kinyume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kushikilia kadi za benki za Watumishi wa Umma kama dhamana wanapokopa ni kinyume cha Sheria

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Abdul Mtaka, ametoa agizo kwa taasisi zenye tabia ya kushikilia kadi za benki za watumishi wa Umma kama dhamana wanapokopa kuacha mara moja vitendo hivyo kwa kuwa ni kinyume cha Sheria. Agizo hilo amelitoa Wilayani Rorya...
  2. Ahukumiwa miaka 20 jela kwa kumiliki fisi kinyume cha sheria

    Emmanuel John (31), Chifu mkazi wa Kijiji cha Kilulu wilaya ya Bariadi kwenda jela miaka 20 na kuchapwa viboko 12 baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki fisi kinyume cha sheria. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatano, Machi 12, 2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa...
  3. W

    Zaidi ya Degree 100 zimefutwa baada ya vyuo 15 kufanya kazi kinyume na Sheria Kenya

    Nimewaza tu kwa sauti kwamba mtu umepigika zako miaka mitatu ya kutafuta digrii alafu unakuja kufutiwa kwamba ni feki. =================================== Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu imetaja vyuo 15 vinavyofanya kazi kinyume cha sheria nchini Kenya na kuwaonya Wakenya kwamba vyeti vya kimasomo...
  4. Pre GE2025 Makalla Jimbo la Kigamboni mmezidi kujipitisha, msipojirekebisha tutawaengua

    Minyukano ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), inayoendelea kupigania Jimbo la Kigamboni imeuibua uongozi wa Chama hicho unaodai haufurahishwi na vitendo hivyo huku ukiahidi kuwashughulikia iwapo hawata jirekebisha. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  5. U

    rafiki yangu msabato akiri yapo mafundisho kinyume na Biblia yaliyoingizwa kanisani mwao analaumu kanisa katoliki lengo lao kuwavuruga kiimani

    Wadau hamjamboni nyote? Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya...
  6. M

    KISAIKOLOJIA, VITA VYA UENYEKITI CHADEMA NI UTHIBITISHO KUWA HAWANA TUMAINI LA KUSHINDA NAFASI YA URAIS KTK UCHAGUZI MKUU 2025. KINYUME CHAKE WANGEACH

    Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa kutoka kwa chama mtaala. Wakati mbowe akiwatumia vijana wake akina wenje, yericko kupoza nguvu ya...
  7. Erdogan adhiihirisha tena si mtu wa kumtegemea,Anafanya kinyume na anavyotangaza

    Rais wa Uturuki katikati ya vita vya Gaza alitangaza ataingia Israel ili kuizuia Israel isiendelee kuwaua wapalestina, Hilo jambo hakulifanya kamwe. Anachokifanya sasa kuwapa silaha waasi na mamluki wa Marekani ili kumpinuda Bashar Al Assad ni msaada mkubwa kwa Israel ambaye imechanganyikiwa...
  8. Polisi wetu mtuhumiwa hakamatwi kwa uvamizi, badilisheni mbinu za ukamataji

    Nitoe Rai kwa jeshi la polisi pamoja na yote upepo unaopita kwa sasa kwenye nchi yetu sio mzuri! Badilisheni namna ya kumkamata mhalifu kinyume chake wananchi wataanza kujihami kwa siraha yoyote nife ama ufe wewe ! Kwa sababu Hali sio shwari! Mnaenda kumkamata mtu kwa kumvamia mnataka aamini...
  9. S

    Kama jengo la Kariakoo ni miongoni ya yaliyosemwa kujengwa kinyume cha kanuni na Tume ya Lowassa, serikali ishitakiwe ili ifidie wahanga mabilioni!

    Kamati iliyoteuliwa mwaka 2006 na Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, ilibaini kuwa majengo 147 kati ya 505 yaliyokaguliwa jijini hayakuwa nyaraka na vibali sahihi vya ujenzi. Yalijengwa kiholela na bila viwango na kuwa hatarishi kwa uhai wa watu. Mnamo mwaka 2008, Waziri Mkuu, Mizengo...
  10. K

    Jifunze kusikiliza nafsi yako, usiende kinyume na mwili wako..!

