kipaumbele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni. Kipaumbele itakuwa kupambania Katiba mpya na mikutano ya siasa ya hadhara.

    Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva. Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi 👇Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini
  2. S

    CHADEMA kidedea 2025, mambo haya wayape kipaumbele

    Sina wasi kabisa 2025 CCM inawekwa benchi. Sasa Chadema tunahitaji mambo haya yawe ya mwanzo. 1) Kushusha bei ya umeme kiasi ya kila nyumba kuweza kutumia air condition maana sasa joto halivumiliki. Amuzi Hili liwemo ndani ya wiki ya mwanzo ya Rais wa Chadema 2) Shirika la ndege kuanzisha...
  3. Analogia Malenga

    Tanzania inaweza kuanza kuzalisha ndege za watu wachache

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema kipo hatua za mwisho za majadiliano na kampuni ya Skyleader yenye makao makuu nchini Czech ili waje kuwekeza nchini Tanzania. Skyleader ni kampuni inayotengeneza ndege ndogo za wazi ambazo huwa na siti moja hadi mbili. Kampuni hiyo inaweza kuanza...
  4. Mwaikibaki

    TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

    Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI). Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na...
  5. sky soldier

    Heshima, starehe, urijali, kipaumbele kwa wanaume ni ngono, kwa mwanamke ni nini?

    Katika maisha ya Mwanaume, hasa chini ya 35, Sex ni symbol yenye uzito mno. Hata akiwa fukara atapata ahueni kama anazo nguvu za kiume. Mwanaume akiwa na umbile dogo hata confidence inashuka, Akisifiwa ana perform vizuri, hio sifa kwake ni kubwa kuzidi pongezi atazopewa kuchangia harambee...
  6. F

    Uzalendo haijawahi kupewa kipaumbele kwa viongozi wa juu katika Utumishi wa Umma

    Uzalendo ni hali ya kuwa tayari kufia masilahi ya wengi kuliko kutanguliza masilahi binafsi katika maisha yetu ya hapa duniani. Dhana hii inaweza kuwa na zaidi ya mtizamo wangu hasa katika maisha tunayoishi. Nitoe mtizamo wangu mdogo katika mabadiliko ya Baraza la mawaziri lililofanyika...
  7. B

    CCM: Watu wenye ulemavu ni kundi muhimu, tutaendelea kulipa kipaumbele

    NA MWANDISHI WETU. Dar es Saalam KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema serikali ya awamu ya sita imeendelea kutekeleza miradi na programu mbalimbali za maendeleo kwa kuzingatia kundi la watu wenye ulemavu kwa kulijumuisha, kulishirikisha...
  8. macho_mdiliko

    Jaji Warioba: Hivi tunaposema Katiba siyo kipaumbele, sababu ni nini?

    Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu? Ameenda mbali zaidi na kusema tukiendelea na kisingizio hiki, hata ikifika mwaka 2024 au 2025 tutasema tena hivyo hivyo...
  9. stakehigh

    Hatimae mizizi imepewa tena kipaumbele

  10. Livingson1

    Somo la ujasiriamali mali lipewe kipaumbele mashuleni pamoja na vyuoni nchini Tanzania ili kupunguza changamoto za ajira kwa vijana

    Ujasiriamali ni jinsi ya kubaini matatizo au changamoto zilizopo kwenye jamii husika na kuzitatua changamoto hizo kwa kubuni mbinu ama vitu ambavyo vitapunguza ama kumaliza kabisa changamoto hizo kwenye jamii mfano kuchimba visima kuanzisha kilimo cha umwagiliaji, ufugaji wa kuku, mbuzi , n.k...
  11. P

    Maendeleo sio kipaumbele cha Wananchi wa Tanzania, Tunachotaka ni Katiba mpya.

