Wakuu Kwema!
Kwa watembezi wa mikoa ya Tanzania na wachunguzi huru mtakubaliana na mimi katika utafiti huu usio rasmi.
Utafiti huu nimeufanya kwa miaka minne tangu 2016 mpaka 2020 nikiwa natembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania. Mikoa niliyoifanyia utafiti ni mikoa ifuatayo; Dar es salaam...
Habari zenu waheshimiwa!
Binafsi ni muhitimu wa ngazi ya shahada ya kwanza katika nyanja ya uhandisi migodi na uchenjuaji.
Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye connection ya kazi nyanja yoyote anisaidie.
Nina uzoefu katika usimamiaji wa crusher na plant kama production supervisor katika kiwanda...
Habari wakuu.
Mke wangu ni muajiriwa kwenye moja ya entities hapa Tanzania, kipato chake kwa mwezi ni around 1.9m baada ya makato yote ya serikali.
Mimi kipato changu ni around 500k kwa mwezi na kiukweli kama mwanaume najitahidi sana pamoja na kipato changu kidogo kuhudumia familia yangu...
Naitwa Omari Juma napatikana Mtwara, Nanyumbu, Mangaka elimu yangu ni ya sekondari lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo. Naomba mtu yeyote mwenye kazi anisaidie ili niweze kuishi kama vijana wengine naomba sana msaada wenu.
Nimefikia hatua ya kuandika hii leo hapa kutokana na ugumu wangu wa...
Naitwa Paul Sirai Peter ni kijana mbunifu na kwenye jitihada yangu nimalize nilikuwa napima watu pressure masokoni kwa Mia mbili kabla ya kutakiwa kupata kibali hivyo naomba msaada wa kibarua chochote kitachonipa angalau mkate wa Kila siku.
0689052541
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa wamepata chanjo bilioni 1 kwa ajili ya nchi za kipato cha chini na cha kati.
Ghebreyesus alifanya mkutano na waandishi wa habari katika makao makuu ya WHO huko Geneva, Uswizi, akitumia njia ya video...
Happy new December month, (kwa heshima ya aliyeanzisha uzi ule) niende kwenye mada moja kwa moja,
Kwanza naanza kwa kutoa wito kwa wanaume wenzangu, kuwa usikubalia kudate au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke asiyeweza kuwa na mawazo hata ya kujiingizia sh 500 yake japo ya vocha kwa siku au kwa...
Kufuatia sakata hili la 19 ambalo ni wazi inaonesha msukumo wake ni njaa ya mapesa na anasa za Ubunge, nachelea kuhoji sasa hawa Wabunge wetu wanapanga vipi bajeti zao kutokana na mapesa wanayolipwa?
Fikiria mtu kama Halima, miaka 10 ya Ubunge lakini anakuja kuishia kujimaliza kisiasa kwa...
Ntahamia rasmi mkojo wa punda (balimi) ntaziacha heinken
bando la data ntapunguza matumizi, kwa kiasi kikubwa nitatumia free basics
Hiki chombo changu cha usafiri kinachotumia lita kadhaa kila siku itabidi nikiuze ninunue ist au vits kukabiliana na uhalisia
Natumai hamjambo wakuu,
Ukiitazama taasisi ya ndoa utagundua maskini wakafanikiwa zaidi kudumu ndoani kuliko wenye kipato cha kati/matajiri.
Je, kwa mtizamo wako unadhani ni ipi sababu ya ndoa za maskini kudumu kuliko za wenye kipato cha kati/matajiri?
Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) limetoa ripoti kitabu cha kuonesha namna bora ya kufanya miradi ambayo itakuwa na uchumi jumuishi ambao utapunguza tofautii kati ya walionacho na wasionacho.
Kitabu hicho kimeonesha miradi ya serikali huwa ya gharama sana na huwa haina ubora. Pia huwa haina...
Nalipenda jukwaa Leo kwa kuwakumbusha vijana wenzangu njia rasmi unazoweza kujipatia kipato bila kuvunja sheria za Nchi.
1. Kujiajiri (Biashara, Kilimo, ufugaji na kubet)
2. Kuajiriwa.
3. Kurithi.
4. Mikopo.
5. Kupewa.
Ya Mwisho ambayo ni halali lakini siyo rasmi, ni KUOKOTA.
Habari za jioni wanajamvi.
Ni mgeni humu,shida yangu natafuta thread iliyokuwa inatoa elimu ya kuingiza kipato Cha ziada mtandaoni mf.freelancing nk.
Naomba kuunganishwa na mtoa post.
Asanteni.
Hii ni nzuri kidogo na inaeleweka.
Mkuu kama unaona maisha yako ni ya uchumi wa kipato cha kati na unaendekeza kugawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea. Utabakia hapohapo.
Wanawake wafundishwe kujitafutia. Mbona wanawake wakizungu wao ukienda nao hotelini wanajilipia wenyewe ina...
Wakuu Igweeeee!
Kwa muda kama wa miezi miwili hivi niko sehemu nimejishikiza. Baada ya muda wa kazi naona nina muda mwingi ambao nina access na internet ambayo nahisi nikipata kitu constructive inaweza kunisaidia kuniingizia kipato. Ungekuwa wewe ungeitumiaje?
Au fikiria hivi, umefungiwa ndani...
Huu ndio ukweli uliopo. Nafasi uliyonayo kwa sasa au nyanja yako ya kiuchumi uliyonayo ndiyo itakayokupatia mpenzi anayeendana na hali uliyonayo. Kama hali uliyonayo itabadilika huko mbeleni, pia na uhusiano utatikisika kwa sababu utakuwa uko daraja lingine la kukutana na wenye hilo daraja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.