Habari yako,
Kwa wakazi wa Bongo, neno Shivaz sio geni masikioni mwenu! Manka Mushi mie, mtoto wa kichaga huko na Mrina ndiyo yalikuwa machimbo yangu ya kujidai. Kiufupi nimeumbika, shepu mashallah! Msambwanda asilia nimejaliwa sio wezere la kuvalia kigodoro yaan nina kila kigezo cha kuitwa...