Kiongozi mpya wa kijeshi wa Madagascar, Kanali Michael Randrianirina, anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa taifa hilo siku ya Ijumaa, Oktoba 17, 2025, licha ya upinzani kutoka kwa Umoja wa Afrika (AU), uliosimamisha uanachama wa nchi hiyo kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyomng’oa madarakani Rais...