kipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jocasta

    Msaada Juu ya kipimo cha HB level test

    Habari za mwaka mpya ndugu zangu. JUZI Mrs alikuwa anasumbuliwa na mafua pamoja na kichwa ambavyo vimedumu Kwa mda mrefu Sasa, ikabidi nimpeleke hospitalini. Alipoeleza dalili hizo Swali la dokta:au una ukimwi?. Akamwambia inabidi ukacheki damu!!! Nilipofatilia vipimo alivyofanyiwa nikakuta...
  2. Petro E. Mselewa

    Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  3. C

    Hospitali ipi ninaweza kumfanyia kipimo cha EEG test kwa Tanzania, mwanangu anasumbuliwa na degedege

    Wakuu habari, Nilipata ushauri kufanya hiko kipimo(EEG TEST) kulingana na kadhia ya mwanangu, naomba kupatiwa jina la hospitali nitakayompeleka kwaajili ya hiko kipimo maana Anayo bima ya afya(NHIF). Mbarikiwe
  4. Pang Fung Mi

    KERO Sakata la Walimu kufukuzwa kule Tunduma kisa wimbo wa Zuchu "Honey" ni Kipimo cha Mawaziri Vilaza wa Nyakati za Sasa

    Kuna wakati na nyakati, msanii wa mziki haishi mbinguni na hawakilishi malaika, Waziri Mkenda ni mshamba sana narudia ni mshamba sana. Wimbo wa Zuchu content yake ni ya kitanzania na huu wimbo una kiswahili cha kificho ama tafsida. Ni aibu sana kuwa na Waziri mkurupuko na mshamba kama Mkenda...
  5. Nsanzagee

    Kipimo cha ujinga cha wenye chuki dhidi ya Paul Makonda, ni kutokunywa sumu wafe!

    Ujinga mkubwa kabisa, ni kuendelea kuwasikiliza hao wanasiasa walioishiwa sera dhidi ya Paul Makonda Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya...
  6. Nsanzagee

    Kipimo cha ujinga wa wenye chuki dhidi ya Paul Makonda ni kutokunywa sumu mfe!

    Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar na sasa ni katibu mwenezi wa chama kubwa kabisa la CCM kutokunywa sumu...
  7. Pang Fung Mi

    Waziri Nape atambue nafasi yake ni kipimo cha utu na utimamu wa akili hasa kiutendaji

    Habari ya zuio ama masharti ya matumizi ya VPN kutoka kwa Waziri Nape na wizara yake kwa ujumla inasikitisha hasa inapotokea Waziri anakosa statements zenye substance na credibility, si vema watu wenye dhamana kama ya ndugu Nape kutoa statements zenye mzaha mzaha, Tanzania sio kisiwa vinywa...
  8. Black Butterfly

    Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

    Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Oktoba 9, 2023 nilikwenda kumpeleka Ndugu yangu pale MOI kwaajili ya kupata vipimo kutokana na hali yake kiafya kusumbua kwa muda mrefu. Kufika pale Daktari akamwandikia kipimo cha Magnetic Resonance Imaging (MRI) ili kubaini tatizo lake. Balaa likaanza...
  9. Z

    Al Merrikh: Timu yenyewe ni ya wakimbizi, haishiriki ligi, inacheza huku ikiwaza mabomu yanavyopigwa nyumbani!! Kuifunga siyo kipimo!!

    Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni...
  10. kilamba lamba

    Msaada: Majibu ya kipimo cha Ultrasound

    Natumai hamjambo humu ndani. Nilikuwa na Swali kidogo hapo. Kwa mwenye kufahamu hili msaada kidogo. Hivi kipimo cha Ultrasound kinaweza kukupa majibu sahihi ya Umri wa mtoto, kwa Mfano labda una muda gani wik ngap Au Miezi mingapi? Je Ultrasound inasoma kuanzia Siku ya mwisho mwanamke kuziona...
  11. Kinyungu

    Kipimo cha DNA chaonesha mafuvu yaliyoporwa na Ujerumani kutoka Afrika yatokea Tanzania

    Moja ya fuvu katika maonesho Makumbusho Berlin Watafiti wa Kijerumani wamefanikiwa kupata kwa uhakika ndugu wa watu ambao mafuvu yao yalichukuliwa na Wakoloni wa Kijerumani kwa ajili ya "utafiti". Watafiti hao wanasema wameweza kupata ndugu wa watu toka jamii ya Wachagga ambao mabaki ya ndugu...
  12. M

    Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

    Tangu Rais Samia aingie madarakani amefanya teuzi nyingi tu na katika teuzi hizo wapo watu wamekaa standby kuangalia majina ya Kizungu (isomeke Kikristo) na Kiarabu (isomeke Kiislamu) ili waone kuwa watu wanaoendana nao kiimani "wameula" zaidi au la! Nataka nieleze sababu za hivyo: 1. Mosi...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Ushauri: Mtanzania asitunukiwe master's degree , PhD au Uprofessor mpaka afanyiwe kipimo cha utimamu wa akili

    Hello! Kwa tunayoyaona makazini, mitaani na serikalini itoshe kusema kuwa hizi elimu za juu zaidi kuanzia Master's na kuendelea mara nyingi wanapewa watu wenye uwezo mdogo kichwani lakini wana uwezo wa kukariri masomo. Kuna baba mmoja kazini ana PhD, yaani ni kituko. Kipindi kile akiwa na...
  14. T

    Kipimo cha HIV na taaruki niliyoipata

    Kama mwezi umepita nilipo pata lile tukio la dharura ikanibidi haraka niwahi kuomba PEP, nikapatiwa ikabidi ni kae zaidi ya mwezi mmoja ili nipime kama hali koje Jana nikajitoa mhanga nikajipima, majibu yakawa clear yani mstari mmoja, kile kipomo sikukitupa nikawa bado nimekiacha mezani...
  15. lee Vladimir cleef

    Niger ni kipimo kingine cha ujinga wa binadamu

    Vita huja kwa ajili ya kuokoa wengi wasijeumizwa na wengine,majeshi yapo kwa ajili ya ulinzi wa mataifa Yao ili yasivamiwe na wakorodi. Ingawa Ni kweli, toka zamani vita zilitumika kuleta usawa pasipokua na usawa,kuleta haki pasipokua na haki,lkn ni vema kutatmini madhara na faida ya vita...
  16. BARD AI

    SI KWELI Kipimo cha Mimba kikiwekwa Majimaji ya Nyanya kinasoma 'Positive'

    Nimekutana na hii stori mtaani kuwa ukiweka Maji ya Nyanya kwenye Kipimo cha Mimba kinatoa majibu yanayoonesha Ujauzito upo. Kuna ukweli hapa na kwanini iwe Positive, Kwanini isisome negative au abnormal test results?
  17. Artifact Collector

    Hiki ndiyo kipimo kidogo cha viongozi wa nchi husika kama wana upeo mkubwa

    Ukienda kwenye nchi yeyote kipimo cha haraka haraka ili ujue viongozi wao wana akili ya kuona mbali angalia mipango miji Mfano kama umeenda western countries, china, japan, au gulf countries kwa mara ya kwanza kabisa kitu ambacho kitavutia macho yako ni jinsi miji yao ilivyopangiliwa na kila...
  18. Kulupango

    SoC03 Zumaridi ni kipimo kwa watu wenye akili na serikali kujirudi na kujitafakari upya

    Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote. Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa? Je mnataka kumpeleka mahakamani, mahakama ipi inayo hukumu kwa kutumia sheria za MUNGU. ? Mnajifanya mna uchungu sana na MUNGU ilihali...
  19. GENTAMYCINE

    Kipimo changu Kikuu kama Mayele ana Akili au ni Mbumbumbu kitakuwa katika hili

    Akikubali kwenda South Africa au Uarabuni ambako atalipwa kati ya Tsh Milioni 70 hadi 85 za Kitanzania kwa Mwezi nitamuona ana Akili ( Kipanga ) Akikubali kubakia Yanga SC kwa Mshahara wa Tsh Milioni 30 au Milioni 35 kwa Mwezi aliyowekewa pamoja na Jimama lake Jipya la Magomeni ( Mfanyabiashara...
  20. B

    Sakata la DP World ni kipimo cha uzalendo. Tunawafuatilia viongozi wetu kwa ukaribu sana

    Kama mzalendo katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu aliruhusu nizaliwe, naona kabisa kwamba hili suala la mkataba kati ya Serikali yetu na DP World ya Dubai, itakuwa kipimo cha uzalendo ambao tunapaswa kutumia katika kuwapima. Tuko tunafuatilia kwa ukaribu sana maoni yenu. Hata wale ambao mmeamua...
Back
Top Bottom