushangaza katika eneo hilo biashara ya vyakula hususani...
Wakuu,
Nimekutana na video huko duniani, kahawa hii wanapewa tembo wale na tembo hao wakijisaidia inaenda kusafishwa kisha kuuzwa, wanadai eti ikipita kwenye mwili wa tembo inapunguza ladha ya uchungu, yaani isiwe kali sana.
Hii ni kweli wataalamu?🥲
Video hii hapa👇
---
Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari.
Simu yangu ina tatizo la camera, lakini nathibitisha kesho nitapata picha nzuri zaidi.
Dereva wa Gari la majitaka anatamba...
Kinyesi ni makapi ya chakula baada ya umeng'enyaji kwenye mfumo wa chakula. Mkojo wenyewe ni mkusanyiko wa taka mwili karibu zote za mwilini. Taka hizo zinatoka mwilini mwote, zinaingia kwenye damu, kwenye figo na kisha kama mkojo. Hivyo mkojo unakuwa na makorokoro mengi sana ukilinganisha na...
India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe.
Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe kwa wingi mkubwa.
Yah habar ndio hio, wakati Dunia ikizidi kusonga mbele Kwa science na technology, tz 🇹🇿 Hali ni tofauti kabisa , Wao wanarudi zama za mawe (stone Age).
Hii habari ime reportwa shinyanga mwaka 2023 July na BBC Swahili, Lakin hatukusikia tamko la serikali, la kufanya uchunguzi AU Hata kukemea...
Hii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi
Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi...
Katibu wa Wizara ya Kilimo nchini Kenya, Dkt. Paul Rono, ameamuru kusitishwa kwa uuzaji wa mbolea aina ya NPK 10:26:10 inayotengenezwa na kampuni ya Ken Chemicals ya Thika.
Katika barua yake kwa Bodi ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao (NCPB), Dkt Rono amesema uchunguzi uliofanywa na maafisa wa...
Viongozi wa jiji la DAR tunafahamu mnatembelea magari yenye tinted. Lakini watu wa Dar nao kila kitu kwao poa tu.
Mimi nitoe wito kwenu watu wa dar hasa watumiaji wa soko la Kisutu kwamba siyo vyema kukalia uchafu. MNAUZA vyakula wakati huo mnaona kabisa bomba la maji machafu limepasuka na...
Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo.
Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu ulioundwa na kuainisha kinyesi katika vikundi saba.
Baada ya kujisaidia, kile unachokiona chooni...
Wakuu
Mi nadhani Zama za kutegemea chanzo Cha umeme cha aina moja kama maji pekee na gesi kidogo imepitwa na wakati.
Kilichotokea jana uwanjani kinatupa picha kuwa nyakati zimefika za kutotegemea kiitwacho grid ya Taifa ya umeme wa aina moja, Taasisi lazima ziwe na umeme wa kujitegemea kama...
Bata wanakunya kinyesi cheupe (kawaida huwa wanatoaga kinyesi cheusi), hawana kabisa hamu ya kula, kunywa maji na wanaishiwa nguvu na kutembea goigoi.
Please, nisaidieni ni ugonjwa gani na tiba yake.
Habari zenu wakuuu.
Huko Indonesia kwa muda sasa wamegundua njia bora ya kuzalisha kahawa bora inayoitwa "Luwak coffee" kupitia kinyesi cha mnyama wanayemuita Luwak au "Civet cat".
Mnyama huyo pamoja na vyakula vingine anapenda kula mbegu mbivu za kahawa (buni), kwakuwa tumbo lake haliwezi...
Nimechanganyikiwa kichizi, bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney.
Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni.
Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati.
Kule chooni unapomaliza shughuli zako, huwa kuna zoezi la kuflashi ama kumwaga maji ili choo kiende, ila amini usiamini kuna choo hata uki flashi mara ngapi kitaibuka tu, hakunaaga utofauti na aina ya watu hawa.
- Kuamka saa tatu ama nne asubuhi.
- Muda mwingi ni kuchati, kupeleka playstation...
Wasalaaamu ndugu , jamaa na marafiki wa JF . Haika nawathamini sana.
Kila mmoja wetu amepata kushituka kwa taarifa ya wasomi wetu nguli wa mambo ha mazingira kwa kusema samaki katika mto mara wamekufa kutokana na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Kabla ya kupinga au kuunga mkono majibu ya tafiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.