kipindi hiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BwanaSamaki012

    Njia bora ya kutumia vizuri kipindi hiki cha masika ni kufuga samaki

    Habari zenu Wakuu? Ndugu zangu masika ndio hii mvua zinazidi kushika kasi kwenye baadhi ya mikoa mingi nchini, huu ni wakati sahihi wa kufaidika na mvua zinazoendelea kunyesha kwa kuwekeza kwenye ufugaji wa samaki kibiashara. Kimsingi kuna aina nyingi sana ya samaki wanaoweza kufugika but...
  2. H

    Watalaam simu zinapata Moto sana kipindi hiki Cha joto je Kuna madhara?

    Habari wakuu..Kipindi hiki Cha joto simu zinapata Moto sana. Hasa hizi simu zetu za tecno yaani Hadi unaogopa kuendelea kuitumia mpaka ipoe hasa ukiwa kwenye mtandao vipi Kuna madhara yanaweza kutokea kwenye machine au injini kiswahili cha simu kinanipa tabu kidogo
  3. Shujaa Mwendazake

    Rais Macron naye ailalamikia US: Mnatufanyia hujuma isiyo ya kawaida katika kipindi hiki kigumu

    Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba nchi yao inaifanyia Ufaransa "hujuma isiyo ya kawaida hasa katika kipindi hiki cha mdororo wa nishati na uchumi kutokana na Covid-19 na mzozo ya...
  4. Teko Modise

    TANESCO tunaomba umeme usikatike kipindi hiki cha Kombe la Dunia

    Najua mpo humu tena ngoja niwatag TANESCO Poleni na majukumu makubwa sana ya kutukatia umeme kila uchwao, sasa mimi nikiwa kama mdau wa soka, kombe la dunia linaanza leo hivyo tunawaomba sana msitukatie umeme mkatunyimba burudani ya soka ambayo huja kila baada ya miaka minne. Kwakuwa TBC1...
  5. Dr Akili

    Huko Nyakato Mwanza tuliambiwa kuna mitambo ya kuzalisha MW 80 kwa kutumia dizeli. Kwanini sasa isiwashwe kwenye kipindi hiki cha uhaba?

    Nadhani ni kwenye awamu ya nne ya JK, mitambo ya kuzalisha MW 80 ilisimikwa huko Nyakato Mwanza ya kutumia mafuta ya dizeli kwa gharama ya mabilioni mengi ya pesa. Mahitaji ya umeme ya jiji la Mwanza hayazidi MW 3, hivyo MW hizo 80 zinatosha kwa matumizi ya kanda yote ya Ziwa Victoria ie mikoa...
  6. PAZIA 3

    Hakuna muda wa kupoteza, YANGA inatakiwa icheze mechi za kirafiki za kimataifa kipindi hiki Cha mapumziko mafupi

    Ni ushauri tu. Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha team yake kimataifa. Tumeona jinsi Tp mazembe alivyopania kuvuka hatua hii maana tayari Jana kacheza...
  7. Ok9

    Mliofiwa na wazazi (mama), mliwezaje kuvuka kipindi hiki?

    Wandugu habari, mama alikuwa mgonjwa na akaanza matibabu ila akiwa hospital akafariki. Hapa naenda msibani, ila siwezi kuvumilia kulia mara kwa mara licha ya kujikaza. Kwa mliopata hii changamoto, mliwezaje kumove on? Nikifikiria ameenda bado mdogo hata 50 hajafika, ni mengi nawaza yananiumiza...
  8. Bushmamy

    Kipindi hiki cha likizo ya sensa Wazazi wawalinde watoto wao, mitaa imefurika

    kuna likizo ndefu kwa ajili ya sensa ya watu na makazi nchini, ambapo wanafunzi kuanzia ngazi ya chekechea hadi vyuo wapo mtaani, na kiukweli mitaani pamefurika kuna kila aina ya makundi na watu wa rika tofauti tofauti. Sasa huu ni muda wa wazazi kuchukua kila aina ya tahadhari kwa ajili ya...
  9. Chizi Maarifa

    Kama nitakuwa nmewakosea Mnisamehe lakini hili pia naomba lifanyiwe kazi kipindi hiki

    Wadau kama nitakuwa nimewagusa sehemu mbaya mnisamehe tu ... Tunapofanya sensa mwaka huu naomba tusiishie tu kuhesabu watu. Tuendelee mbele kidogo. Tuhesabu watu wenye utimamu wa akili. Unaweza ukawa unahesabu mayai ya kuku na kudhani atatotoa vifaranga kumi. Kumbe mayai mengine mengi tu...
  10. peno hasegawa

    Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Hai punguza kupokea rushwa kipindi hiki cha uchaguzi wa chama

    Kwa masikikito makubwa na kwa kilio kikubwa tunakuomba uheshimu chama cha mapinduzi. Umekuwa ukipokea rushwa kwa wagombea wote wanaochukua na kurudisha fomu za jumuia ya wazazi wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro. Bila aibu tena kwa kujiamini. Umekatisha tamaa wanachama wa jumuia ya wazazi...
  11. Zogolo1550

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao jijini DAR

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW). TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO Kwa mawasiliano :0758700852
  12. big dreamer

    Nifanye biashara gani kwa kipindi hiki cha mwezi 1 kwa mtaji huu

    Wasalaam wakuu,,, UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya) Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo lipanga ninunue madirisha na milango nikapachike kwenye kibanda changu mbagala chamanzi,lakin hyo pesa...
  13. BestOfMyKind

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

    Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
  14. Msitari wa pambizo

    Kipindi cha Mr Right mabinti hawataki waume wako kuuza sura tu. Gara B kama uko serious na kipindi hiki fukuza wote

    Nimefuatilia kwa wiki mfululiza sasa kipindi cha Mr Right kinachorushwa na Station ya Startimes kinachosimamiwa na MC Gara B. Nilivyoangalia nimegundua mambo kadhaa ktk kipindi hicho 1. Wadada hawanauhitaji serious wa wanaume. Hivi kweli unaweza ku disqualify mwanaume eti kwa sababu anatumia...
  15. B

    Jonas Mkude anahitajika mnoo kipindi hiki

    Kwa muda alioichezea timu ya Simba na mapitio aliyoyapitia na kuendelea kupata namba katika kikosi cha timu ya Simba mpaka leo; ni wazi kabisa baada ya kupoteza mchezo jumapili iliyopita, Mkude ni mchezaji muhimu mnoo kama atatumika vizuri katika kuhakikisha wenzake wanasahau yaliyopita na kwa...
  16. Bushmamy

    Kipindi hiki ni cha kufunga mkanda haswa

    Karibu kila Mwananchi anajionea hali jinsi ilivo mtaani, ngano bei juu, mafuta ya kupikia,mchele,nk. kulinganisha na hali ya pesa mtaani ilivo mbaya wengi wanashindwa kununua mahitaji ya msingi nyumbani Watu wamekuwa wakilalamika kwenye mitandao bila kujua wafanyeje maana kilio Chao kimekuwa...
  17. J

    Nitalindaje thamani ya akiba ya fedha zangu kipindi hiki cha mfumuko wa hatari?

    Wakuu kwema? Kama mnavyojua kipindi Hiki ni kipindi Cha mfumuko wa hatari duniani more kutokana na changamoto mbalimbali za kidunia Sasa tulioweka akina zetu Benki thamani yake zinaporomoka huku tukiona Mimi binafsi akina yangu niliweka kwenye fedha za kigeni, dollar nikitumaini nitakuwa...
  18. sky soldier

    Trump alikuwa kiongozi imara ndio maana Putin alivamia Ukraine kipindi cha Obama (2014) na anaendelea sasa kwa Biden

    Kipindi cha obama Russia iliivamia Ukraine wakajimegea mkoa wa Crimea. Kipindi hiki cha Joe Biden, Russia anaimega huko ukraine mikoa miwili Kipind cha Trump , Putin hakuthubutu. Kiukweli Obama na Bidden ni maraisi ambao wanapaishwa sana na media kuanzia magazeti mararufu kama New York Times...
  19. K

    #COVID19 Viongozi tunapoelekea msimu wa mvua na baridi chukueni tahadhari. Miaka miwili nyuma kipindi hiki hakikua kizuri! Tubuni...

    Viongoz au matajiri wengi wapo kwenye risk kubwa kiafya pale magonjwa yanapoingia au Hali ya hewa inapobadilika kuliko maskini. Kinyume chake yawezekana maskini ni wengi na wakipatwa na majanga hakuna anayesambaza habari zao ila tajiri au kiongoz akiondoka Dunia inajua. Viongozi wengi tulionao...
  20. R

    Tupeane offer nzuri za simu kipindi hiki cha sikukuu (Samsung Only)

    HABAR WADAU Mambo ni mengi mda ni mchache ni ngumu kwa binadamu mmoja kupata taarifa zote so usishangae kuna offer tamu sana yenye discount ya kutisha ikakupitia hvhv ndio mana nimefungua uzi huu ili wadau tupeane habar simu gan kali zina discount nzuri za samsung kipind hiki cha sikukuu...
Back
Top Bottom