kipaumbele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kwa huyu kocha mpya wa Yanga, Dube kupewa kipaumbele na Aziz Ki kutumia nguvu nyingi kwenye pisi, Kipigo hakikwepeki Derby, Simba wanazirudisha zote 5

    Zinarudi zote na zinaweza kuzidi, Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote. Unahitaji akili za kawaida kabisa...
  2. Ulinzi uwe kipaumbele historia ya Habyrimana na Ntaryamira isijirudie

    Marais wa EAC na SADC wasicheke na Rwanda, Uganda na waasi...... chochote kinawezekana....ni aheri kuogopa nyasi kuliko kun'gatwa na nyoka. Waasi wakitangaza kusitisha mapigano mara nyingi kuna jambo wanalipanga. DRC na Burundi kuweni makini....mnaweza kuwa mkutanoni na PK mkiwa mnarudi...
  3. Pastor Tony: Kwenda mbinguni sio kipaumbele cha mkristo, Pesa ndio kipaumbele

    Anasema ndio maana kitabu kinachohusu watu kwenda mbinguni (ufunuo) kimewekwa mwisho kwa maana sio kipaumbele cha Mungu. Kipaumbele cha mcha Mungu ni Hela au Pesa. Anasema hata ukimuita popote atatetea hoja yake. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ https://vm.tiktok.com/ZMkHPdmAq/ My take. Miaka ya mwanzoni mwa tisini...
  4. W

    Moto wa california ni mwanzo tu, Sifa zinawekwa kando watu wanapewa kazi kwa kuwapa kipaumbele waliobadili jinsia, wamarekani weusi, wanawake, n.k.

    DEI (Diversity, equity and Inclusion) ni ajenda inayotumika kwenye baadhi ya majimbo ya marekani hasa yale yenye uwakilishi wa chama cha Democrats walichomo kina Kamala Harris, Lengo la DEI ni kufanya sehemu za kazi na uongozi kuwepo na watu wa matabaka mbali mbali Tatizo linapokuja hii DEI...
  5. Ulega Ataka Wazawa Wapewe Kipaumbele Ujenzi wa Barabara

    ULEGA ATAKA WAZAWA WAPEWE KIPAUMBELE UJENZI WA BARABARA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuhakikisha unatoa kipaumbele kwa vijana wazawa katika ujenzi wa miradi ya barabara inayoendelea nchini ili kupata ajira, kukuza ujuzi na uchumi kwa...
  6. Manabii wamekuwa wengi mpaka sasa inakera

    Manabii wamekuwa wengi mpaka unajiuliza Mungu gani uyu ambaye anaonyesha manabii wake habari tofauti tofauti. Mara uyu anakuja na ili. Uyu naye anakuja na ili tofauti na la yule wakwanza God , GOD, GOD, GOD. Na wakibahatisha jambo fulani tu ndo kwisha habari zenu Kuna mmoja uko youtube...
  7. Wahadzabe ni kabila ambalo ni zaidi ya kivutio cha Utalii ila hawapewi kipaumbele kama tunavyowapa Maasai

    Kusema kweli saiz kabila la kimasai halina maajabu tena ya kufanya tuwape kipaumbele kama kivutio cha watalii kwa kuwa maisha yao ni maisha ya kawaida kabisa, ukiachana na ufugaji wao na uvaaji wao hakuna kingine cha maajabu kinachofanya kutangazwa kama kivutio cha watalii. Katika filamu ya...
  8. Kuukosa umakamu mwenyekiti Chadema taifa maana yake ni kukosa fursa, sifa na kipaumbele cha nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema 2025

    Je, Tundu Antipas Lisu atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025? Au atavuka boda na kujiunga na chama kingine cha siasa kujaribu azma na ndoto yake ya kujaribu kugombea urasi tena...
  9. M

    Sekretarieti ya Ajira tunaomba ufafanuzi kuhuzu Ajira za walimu tangazo linalosambaa mtandaoni kwamba wenye kadi ya ccm watapewa kipaumbele

    Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam . Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira . Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
  10. Napendekeza bima ya afya iwe ni kipaumbele cha kwanza kwa mwaka mpya 2025 katika malengo ya kila mdau na members wa JF