    Kama kila siku unafanya Kitu Fulani na nafsi inakuwa very smart kukifanya Kitu hiko Basi siku ukiona nafsi IPO tofauti na matakwa yako jifunze kutiii Mungu hawezi kushuka akakwambia Leo sehemu Fulani hapana hawezi kushuka Ila anatumia mwili wako huo huo kukupa signal kuwa something Is wrong...
  11. Wasichana wa Kitanzania 94 waliokuwa wanaishi kinyume cha Sheria India warejeshwa Nchini

    Jumla ya Wahanga 94 wa Usafirishaji Haramu wa Binadamu wamerudishwa nchini kutokea India huku Serikali ikitoa wito kwa watu wanaotaka kwenda kufanya kazi nje ya nchi kufuata taratibu ikiwemo kufahamu kampuni wanazoendea kufanyia kazi kama zimesajiliwa kisheria. Hayo yamesemwa na Afisa...
  12. A

    KERO Utozwaji wa Nauli kinyume na Nauli zilivyoelekezwa na mamlaka (LATRA)

    Ma agent wa mabasi hasa yamikoani wanatoza abiria nauli ambazo ni kinyume na nauli elekezi. Kwa mfano Nauli rasmi kutoka mkoani Gieta kwenda Kibondo (kigoma) kupitia nyakanazi ni Tshs. 17000/= Lakini makampuni ya mabasi kupitia ma agenti wao kutoka eneo hilo wanatoza nauli Tshs.22,000/= kinyume...
  13. Trump aishauri Israel ilipue nuclear sites za Iran, kinyume na ushauri wa Biden

    My take; Just take the Islamic republic out, weaken them enough for the people of Iran to take care of the rest. When the people get rid of the Islamic republic and the Ayatollah goverment nobody needs to worry about any nuclear wars.
  14. Usahihi wa Maamuzi unategemea Usahihi wa Taarifa, na kinyume chake

    Parable 02|15-16/24| Katika mazingira yakudadisi au kulichambua jambo fulani( ni kama tulikua tuna fuatilia kanuni/taratibu/sheria/sera flani flani) . Sehemu ile tulikua watu zaidi ya wawili, tulilichambua lile swala uchambuzi ukaonyesha tuko sahihi na hasa mkuu Wa idara alioneshwa kuamini...
  15. Utani wa Simba na Yanga pembeni, bus la SIMBA kuingia kinyume nyume leo kwenye mechi ya kirafiki ilikua ni nini?

    Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za viongozi, una baki na maswali mengi mno kichwani, anyways tukutane mwisho wa msimu...
  16. Mwanaume halisi sharti asulubike: Mwanaume hujifunza na kuimarika kupitia magumu ila Wanawake ni kinyume chake

    Mwanaume halisi hatakiwi kuonewa huruma wala kujionea huruma Kwa sababu Mwanaume makini na mzuri ni yule aliyepitia magumu " the best men suffer". Haipo haja ya kumwambia mwanaume maneno laini kama una nia thabiti ya kumsaidia kuwa bora. Ikumbukwe Mwanaume hujifunza zaidi kupitia ugumu na...
  17. Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

    Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na mwanafunzi wake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema siku za nyuma...
  18. Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
  19. Service Levy inatozwa kinyume cha sheria?

    Tozo ya huduma ( service Levy) inatozwa kwa mjibu wa Sheria ya fedha namba 9 ya 1982 kifungu cha 6 (1)(U). (u) all monies derived from the service levy payable by corporate entities at the rate not exceeding 0.3 percent of the turnover net of the value added tax and the excise duty. What is the...
  20. Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho, kijamii, kiakili na kua na furaha zaidi ila sasa hali ni tofauti kabisa. Mazingira ya ajira na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…