Msanii Steven Mengere kwenye Challenge ya Chai na Vitumbua kama kifungua kinywa ambacho Rais Samia Suluhu Hassan alikimwagia sifa akiwa Mkoani Tanga.
Kwa hakika hapa inatosha kuonesha kuwa hapaswi kutumia jina la Nyerere tena maana mental yake imeshakuwa tofauti kabsa na wasifu wa jina hilo...
Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
🔘 MWANAUME WA MAANA NA MWENYE UPENDO WA KWELI KWAKO; Utakutana nae kwenye nyakati zifuatazo,
1. Wakati wa kukupa mimba.
2. Wakati wa kulea/kutoa matunzo kwa mtoto wenu.
3. Wakati wa matunzo ya familia yenu kwa ujumla.
🔘 MWANAMKE MREMBO NA MWENYE KUJITAMBUA KWA AJILI YAKO; Utakutana nae kwenye...
Kwa Tanzania ili timu ijue ubora wake ni lazima icheza na Simba na kuifunga.
Ndiyo maana timu nyingi zinapocheza na Simba uahidiwa mamilioni ya fedha tofauti zikicheza na timu nyingine.
Timu yoyote ile ikiifunga Simba, furaha ya wachezaji wake, makocha, viongozi na mashabiki huwa kubwa sana na...
Pita pita zangu katika mitandao nimeona mivutano ya hapa na pale mivutano hiko hivi:-
A) wananchi wa Rwanda wanamaisha magumu kuliko wa Tanzania B)hapana wananchi wa Tanzania ndio wako na uchumi mgumu zaidi kuliko Rwanda
A) Kenya ndio mambo safi zaidi, kwanza pesa yao iko juu na inathamani...
Shinikizo la kawaida la damu kwa watu wazima ni 120 kwa 80. Kipimo cha presha hupimwa kwa milimita za zebaki (mercury) (mmHg). Hivyo husomeka kama 120/80 mmHg. Shinikizo la damu hupimwa kwa milimita za zebaki (mmHg) kwa sababu kifaa kinachotumiwa kuipima, kinachoitwa 'mercury sphygmomanometer'...
Tangu jana nawasikia mkisoma habari fulani kuhusu umeme na kusoma kama megabyte badala ya megawatt. Megabyte ni kipimo cha data za Internet kama hilo bando unalonunua na kifupi chake ndio Mb.
Wanajf ninaomba anayekifahamu kipimo hiki anieleweshe!Ni kipimo nimeambiwa unalipia sh.30000,wewe ni kukaa na kusubiria majibu ndani ya dakika chache!Utaambiwa shida zako zote!Kwa kuwa ni suala la kiafya ninaomba wataalamu njooni mnielimishe kwani kama mnavyojua sasa hivi "afya" imegeuzwa ni...
Watu wanaoilinganisha CHADEMA na CCM wanakosea na wana uelewa duni wa siasa . Kimuundo au kiutendaji huwezi kuipima CHADEMA dhidi ya CCM, haifai kulinganisha hivi vyama kwa mambo hayo. Utofauti wa hivi vyama huko hivi
CCM ni sawa na serikali au dola, ni vigumu kuchora mstari wa kutenganisha...
Kila mwanadamu ana nyota , ndani yake kuna talanta, na hiyo talanta ndiyo Mungu hutaka mtu aitumie ili asiwe maskini na mhitaji.
Lakini kama ilivyo ada duniani kuna wachawi ambao huchafua nyota za watu au kuibiwa.
Ukiibiwa nyota utateseka mpaka kifo chako.
Hakuna litakalostawi mikononi mwako...
Watu wengi husafisha nyota ilhali nyota zao zinang’ara. Wengine hudhani nyota zao zimeporwa kumbe wanazo ila zimefifia tu. Kabla hujasafisha au kurejesha nyota, kwanza fanya kipimo.
Faida za nyota yako kung'ara ni:
- Kuondoa mikosi.
- Kuongeza mvuto katika biashara na kazi.
- Kuongeza mvuto...
Habari zenu wanajamii forums? Mimi nataka kujuwa kitu kimoja kutoka kwenu nduguzanguni.
Kuna msemo ambao wazungu wanapenda kusema pale wasipo kuwa hawana uhakika na kitu. Mara nyingi husema "time will tell " wakiwa na maana mda utasema.
Sasa swali langu ni hivi je katika suala la ndoa mda...
Siku hizi mtaani tunashuhudia watu wakivaa jezi za timu mbalimbali wanazozipenda na wengine huvaa zile zinazowavutia hata kama hawaipendi au kuifahamu klbau yenyewe.
Sina hakika kama wengi wanaifahamu klabu ya Palmeiras ya kule Brazili kwa akina Neymar Jr na Ronaldinho Gaucho, lakini Jezi yake...
TAFSIRI YA MANENO YANAYOTOKA NA “KISWAHILI” KWA MUJIBU WA WASWAHILI WENYEWE.
“Saa ya Kiswahili”: Saa isiyozingatia muda wa miadi (ni kinyume cha, “saa ya kizungu” ambayo humaanisha, “Juu ya alama”)
“Uswahili”: Tabia ya ubabaishaji, iliyopungukiwa weledi na ustaarabu!
“Uswahilini (au...
Kipimo cha hesabu kamili ya damu (Full Blood Count) ambacho pia huitwa kipimo kamili cha damu (Complete Blood Count) au kipimo kinachotoa taswira kamili ya hali ya damu (Full Blood Picture) Ni kipimo cha uchunguzi wa damu ambacho hutumika kutoa taarifa muhimu kunako hali ya mgonjwa zinazosaidia...
Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika huyo ni jirani mwema na bora zaidi ya wale wanaohubiri amani na upendo huku wanalazimisha sheria za...
Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivua nguo na...
Akifanikisha haya maandamano itabidi tumpatie mitano 5. Ajitokeze na awe mstari wa mbele katika maandamano, yeye na wapendwa wake.
Kama hatoweza basi atukabidhi chama chetu, usukani afanye kumkabidhi Tundu Lissu mwenye hasira za kutosha, ana faili lake sehemu na huwa hana uoga wowote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.