kinyume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pang Fung Mi

    Kuna Mzungu Mmoja anaishi kota za SUA Sokoine Campus Kilimo Street, anawaingilia wanaume kinyume na maumbile na jamii SUA inajua miaka mingi

    Wajibu wangu ni kupiga mbiu mamlaka timizeni wajibu wa kuilinda jamii. Mkisikia ushoga upo basi jamii underground wanayaona na kuyafunika kuna Tetesi zisizo na mashaka za miaka mingi, bodaboda na bajaji na wanajamii ya SUA wanajua hilo na wanashuhudia ugomvi wa mashoga ama wanaume kwenye makazi...
  2. BARD AI

    Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

    Kwa mujibu wa Wakili Jebra Kambole ambaye yuko upande wa utetezi, amesema Watuhumiwa wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo kwaajili ya kusomewa Mashtaka yanayowakabili. Sifa Bujune, Mkazi wa Isyesye anashikiliwa tangu Septemba 13, 2023 pamoja na Mtayarishaji wa muziki aitwaye...
  3. malisak

    Je, umemsave vipi kwenye simu mwenzi/mpenzi wako?

    Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika. Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee...
  4. Lupweko

    Kwanini Injinia alivaa nguo nyeupe kinyume na utamaduni wetu wa Yanga?

  5. Nyankurungu2020

    Hayati Magufuli alisimama kidete Sheria ya Kulinda Rasilimali za Tanganyika ikatungwa. Leo hii Mkataba wa Bandari upo kinyume na sheria hii

    Kifungu cha 11 cha National wealth and reources (permanent sovreignty) kinazua makampuni yatayoingia mkataba na nchi yetu kutumia rasilimali kufungua kesi nje ya nchi kwenye mahakama za kitaifa. IGA ya mwarabu imeenda kinyume na sheria za nchi. Ila ilipitishwa na ikabarikiwa na mahakama kuu.
  6. mangikule

    Dini ya kweli ni haki, kinyume chake ni ushetani

    Nimefuatilia mijadala mingi ya kisiasa hapa. Kuna wanaopinga au kuunga mkono tu kwa kigezo cha dini ya kiongozi mkuu. Mijdala ilianzia mbali sana Miaka ya tisini mbuga zetu ziliuzwa Loliondo upinzani na uungaji mkono ukalalia udini. Miaka ya 2005 hadi 2010 ufisadi mkubwa ukajitokeza na...
  7. kekule benzene

    Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

    Habarini za Nanenane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada. Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha. Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, jambo ambalo lilinipa hamasa ya...
  8. Half american

    Umewahi kukataliwa hadharani kinyume na ulivyotarajia?

    Expectation kills , they kill us once when we wait for the same things we did for people. They kill us twice when we don't really get anything. Maisha yanaenda kasi sana, leo nmekumbuka tukio moja lililowahi kunitokea miaka ya nyuma kidogo. Kuna dada wa kitanga niliwahi kumpenda sana, siku moja...
  9. Webabu

    Kule TMA huwa wanatazamanaje siku utabiri ukienda kinyume?

    Kazi ya utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa ndio maana serikali ikaanzisha idara maalum ya utabiri wa hali ya hewa. Ni wazi kuwa kazi ya idara hii ni kutabiri tu na wala si kutoa amri hali ya hewa iweje kwenye maeneo tofauti ya taifa letu.Mimi tu kama mwanadamu huwa napenda...
  10. T

    DOKEZO Afisa mwandamizi wa rasilimali watu ajipa fedha za mikopo ya wafanyakazi kwa matumizi binafsi

    Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Noelah Ntukamazina anashirikiana na afisa mwandamizi wa rasilimali watu Abraham Mwakasungula kupata fedha kwenye taasisi ya serikali bila kufuata taratibu za mikopo ya wafanyakazi. Mwaka 2023, Afisa mwandamizi wa rasilimali watu...
  11. Roving Journalist

    Mawakili wa DKT. Rugemeleza Nshala wadai Askari wamepekua maktaba ya mteja wao kinyume cha Sheria

    Siku chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumpa wito Wakili Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam, kuna mambo kadhaa yameibuka. Ikumbukwe kuwa Ofisi ya...
  12. L

