Salama Ndugu zangu?
Maisha hayapimwi kwa wingi wa mali, fedha, dhahabu n.k vinavyomilikiwa na mtu, familia, ukoo, Mtaa, kijiji, Wilaya, Mkoa, Taifa, Bara.
Bali maisha yanapimwa kwà UTU (Akili, Elimu, Maarifa na Maono). Faida za UTU ni kuwa na AFYA kwenye AKILI, kuipa ELIMU uhai, kuyapa Maarifa...
Yanga inayoongoza ligi kuu ya Tanzania inakwenda kuchuana na timu inayoshika mkia katika ligi kuu ya Afrika ya kusini kuwania kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,tarehe 10 May 2023,Fiston Mayele mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania,ataongoza safu ya ushambuliaji kwa timu ya...
Bila kutumia ramli za Mshana Jr 🙊🙊
hebu tazama kwa macho ujipime na ufahamu wako utuambie kuna ndege wangapi hapa
NB: Walio serious kabisa wawawekee na alama😅😅
Habari za humu ndani?
Kuna mazingira niliyokuwa nayaishi miaka mitano iliyopita hayakuwa mazuri kiufupi nilikuwa nakula matunda kimasihara sana afu bila hata ya kuangalia types za matunda yenyewe(kiufupi watu wenyewe tulikuwa hatuendani kabisa yaani)
Sasa bwana kuna kipindi nilijiendekeza...
Hiki ni kipimo sahihi cha kujua kama mpenzi wako anakupenda kweli au anapenda tu pesa zako na hapa naongelea zaidi kwasisi wanaume.
Unakuta mtu ana mpenzi wake wa kike na anajinadi kwa watu kwamba mimi mwanamke wangu ananipenda, umetumia kigezo gani kujiaminisha hayo unayotamka ?
Umeingia...
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kuna ile kwamba mwanamke akiolewa anajiona yeye ndo anapendwa zaidi kwakuwa kaolewa. Je, kuna ukweli katika hili?
Hii mada haichagui jinsi, yoyote anaweza kuchangia.
Akichaguliwa Advocate Moses Kalua nitawaona wana akili, ila akichaguliwa tu Msaliti Murtaza Mangungu nitaamini rasmi na kweli kuwa sisi wana Simba SC ni mbumbumbu (yaani hatuna akili) kabisa.
Haya kazi Kwenu wapiga kura kesho.
Nataka nifanyiwe vipimo vya kiwango Cha uwezo wa kusikia(Hearing capacity). Kutoka mkoa mmoja mpaka mwingine kwa hospital za serikali hasa ukiwa mtumishi wa umma Huwa Ina mlolongo mrefu sana.
Naomba kujua ni hospital ipi naweza kwenda na nkapata huduma hii kwa haraka Ili niendelee na mambo...
Hofu ya uwezekano wa ongezeko la maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kwa miaka ijayo inazidi kutanda mitaani kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya vipimo vya haraka (HIV Rapid test) vya kubaini maambukizi hayo kwa kupima damu.
Uchunguzi uliofanywa kwa zaidi ya wiki mbili katika maeneo...
Wadau habari za mida hii, poleni na jukumu la kujenga taifa kwa wale wapambanaji tuu. Nisiwe na mambo mengi niingie kwenye maada.
Mwaka mmoja una siku zaidi ya 365, kila mmoja huku kajiwekea malengo yake, ila kuweka malengo ni jambo moja na kufikia malengo ni jambo lingine. Na sisi Watanzania...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wana JF
Maana ya kuuliza hivyo kuna siku moja nimeenda zahanati tena ya serikal nmefika pale nikamuelezea daktari hali yangu na yeye akanielekeza kwenda maabara baada ya kufika kule nikapewa chupa cha kuhifadhia mkojo
Cha ajabu
Baada ya kurudisha sampuli...
Nchi hii uzwazwa hautaisha tangu lini mawazo na maoni ikawa tusi kwani hao viongozi ni machifu au mitume. Opofu kila Kona Maoni hayapigwi rungu jibuni hoja Kwa hoja.
Very absurd and huge shame for the Country.
Watu wanatembea na akili za ukipepeo kwenye vichwa vyao.
Anzisheni uraia pacha...
Peace be upon ya' all,
Hili swala limezua mjadala wa mda mrefu sana baina ya madaktari wao kwa wao wakivutana kwa hoja kuntu kabisa.
Je ni kweli UKIMWI hausababishwi na HIV kwamba agenda nzima ni scam na kuwa hakuna kipimo cha kupima HIV bali vilivyopo hupima tu kushuka kwa kinga?
PESA ISIWE KIPIMO CHA UTU; FAMILIA NA TAIFA LITAANGAMIA.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani
Nataka watu waelewe kuwa Maisha hayana maana yoyote Kama hautajali utu wako na utu WA watu wengine.
Tafsiri sahihi ya Upendo ni kujijali utu wako na utu wa wanaokuzunguka.
Koo kubwa zote zenye nguvu...
Mkurugenzi wa Shell, Ben Van Beurden ameitahadharisha Ulaya inaweza kuhitaji kugawanya nishati kwa miaka kadhaa kwani mgogoro uliopo una kila dalili ya kudumu zaidi ya kipindi kimoja cha baridi.
Maoni ya Mkurugenzi huyo anaeongoza kampuni kubwa zaidi barani Ulaya ya mafuta na gesi yanafatia...
Habari JF , Hivi unamkamuaje wananchi kwa Tozo na kodi lukuki katika Nchi ambayo ina Eneo kubwa la kilimo na Uwekezaji, Madini ya kila aina, Gesi, Vivutio vya Utalii vingi na vitu vingi ambavyo serikali ingetumia kuingizia Mapato?
Ni kwamba viongozi tulionao uwezo wao umeishia kwenye Tozo?
Kwa...
Nimejaribu kujiulizaa, hivi akili ya mtu huwa inapimwa na nini? Mpaka inafikia mtu anakuambia hauna akili wewe. Maana ukifeli mtihani unaambiwa huna akili je mtihani ndio kipimo cha akili, ukishindwa kufanya jambo fulani pia utaambiwa huna akili🤔, Kwanini?
Hapa kwa upande wangu nachofahamu kuwa...
Habari jf?
Naomba tushee mawazo kuhusu hili suala.
Nimekutana kimwili na huyu binti toka tarehe 1 August, 2022 bila kutumia kinga.
Leo hii nimejaribu kumpima UPT bila yeye kujua maana alikua anachukua urine test kwenye masuala mengine.
Je, inawezekana mimba kuonekana kwenye rada kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.