kipato kidogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. rkid49

    Kwa kipato cha Tsh. 600,000 naruhusiwa kumiliki gari?

    Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe. Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5 kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500 cc? Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu.
Back
Top Bottom