kipi

KDE Image Plugin Interface (usually abbreviated to Kipi or KIPI) is an API that allows creation of application-independent image processing plugins in the KDE project.

View More On Wikipedia.org
  1. ITR

    Hivi Boka ana kipi cha ziada kumzidi Romalisa?

    Hivi Boka ukiachana na miguu yake mirefu , kunyoa ndevu zake kama Sadart yule muimba bolingo wa bendi ya Fmacademia na mbio zake zisizo na plani kama yule nguruwe pori maarufu kwa sasa kama kasongoye, ana kipi hasa cha ziada kumzidi Romalisa mtambala? Yaani jamaa anaweza akapanda na mpira kwa...
  2. M

    Kati ya hivi vitu vinne, ni kipi unadhani mwanamke anaweza kukikosa kutoka kwa mwanaume na bado akaendelea kuvumilia?

    Kiasili kila mwanamke anahitaji vitu 4 kwa wakati mmoja. Akikosa kimojawapo , atakitafuta nje. Sababu moja wapo kati ya hizi, inamfanya mwanamke kuchepuka:- 1. Financial support (Mpe Pesa na matunzo) 2. Good sex (alidhike kitandani) 3. Attention (simu za mara kwa mara kumjulia hari, msifie...
  3. Mejasoko

    Kati ya Nafasi (Space) na Muda (Time) ni kipi kinatangulia?

    Je ni Muda ndio huleta nafasi au nafasi ndio huleta muda Mwanzo 1:1 [1]Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Wataalamu wa haya mambo naomba mtupe maarifa kwenye huu mjadala.
  4. Magical power

    Wahenga mnakumbuka hivyo vitu vya enzi zile,dondosha komenti kipi umekitumia kati ya hivyo hapo.

    Wahenga mnakumbuka hivyo vitu vya enzi zile,dondosha komenti kipi umekitumia kati ya hivyo hapo.
  5. B

    Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa

    Asee wanaJF people's Power na kazi iendelee kuna mkanganyiko hapa Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa 1.Mwanamke mwenye mtoto(karibu la mume wake umeliona🤣) 2.Mwanamke aliyekuzidi umri 3.Mwanamke aliyekuzidi elimu 4. Mwanamke aliyekuzidi pesa NB. Ni mwenye sifa moja(sio kwamba anasifa zote...
  6. TozzyMay

    Kipi Bora? "Ubaya ulipwe na Ubaya" au "Ubaya ulipwe na wema"

    Haya mambo yanachanganya sana. Mtu anakufanyia ubaya halafu bado anakutaka radhi. Muda mwingine kosa lenyewe sio kosa linalotokea Kwa hatua Moja, unakuta Hadi kosa linalotokea limepita hatua kama tatu. Sawa, unaamua kusamehe na kusema naachilia yapite , kosa linakuja linajirudia Tena ukipiga...
  7. Mwachiluwi

    Kiswahili fasaha ni kipi?

    Mko poa bila shaka Kiswahili fasaha ni kipi au neno sahihi ni lipi 1. Ndiyo Au 2. Ndio Lipi neno sahihi
  8. TheForgotten Genious

    Kati ya elimu na afya kipi kitolewe bure na serikali?

    Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure. Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie kufanya voting kulingana na mtazamo wako. Baada ya polling hii nitakuja na muendelezo ili utimiza adhma...
  9. Lugano Edom

    Kipi ni muhimu kwenye biashara

    JAMBO GANI NI MUHIMU KUZINGATIA KWENYE BIASHARA NDUGU WADAU?
  10. K

    Kati ya Electrical Engineering na Bachelor of Science in Digital Content and Broadcasting Engineering nichaguwe kipi?

    Naomba msaada nimechaguliwa udom kusoma broadcasting engineering na electrical saut je niende wapi kwa better future
  11. R

    Kipi rahisi kati ya kuzuia maandamano na kumwajibisha IGP, Waziri Masauni?

    Salaam, Shalom!! Nimekaa hapa natafakari, kipi Hasa ni Rahisi, 1. Umma wa Watanzania unadai viongozi waliopo IGP, Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni wajiuzulu au wafukuzwe nafasi zao Kisha wateuliwe wengine watakaokuja na Mpango mkakati wa kushughulikia mauaji ya raia na utekaji. 2...
  12. G

    Wale ambao hamkuachana na Ma Ex wenu ila wameolewa, mahusiano yanaendelea kwa level kipi?

    Mmeachana / kupeana distance Mmeshusha mahusiano yawe urafiki Mapenzi yanaendelea imya kimya
  13. Yoda

    Kipi kikubwa au kikuu kati ya kitambulisho cha Taifa(NIDA) na passport?

    Wakati mtu unaomba passport katika idara ya uhamiaji unahitajika kuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) lakini pia unapaswa tena kufuata mchakato ule ule uliotumia kupata kitambulisho cha NIDA, sasa nini maana kuwa na kitambulisho cha Taifa! Kipi ni kikubwa, kikuu au cha muhimu zaidi kati ya...
  14. BabaMorgan

    Kipi cha kufanya unapohisi Kuna kitu kibaya kinaenda kukutokea?

    Unapokuwa na wasiwasi wa kutekwa, kuuliwa, kukamatwa na watu wasiojulikana unapaswa kufanya nini? 1. Kuripoti polisi. Swali ni unaripoti kwa muktadha upi ukiulizwa kipi kinakufanya uwe na mashaka ya kutokewa na kitu kibaya utawaambia Nini kama ushahidi? je nikiwaambia hisia zangu zinaniambia...
  15. THE BEEKEEPER

    Kipi kilisabisha mkachapwa Darasa zima kipindi unasoma?

    Madame wa biology aliingia class akakuta board ni chafu. Akaniambia kwa kuwa nimeshindwa ku-sort mtu afute, basi nikafute mimi. Nimeenda kufuta ubao, nikatafuta duster cleaner, nikaikosa. Naangalia kwenye ki-box cha chalk, nikakuta kitambaa fulani cheupe. Nikakichukua nikasafishia ubao. Madame...
  16. E

    Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

    Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
  17. W

    Kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora?

    Habari za leo naomba ushauri kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora
  18. One yes

    Kipi kinauma zaidi kwenye maisha?

    Kwenye maisha ni kipi kinauma zaidi hasa kweny mazingira tunayo ishi ya kila siku?? 1.kufiwa na mzazi au wazazi 2.kufiwa na mpenzi au mke 3.kufumania au kufumaniwa na mke au mume wa mtu 4.kuacha au kiachika na mchumba au mpenz au mke 5.kutengwa na marafiki ndugu au wazazi...
  19. Melki Wamatukio

    Ni kipi hutokisahau ulipokuwa ukweni?

    I'll never forget such kind of moment in my life. Ile wamepika matoke wakayachanganya na maharage, plus matumbo ya ng'ombe, karanga za kusiginwa plus karanga za kutafunwa, humo humo mfuru, kha! Ile siku nilitembea kama naruka majoka vile kuelekea toy kujiharishia, tena mbele ya mama mkwe na...
Back
Top Bottom