    "Sasa sisi tuna simple solution kuwasaidia haya yote; 👉 Hatuko tayari kuendelea na hizi nonsense theories zenu za kukuza uchumi 👉Tumeridhika hapa tulipo na hatutaki kwenda hata hatua moja mbele mpaka tupate katiba 👉CCM hamna uwezo tena wa kukuza uchumi wala kuleta maendeleo" (Asiyefahamika july...
  12. J

    Warioba: Wananchi tunaowaita Wanyonge ndio wenye nchi, Katiba ni kipaumbele hata kwenye marekebisho Bungeni

    Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema wananchi hawa wanaoitwa " Wanyonge" ndio wenye nchi. Warioba amesema Rais Samia amesimama imara kwenye utendaji wake baada ya kifo cha hayati Magufuli na amekubali kushughulikia suala la katiba mpya. Jaji Warioba amesema kuna...
  13. L

    Xinjiang machoni mwangu: Ubunifu na uvumbuzi unavyopewa kipaumbele katika maendeleo ya China

    Wasanii na wabunifu wa mambo ni watu muhimu katika jamii yoyote ile. Kwani sanaa hutambulisha vitu na mambo mbalimbali ya watu wa kabila au jamii fulani. Katika matembezi yangu kwenye mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur nimefika hadi kwenye kituo cha ubunifu wa sanaa za mikono cha Qifang mjini...
  14. S

    CCM: Serikali inatoa kipaumbele sekta ya elimu

    Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Akizungumza Alhamisi 24 Juni 2021 kupitia jukwaa la walimu waliofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya CCM Dodoma, Katibu Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi, Ndg. Shaka Hamdu Shaka, amesema Serikali ya CCM inatambua na kuthamini mchango mkubwa unatolewa na...
  15. Bata batani

    Warning: Epuka kuingia kwenye mahusiano yeyote kwa nia ya kupata ndoa utakuja kuumia

    Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support, wengine wako broked na wengine wamekuja kuzuga tuu siku mtu wake anampenda akizingua tuu basi awe na...
  16. maroon7

    Serikali haina uwezo kuajiri walimu vyuo vikuu au sio kipaumbele?

    Katika kitu kinashangaza ni hili la vyuo vya umma vya elimu ya juu kuwa na upungufu mkubwa mno wa waalimu. Yaani kitu ninachojiuliza ni kwamba serikali haina uwezo kuajiri kuziba huu upungufu mkubwa wa waalimu au ni kwamba sio kipaumbele chao. Inashangaza zinatolewa ajira za walimu wa sekondari...
  17. I am Groot

    Shaka Hamdu Shaka: CCM haina mpango wa kushughulika na Katiba Mpya, kipaumbele ni kujenga nchi

    CCM yasema haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu, kipaumbele chake ni kujenga nchi. - Wanasiasa waache kuitumia agenda hiyo kama turufu ya kuwahadaa wananchi. "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa ukamilishaji wa...
  18. D

    Ushauri: TANESCO wapeni kipaumbele kwanza waliolipia Tsh 300,000 waishe kabla ya kuanza kufungia LUKU wale wa Tsh. 27,000/=

    Nashukuru bei ya kuingiza umeme imeshuka hadi elfu 27000/= mijini na vijijini kwa sasa. Kesho naenda kuomba luku 10 kwa mpigo kila mpangaji awe na yake. Lakini inasimuliwa wako watu waliolipia bei ya laki tatu ambao hawajawekewa Luku hadi sasa. Kutokana na ongezeko la mahitaji kwa wateja wapya...
  19. Analogia Malenga

    #COVID19 UNICEF: Walimu wanapaswa kupewa kipaumbele katika chanjo dhidi ya COVID-19

    Majaribio ya chanjo na Pfizer na BioNtech kwa ajili ya kupata chanjo dhidi ya COVID-19BioNTech. Majaribio ya chanjo na Pfizer na BioNtech kwa ajili ya kupata chanjo dhidi ya COVID-19. Janga la corona au COVID-19 limesababisha athari kubwa katika elimu ya watoto kote duniani na kuwachanja...
Back
Top Bottom