    Ni hiyari sio lazima lakini ni muhimu sana, my friends ladies and gentlemen. Wazo hili limenijia baada ya kuona mateso ambayo wengi tunayapitia tunapokumbwa na dhahama za maradhi mbalimbali, na kujikuta badala ya kwenda hospital kupata matibabu ya uhakika, tunajifungia majumbani na kujifariji...
  11. Usijitoe, usiwekeze, jipe kipaumbele mwenyewe

    Ukweli ni kwamba mwanamke unae-date nae kuna uwezekano mkubwa kajiweka tu kwako kwa sababu anahitaji pesa. Ni masikini, hana kazi(kama anayo kipato chake akitoshelezi lifestyle anayoitamani) na kwa sasa wewe ndie jibu la tatizo lake Atakapojipata ndio utajua ujui. Atakulaumu, atahoji hayo...
  12. Sijajua Serikali inatumia kipaumbele gani kujenga barabara za lami katika baadhi ya maeneo

    Hii barabara inajengwa Chanika mwisho,Lukooni mtaa wa Chabupu umbali wa mita 300 tu. Barabara hii imepita mbele ya ofisi yangu kabisa inasemekana ni barabara kubwa inayotakiwa kuunganisha Chanika na Buza japo sina uthibitisho kamili. Hakuna mradi wowote wa kiserikali kwa sasa na wala haitumiki...
  13. C

    Hivi kipaumbele cha Viongozi ni kuwapeleka wasanii kwenye majimbo Yao?

    Napenda kusema hiki kizazi cha Sasa kinazaraulika sana,yaani wananchi badala ya kuwezeshwa au kuonyeshwa maendeleo wamekuwa wakipelekewa wasanii,hivi hii inaingia akilini kweli?
  14. U

    Msemaji Hezbollah Mohamed Afif adai kipaumbele kuichakaza Israel kijeshi ila wanaunga mkono juhudi zozote za kusitisha mapigano

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya za Msemaji wa Hezbollah Kwamba wao kipaumbele ni kuishinda Israel kijeshi japo wanakaribisha kwa mikono miwili juhudi zote za ndani na nje ya nchi kusitisha "uvamizi" wa Israel --- Hezbollah says priority is defeating Israel, but open to efforts to halt...
  15. Kipaumbele cha Mtanzania ni uchaguzi mkuu ambao hufanyika kila baada ya miaka 5.

    Wasomi kwa wajinga, vijana kwa wazee, wanawake kwa wanaume kipaumbele chao ni uchaguzi mkuu. Nilidhani uchaguzi mkuu ni kipaumbele cha wajinga tu kumbe wasomi ndio zaidi. Wateule wanapomsifu Rais aliyewateua mwishoni hugusia uchaguzi mkuu. Wapinzani wataongea yote mwishoni watagusa uchaguzi...
  16. Dkt. Doto Biteko azitaka TPDC na ARA Petroleum kutoa kipaumbele kwa wazawa katika ajira

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuvutia wawekezaji katika tafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi nchini ili watanzania wanufaike na rasilimali zilizopo. Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 10, 2024 wakati wa Hafla ya makabidhiano ya leseni...
  17. Mwanaume jipe kipaumbele wewe mwenyewe

    Jipende mwenyewe, usimpe mwanamke upendo ambao haujajipa wewe mwenyewe. Wanaume wengi wanaweka pembeni mipango, furaha na amani yao kwa lengo la kumridhisha mwanamke. Ngoja nikwambie ukweli kuhusu mwanamke. Mwanamke haridhiki, hakuna ambacho utamfanyia kikamtosheleza kiasi cha kutohitaji tena...
  18. Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

    "Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa...
  19. X

    Jipe kipaumbele wewe kwanza

    Sikuzote kumbuka Jipende wewe Watoto Mke It should always be in this order Watoto wako wanaweza kukua bila kuthamini sacrifices you made for them kwa sababu mama yao aliongea uongo dhidi yako. Ukiacha hilo mitoto ya siku hizi mingine haijali na wala hawana shukrani kwa wazazi wao hasa baba...
  20. Rais Samia Aielekeza TANROADS Kutoa Kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa

    RAIS SAMIA AIELEKEZA TANROADS KUTOA KIPAUMBELE KWA WAKANDARASI WAZAWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…