Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na...
Salaam Wakuu,
Usalama wa wagonjwa hatarini katika hospitali ya Dar Group iliyopo Tazara Jijini Dar es Salaam.
Mazingira yote ya hospitali yananuka kinyesi kutokana na kutozibuliwa Kwa chemba za kuhifadhia maji taka.
Wagonjwa Wengine wanashindwa kuvumilia na kuondoka kwenda kwenye hospitali...
Kutoka BBC asubuhi hii, kuna vijana wabunifu wakazi wa Arusha wamekuja na mkaa unaotokana na kinyesi cha binadamu.
Ni mkaa usio na athari yoyote kiafya hata kama mtu atalala nao ndani
Ni mkaa unaokaa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida.
Huwezi kuuzima na maji kama mkaa mwingine
Hauna moshi...
Wasalam:
Kwa hali ilivyo, na jinsi nchi inavyoendeshwa kwa matamko na kuvunja Katiba, jumlisha kauli kinzani za wana CCM zinazowagawa watanganyika huko mbele itakuwa kazi ngumu kuwaunganisha, maana watu wamepoteza imani.
Mambo yafuatayo yameligawa taifa:
1. Ugonjwa wa Corona
ccm hawa hawa...
Mheshimiwa Msukuma amepata umaarufu mkubwa siku za karibuni haswa kwa kumkejeli Profesa Muhongo mwenye kuamini kwamba umeme wa gesi ni suluhisho la suala zima la nishati hiyo. Ni mawazo ya Profesa Muhongo na anao uwezo wa kuyatetea kwa hoja kila anaposimama na kuongea bungeni.
Naona kama...
Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo.
Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu ulioundwa na kuainisha kinyesi katika vikundi saba.
Baada ya kujisaidia, kile unachokiona chooni...
Tangu miaka ya zamani tuliaminishwa hivyo"
Kwamba karo la choo likiwa na kinyesi liwauwezo wa kuzalisha Megawatt za kutosha!
Sijui kwanini hadi Leo wanasayansi wapo kimya!
Yamkini tungekuwa na STIEGLERS ndogo ndogo kila mtaa!
Wakuu nisiwachoshe sana,
Naomba mwongozo kwa anaeweza kunisaidia kuanzisha kiwanda cha uzalishaji mbolea hii adimu kuhusu malighafi ipo ya kutosha! Mnisaidie pa kuanzia ili niweze kuandaa mashine, mtaji na jambo lolote ambalo mnahisi litanisaidia kunzisha mradi huu na pia Alie tayari kuungana...
Mwanangu baada ya kumpa uji leo asubuhi niliochanganya na mafuta ya Habbat souda na asali...
Akawa anajiangalia tumbo lake kama analipiga piga.. Nikadhani linamuuma labda au ameshiba sana...
Shida alipojisaidia toka asubuhi yake kabla sijampa huo uji nilioeleza hapo. .. ALIJISAIDIA KINYESI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.