Watu wanaoilinganisha CHADEMA na CCM wanakosea na wana uelewa duni wa siasa . Kimuundo au kiutendaji huwezi kuipima CHADEMA dhidi ya CCM, haifai kulinganisha hivi vyama kwa mambo hayo. Utofauti wa hivi vyama huko hivi
CCM ni sawa na serikali au dola, ni vigumu kuchora mstari wa kutenganisha...