Ukisikia Kauli ya Gerson Msigwa kuhusu kupigwa kwa Mihela kwenye ujenzi wa uwanja wa soka wa Arusha utashangaa sana kama Kuna Kiongozi wa serikali ya ccm Ambaye hajatajirika
Na kama yupo Kiongozi wa namna hiyo basi atakuwa fala sana!
Nchi inaliwa vibaya mno, tena inaliwa huku kukiwa hakuna...