Safi sana Algeria kwa kipigo cha mbwa koko dhidi ya Niger, mmepiga pira la kiume mammae kama kawaida yenu, mpira mnaujuwa adi mnakera π,, hawa washkaji wanapiga soka acha kabisa bandugu, wanacheza kwa akili nyingi na kwa ushirikiano, unaweza sema hawaishi afrika hawa njemba. Soka lao lakipekee...