TP Mazembe imeendelea kufanya vibaya katika Kombe la Shirikisho Afrika, ikiwa nyumbani imefungwa magoli 2-0 dhidi ya US Monastir ya Tunisia.
Mechi inayofuata ya Kundi D ni Real Bamako ya Mali dhidi ya Yanga.
Kufuatia kuripotiwa kwa tukio la Laurence Nicholaus Mwangake, Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Rohila, Mbalizi kulazwa Hospitali ya Ifisi tangu Februari 12, 2023 ikidaiwa amejeruhiwa kwa kipigo, watuhumiwa wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano.
Afisa...
Rejea kuangalia Jezi za Yanga SC za Leo ilizotumia Kucheza na US Monastir ya nchini Tunisia utagundua kuwa Kilichotambulishwa ni Jezi za Juu ( Shati ) tu za Mdhamini Haier ila Bukta zilizotumika ni zile zile za Siku zote zilizotambulishwa mwanzo wa Msimu.
Huu ni Uhuni ambao kamwe haupaswi...
Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea.
Na hii siyo...
Urusi imepokea kipigo kikali pale Ukraine na kupoteza wanajeshi zaidi ya 130,000 hadi imeanza kukusanya mateja mtaani na wafungwa kuipigania, licha ya yote hiyo imeanza kuchokoza kataifa kengine ambako kako nje ya NATO...
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov has suggested that Moldova is the...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime-Rorya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakitaka kumshushia kipigo ajuza ambaye jina lake halijafahamika anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 60, wakimtuhumu kuhusika na kupotea kwa watoto watatu kwa njia za...
Herbert Gappa (7), Mtoto anayesoma Darasa la Kwanza Shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza iliyopo Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, amelazwa hospitalini baada ya kudaiwa kupigwa na kujeruhiwa vibaya sehemu zake za mwili na baba yake mzazi, ambaye ni askari Polisi, Abati Benedicto Nkalango.
Mtoto...
Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022.
Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume...
Katika hali inayoonesha vita vinaelekea kubaya zaidi Urusi imeitaka Ukraine kuzingatia maonyo yake haraka kabla awamu ijayo ya mashambulizi haijaanza. Onyo hilo limetolewa na waziri wa mambo ya nje wa Urusi mapema jana.
Katika onyo hilo Sergei Lavrov ameitaka Ukraine kuyatambua majimbo mapya ya...
Hatimaye Marekani imeamua kuipa Ukraine ulinzi wa anga "Patriot Missile Defense System". Kwa wasiojua wanaweza kudhani kuwa hizi ni silaha za ajabu sana na ulinzi wake dhidi ya mashambulizi ya anga ni wa uhakika! Niwakumbushe tu kuwa ulinzi huu wa anga kwa kutumia Patriot Missile defense system...
Jenerali wa Kiukraine na kiongozi mzoefu, ambaye yuko kwenye mstari wa mbele wa mapigano. Amekili wazi katika mahojiano na chombo cha habari na kusema Urusi siyo mjinga, pia siyo mdhaifu. Kamfananisha na hogo pevu ambalo ukitaka kuling'oa sharti uwe muerevu. Sasa kazi kwao ambao wanamchukulia...
Offcourse tunajua kuna tofauti kubwa kati yao na sisi hasa linapokuja suala la asili yao, Lakini kweli wakatae hata undugu wa kiafrika kwamba wapo nasi ndani ya bara la Africa?
Morocco wametukataa, yaani wanaona wao siyo ndugu zetu ni kwamba tunajipendekeza. Basi ndiyo tumekoma hatujipendekezi...
Nimekuwa nikiona wezi wa wake wakishushiwa vipigo mitandaoni nami nimewahi kushuhudia tukio kwa macho yangu jamaa kakamatwa na mke wa mtu akaanza kupigwa na mme halali.
Je kwa sheria za hapa kwetu mambo haya yanafanywa kwa mazoea bila kutii sheria ama sheria inaruhusu ?
"Hii ni mara ya Pili M23 tunabaguliwa na hatushirikishwi katika Mazungumzo ya kutafuta Amani ya Kwetu Congo DR kama haya ya Leo Nairobi Kenya hivyo nasi tutaendelea Kuwapambania Wakongo kwa Kupambana na Utawala wa Rais Tshisekedi ambao ni wa Kibaguzi hasa kwa Wakongo tutokao Mashariki" Wille...
Mwili wa Ibrahim Shakiru (16) utaendelea kusalia katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Bugando mpaka pale familia ya mtoto huyo itakapoelezwa hatua zilizochukiliwa dhidi ya watu waliomshambulia na kusababisha kifo cha mtoto wao.
Ibrahim anadaiwa kufariki Jumatano Oktoba 26, katika...
Wakati Warusi wanatumia drones za msaada wa Iran kupiga bembea za watoto wa Ukraine, ila Ukraine wanatumia drones kupiga vifaa vya kijeshi, tayari wamelipua meli moja ya kijeshi na zingine zimepokea mapigo balaa
=====================
Russia has accused Ukraine of carrying out a "massive" drone...
Hapa ninapopanga, jirani yangu usiku wa kuamkia leo katembezewa kichapo kikali sana. Huyu Mwanamke ni mzuri tu, lakini tatizo lake mdomo tu. Tatizo lake ameshindwa kufahamu kuwa, mume wake ni chapombe. Huyu mume wake ni muungwana sana, lakini akilewa ukaanza msumbua lazima atembeze Mandonga...
Marekani yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya anayeongoza mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, ndiye aliyesuka na kutembeza jana kipigo kitakatifu kisicho na chembe ya huruma koote Ukraine sambamba na kuipiga kibeiriti Kyiv.
Kipigo ambacho vyombo vya magharibi vinakiri kuwa ni...
Hakuna kuachia, moto ni ule ule....
Ukrainian troops have broken through Russian positions on the Dnieper river north-east of Kherson, a strategic Russian-held city in southern Ukraine.
The advance was reported by the Russian military and Russian-installed officials in the region. There is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.