Mtandaoni wana-hubiri fedha ila ukija kwenye maisha ya kawaida mambo ni tofauti sana
👇👇👇
Ukienda uswahilini utashangaa watu wanamaisha magumu na bado wake zao hawawakimbii ukija mtandaoni unahubiriwa utafute fedha kabla hujaingia kwenye mahusiano au ndoa- sasa mbona huku mtaani watu wanakipato...
Kwanza kupanga sio jambo la ajabu au aibu. US zaidi ya watu wazima Mil 45 wamepanga.
Wengi wanalazimisha kujenga wakiwa hawana kipato cha kueleweka wanaishia kuishi nje ya matarajio yao.
Unakuta mtu anafanya kazi kkoo anajenga kisarawe kijijini KWA DC Machachari KWA gharama nafuu. Unakuta...
Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe.
Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5 kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500 cc?
Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.