Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.
Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu suala la "Wakati gani wa Mwanaume kuoa". Wengi wameenda mbali zaidi na kusema, "Suala la mwanaume kuoa sio umri, bali ni kipato na uwezo wa kuilea familia"
Swali: Mwanaume huyo atagundua vipi kuwa kipato chake alichonacho sasa kinamwezesha yeye kuoa?? Ni kipato...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti tatu muhimu zinazobainisha mchango wa wanawake katika uchumi na nafasi za uongozi.
Akianza na ripoti...
Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake.
Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio...
Mimi Mbwichichi nafahamika na baadhi ya watu humu kutokana na historia yangu ya upambanaji katika kutafuta riziki.
Kwa miaka mingi sana nimekua napambana kupata pesa,lakini hustle nyingi za wakati huo zilikua za kupata pesa ya mboga tu…lakini nilikua nina tamaa ya kupata kila kitu,gheto kwangu...
1. Website ya biashara/kampuni: Tsh 370,000
-Inakuwa tayari ndani ya wiki mbili.
Free domain name (.com .org .co .io)
10 Business emails (mfano: info @ biasharayako . com)
Free SSL certificate
Up to 50GB storage
Unlimited bandwith
Up to 3 subdomains: mfano 👇
Domain: www . biasharayako . com...
To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp.
Familia zetu zinakula na kunywa kupitia hii mitandao
Tunauza bidhaa za mamilion , tunanunua bidhaa n.k
God bless you makizigibagi.
Wengi mnaona biashara ni kama mgodi.
Ni heli ukope ujenge kibanda chako uhamie na familia yako, lakini sio ukope uende kuanzisha biashara kama beginner.
Labda kama wewe ni mpigaji, unapata pesa za kutosha nje ya system ila wale wenzetu upo chini ya salary na malupu lupu, baba na mama wanauza...
Picha linaanza una familia ya watoto wanne na kuendelea
👉Umepanga chumba na sebule
70k-100k kwa mwezi
👉Usafiri wa kazini 3000 Kila siku
👉Chakula 200k (angalau ili upate mlo standard) kwa mwezi
👉Bado umeme(10k), maji
👉Huna malupulupu
Kuweka akiba kwa mtu anayeingiza 450k kwa mwezi ni kujitesa...
JE KUNA UKWELI WOWOTE KWAMBA KIPATO CHA MWANAMKE KIKIONGEZEKA HUWA CHANZO CHA KUONYESHA DHARAU NA KIBURI?
Swali hilo linaweza kuwa na majibu aina mbili ndiyo na hapana kwa wakati mmoja.
kwa uzoefu wangu nimewahi kukutana na wanawake wengi sana ambao wanakipato kikubwa sana, elimu,vyeo, umaarufu...
Mko vizuri wakubwa?
Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato?
Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing...
Ni content but in reality inachoma kama pasi.
Poleni wanaume wote mnaopitia khali hii ama zaidi ya hii.
Mwenyezi Mungu awaone na kubariki hustles zenu.
Happy Friday.
Content creators au watengenza maudhui katika mitandao ya kijamii huingiza pesa katika namna mbili.
Namna ya kwanza ni ile ya kulipwa na platform husika (mf. X.com, tiktok au YouTube)
Namna ya pili ni ile ambayo naweza kuita kujiongeza au niite monetization.
A. Kulipwa na platform husika...
Habarini wakuu.
Kuna hawa watu hupost picha/video za kuchekesha kufundisha kuburudisha na vinginevyo katika mitandao kama vile YouTube Instagram Tik Tok nk.
Akili yangu inaniambia hii ni biashara lakini huwa nabaki na swali kama ni biashara hawa watu huwa wanalipwa vipi/wanapataje faida...
Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa.
Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa!
Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8
Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio...
https://www.youtube.com/shorts/e-h8zzRwB44?feature=share
RC Chalamila nazani madaraka yamemlevya ..amekua akiwadharau sana watu wa kipato cha chini ,hana lugha mzuri kundi ili la watanzania wenye kipato cha chini .amewashambulia sana wanaume wauza uduvi na kuwaambia wataolewa .
Kumbuka...
Linapofika swala la Asubuhi kwenda kwenye Chai, Ofisi nyingi huwa Zina Staff Tea.
Sasa Kuna wale ambao wanaenda Canteen kununua chai.
Mshahara tunalipwa wote kiwango sawa au Hata wewe umenizidi mshahara, Punguzeni kuomba nunuliwe Breakfast.
Na ukifika Mchana pia kama Kawa mda wa luch...
Habari zenu?
Natumaini wote mko salama.
Je, hii ni njia mpya ya kutengeneza kipato? Is this a new hustle? Mara kadhaa imewahi kunitokea katika simu nakuta hela inakatwa, kama vile nimeongeza vocha halafu nataka kuunga kifurushi naambiwa salio halitoshi.
Kipindi cha nyuma nilikuwa nasamehe...
Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.