    Marekani inaendelea kusimama kinyume cha amani

    Hivi karibuni, serikali ya Marekani ilitangaza kuipatia Ukraine msaada mwingine wa kijeshi wenye thamani ya dola milioni 800, ikiwa ni pamoja na mabomu aina ya cluster ambayo yamepigwa marufuku na sheria za Marekani yenyewe. Cha kuchekesha ni kuwa, mwishoni mwa Februari mwaka jana, siku tano...
  13. M

    Shura ya Maimamu yataka Mkataba wa Bandari Uboreshwe na haki itendeke kwa Makumi ya Masheikh walioko Jela nchi nzima

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA BARAZA LA IDD ADH-HA, ALKHAMISI TAREHE 29.06.2023 -1444. “HAKI NA UKWELI VITHAMINIWE” FALSAFA YA IBADA YA HIJJA Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema kwa kutupa fadhila nyingi. Tunamuomba Azidi kuturehemu kwa namna...
  14. M

    Profesa Shivji anasema mkataba wa Dubai/DP World uko kinyume na katiba; Je kusigina katiba sio kosa la uhaini?

    Leo wakati akiongea katika mdahalo uliofanyika UDSM, mhadhiri mwandamizi wa sheria profesa Issa Shivji ameeleza kuwa mkataba wa uendeshaji bandari kati ya Tanzania na Dubai una dosari kutokana na vifungu vilivyotajwa hapo juu kukinzana na matakwa ya kikatiba ya Tanzania. Na akaeleza kesi inaweza...
  15. mtwa mkulu

    Kuhusu mgogolo wa Mahindi tunaomba mtuelewe tulio kinyume na spika Tulia

    Wandugu. Umofia kwema? Siku za hivi karibuni tumepata mashambulizi makali kutoka kwa Genge la Bashe. Baadhi ya watu ambao ninaamini huenda ni wanaume wa Dar wamekuwa wakishadadia kile kinachoendelea dodoma wakiwa hawajui hali halisi ya mashambani. Naomba kutoa ufafanuzi kwa hoja zifuatazo. 1...
  16. JanguKamaJangu

    Kijana wa miaka 18 afungwa jela miaka 30 kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Tonny Kurwa Zuchu [18] Mkazi wa Misungwi Mwanza amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuruhusu kuingiliwa kinyume cha maumbile. Hukumu ya kesi hiyo ya jinai namba 91/2023 imetolewa Aprili 19, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya mbele ya...
  17. mama D

    Wanaume mnaowaingilia wanaume wenzenu, na wanawake kinyume cha maumbile arobaini yenu imefika!

    Watajwe na wakamatwe na kufungwa kifungo cha maisha. Hii ndio itaondoa hii dhahama ya ushoga na ulawiti Tanzania WATAJWE, WAKAMATWE NA WAFUNGWE JELA ULAWITI, USAGAJI NA USHOGA HAUKUBALIKI TANZANIA Asante cocastic
  18. BARD AI

    Kati ya Miili 1,294 iliyofukuliwa ni 52 pekee ilipata idhini ya Mahakama, mingine ilifukuliwa kinyume cha Sheria

    Katika uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dar es Salaam, unaonesha kuwa tangu mwaka 2015 hadi 2021, kulikuwa na matukio ya kufukua miili 1,294. Kati ya matukio hayo, yaliyoruhusiwa kufukuliwa kwa amri ya mahakama ni 52 pekee. Aidha, Mahakama ya...
  19. Debby the FEMINIST

    Kilwa Lindi: Miaka 30 jela kwa kukiri kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Mahakama ya Wilaya ya Kilwa masoko mkoani Lindi imemuhukumu Muharami Ngayoma maarufu Kibwege (30) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile. Hukumu hiyo ya kesi namba 27 ya mwaka 2023 imetolewa Aprili 17,2023 na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Carolini Mtui...
  20. MIXOLOGIST

    Yanga kuifunga Simba siyo habari (news) ila kinyume chake ndiyo habari (news)

    Wananchi tumezoea ushindi, tunafunga Simba, Paka, Chui, Sungura na yeyote ajaye mbele yetu. Yanga kuifunga Simba haijawahi kuwa ni habari, na pengine vyombo vya habari visiandike au kutangaza, ndiyo kawaida, yaani mfumo wa maisha kimichezo kwa sasa. Ni kama binadamu kula samaki, ni jambo la...
Back
Top Bottom