Tunatafuta usalama na uhuru.
Usalama na uhuru ndiyo huendesha maisha ya watu wote duniani. Kwenye ukurasa huu nina kuonyesha makundi makuu mawili (2).
Kundi la kwanza ni lile linalotafuta usalama wa maisha yao ya kifedha. Kundi la pili ni lile ambalo wanatafuta uhuru wao wa maisha yote...
Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu?
Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
Katika kinachoonekana kuwa ni survival of the fittest beii ya mafuta ya gari /petrol imezidi kupanda na kufika tsh 2510 kwa lita moja mwezi huu. Unapotoa tsh 20,000 unapata lita 7.9, kitu ambacho ni kuendelea kumuumiza Mtanzania huyu wa kipato cha chini maana yeye ndiye atakayekuja umia katika...
Kwema wana jukwaa mko njema
Mimi,ni muhanga wa kukosa ajira nakuja mbele yenu kupewa muongozo kwa wajuzi wa mtaani
Ni jinsi gani mbinu,gan wanatumia kupata riziki ya kila siku na kutimiza majukumu mbalimbali kama chakula kodi na mambo mengine
Nahitaji connection ya mchongo wowote niko dsm...
Huyu ni miongoni mwa makocha wanaolipwa hela nyingi, si kocha wa bei rahisi, halipwi kama Kishingo. Ni kocha wa mshahara kama wa Uchebe.
Ikumbukwe kwamba MO halipi mshahara wa kocha wa Simba kutoka mfukoni mwake kama wengi wanavyodhani , alilipa kutokana na fungu ambalo Simba walikuwa wanapata...
Makabila yenye idadi kubwa ya watu wenye mpunga mwingi
1. Chagaz
2.Kingaz
3. Zaramoz
Makabila yaliyofulia zaidi
1.Gogoz
2. Kondez
3. Nyirambaz n Iraqis
Huu ni ukweli na Wala haihusiani na kuwa mbaguz Mimi ni mhehe Kama kigogo
Kama kuna mtu aliwahi kuwasikia au mwenye uelewa mkubwa juu ya uwekezaji wa "UTTAMIS" naomba atupe elimu maana nasikia ni uwekezaji mzuri sana kwa malengo ya baadae na haijalishi kipato cha mtu
"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson
#MsemajiWaSerikaliPress...
Habari wanajamvi,
leo nawaletea banda la biashara .
Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka
lina jiko la Gas kama unavyoona, hvyo unaweza kupika kitu chochote
lina mchine ya kukata viazi, commercial chips cutter
lina potato...
Habari wanajamvi,
leo nawaletea banda la biashara .
Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka
lina jiko la Gas kama unavyoona, hvyo unaweza kupika kitu chochote
lina mchine ya kukata viazi, commercial chips cutter
lina potato...
Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume naishi Dar najihusisha na ujasiriamali wa usafi na dawa kwa uchafu sugu katika Tiles,Masink,Vioo na Sofa.
Mwezi wa 10 mwaka jana nili hama kimakazi kutoka mkoani kuja Dar lengo likiwa ni kutafuta kazi ama shughuri yoyote ya kuni ingizia kipato maana...
Habari za asubuhi wana jukwaa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana nimeoa ninafanya kazi katika kiwanda kimoja hapa Dar, nina mkataba wa miezi 6 now imebaki 3 mkataba uishe. Tatizo ni kwamba mshahara ninaoupata ni mdogo kiasi kwamba hautoshi hata kwa mahitaji yetu...
Heshima kwenu wakuu.
Nilianzisha uzi hapa "huu ni mwaka wangu wa mwisho kuajiriwa" na kweli nilipanga kuacha kazi baada ya kuona mshahara hautoshelezi mahitaji yangu na familia kwa ujumla.
Lakini kutokana na baadhi ya michango yenu hasa mlioniambia nisiache kazi bali nitafute namna yeyote...
"Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake",msemo huu uliobeba maana,yamkini unatumiwa na waswahili kufikisha ujumbe kwa watu kua watu wanatakiwa kuishi kulingana na uwezo wao wa kimaisha ulipoishia,lakini kwa upande mwingine tunapaswa kukubaliana kua matumizi ya msemo huu ni sahihi kwa asilimia zote...
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara ya waajiriwa wengi kutokutana yaani mishahara kuwahi kuisha kabla ya muda wa kupokea mshahara mwingine. Hii hupelekea walio wengi kuamua kuzidharau kazi za kuajiriwa na kudai mishahara iongezwe bila kufikiria kuwa hata wenye mishahara mikubwa zaidi...
Ulimwengu umebadilika, hatuwezi kukataa kuwa teknolojia imebadilisha maisha yetu. Siku hizi vitu ambavyo wazazi wetu hawakuwahi kuota kuwa vingekuwa vyanzo vya fedha, vimekuwa vyanzo vya kipato kwetu, na hali ilivyo ya ugumu wa ajira na huku wahitimu ni wengi, tumejikuta kuwa inatubidi tutafute...
UTANGULIZI:
Kwa muda mrefu kumekuwapo na wimbi la ombaomba katika miji na majiji nchini kwetu. Pamoja na serikali kuchukua hatua mara kadhaa kuwaondo ombaomba hawa lakini tatizo limekuwa likijirudia kila wakati na kubakia kuwa tatizo sugu lililokosa ufumbuzi endelevu. Pengine ni kutokana na...
Internet ni mfumo wa dunia wa kielektroniki unaounganisha kompyuta na vifaa vyengine vya kielektroniki vinavyokubali mfumo huo.
Mitandao ya kijamii ni teknolojia inayohusisha kompyuta ambayo hurahisisha kugawana na kusambaza mawazo na taarifa mbalimbali katika kujenga mtandao na jamii halisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.