Mko vizuri wakubwa?
Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato?
Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing...