kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Ewe kijana tafuta sana pesa kipindi hiki vyuma vimelegezwa Rais ajaye vyuma vitakazwa upya kwa miaka 10

    Hii nchi mambo hayajawahi kuwa rahisi ila kuna awamu huwa zina nafuu. kipindi cha Mwinyi watu walizikamata sana, kipindi cha Kikwete ilikuwa utawala sana kwa raia na hali ya sasa vyuma vilivyokazwa hapo nyuma vinamwagiliwa grisi nzito. Rais ajae hali inaweza kurudi kuwa vyuma vya kukaza kwa...
  2. Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa

    Habari wadau. Ukweli maisha ya kisasa sio rafiki kabisa kwa dada zangu ama wanawake wote. Wanawake wana biological age tofauti na wanaume. Dada zangu wanamaliza elimu mapema wakiwa ealy 20s tu wameshamaliza masomo. Hapo wapo hot. Sura nzuri. Mayai ya uzazi yapo vizuri ukigusa tu mimba...
  3. Waliandamana kufelishwa na NECTA kwenye elimu ya dini kipindi cha Ndalichako, wamemweka wakwao lakini matokeo ni yaleyale

    Kuna miaka waliandamana ati Dr Ndalichako alikuwa anaharibu matokeo ya vijana wao wenye dini. Sasa hivi yupo mtu wa upande wao lakini hali ni ileile. Ni muda muafaka tuanze kutafuta suluhisho sahihi nje ya mihemko ya imani.
  4. Kipindi unasoma ulikuwa unalipenda na kulichukia somo gani?

    Habari zenu wakuu, Naamini sisi wote humu tumepitia hatua ya kwenda shule kukuza ufahamu na maarifa yetu kwenye maisha. Kwa upande wangu, mimi binafsi nilikuwa nalipenda somo la Hesabu, na nilikuwa silipendi somo la Kiswahili. Vipi wewe Mkuu wangu, ulikuwa unalipenda somo gani na...
  5. M

    Nape na Chalamila mna la kujifunza katika kipindi hiki kifupi

    Nape alijitokeza na kutishia wote waliouliza kuhusu alipo Makamu wa Rais. Kwa kipindi kifupi alipigwa spana Tweeter za kutosha. Hazikuwa spana kavu bali na vifungu vya sheria na katiba na kidogo wakampekua hata mambo yake mengine. Ametulia! Chalamila alijivika Uamiri Jeshi (kwa cheo cha...
  6. P

    Pre GE2025 Makonda: Ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli wangenyooka hawa

    "Mimi ni Mwenezi ninaebadilika kutokana na mazingira, ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli chuma wale jamaa wangenyooka. "Sasa Kipindi hiki na mimi najaribu kuwa na kauli za mama, Mama mstaarabu, unatamani kupiga panch lakini unasema mhhh, mama sio mapigo yake haya. Sasa kwa upendo...
  7. Pre GE2025 Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa kazi; sio kwa maneno, sio kwa kugawa kanga kipindi cha uchaguzi

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 19,2024 ameanza ziara yake kwa kuongea na Wakazi wa Tegeta Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amesema Wabunge, Wawakilishi na Madiwani watapimwa kwa kazi wanazofanya na sio kwa maneno au kujipendekeza kwa...
  8. Naona kama miaka ya 2009- 2013 nyimbo nyingi nzuri sana za mziki zilitungwa kwenye kipindi hicho

    Hi guys nyimbo Kali nyingi zilitungwa kipindi hicho kama vile 1)Dynamite ya taio Cruz 2)International love ya pitbull ft Chris brown 3)Coconut tree ya mohombi 4)Bumpy ride ya mohombi 5)Moves like jagger ya maroon 6)On the floor ya Jenifer Lopez 7)Dj got us fall in love again ya usher...
  9. Hivi yale Maji ya Mvua yanayopenda Kutuama sehemu nyingi Mkoani Morogoro hayawezi Kuhifadhiwa kwa Matumizi ya Kipindi cha Ukame?

    Muda na Nguvu za Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba za Kimedani Adui yako Genius wa Afrika upo ila wa Kutumia Akili Kubwa ya Kuhifadhi Maji mengi yanayozagaa Mkoani Morogoro kutokana na Mvua na Mafuriko ili yaje kuwa Msaada kwa Wakulima Kipindi cha Ukame hatuna.
  10. Mapinduzi Day na DW: Mazungumzo Baada ya Kufanya Kipindi

    Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu. Basi tunapomaliza mahojiano huwa wananiuliza maswali mengi sana kiasi husema kuwa...
  11. Mikasa iliyotokea kipindi wanaigiza filamu za Yesu

    Haikuwa kazi nyepesi kuigiza movie za Yesu. Songombingo lilianza katika ile scene ya msalabani. Scenes zote ilikuwa rahisi sana isipokuwa ile ya msalabani. Kwenye ile movie ya mwaka 1979 ya Yesu iliyoigizwa na Decon, Brian Deacon anasimulia kwenye interview kuwa wakati wa scene ya msalabani...
  12. Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka?

    Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka? #rushamchongo
  13. M

    Krismasi na mwaka mpya ndio kipindi cha wake za watu kwenda kunyanduliwa na ma ex zao kwa kisingizio cha kula sikukuu

    Utasikia goma langu lililoolewa Dar, Mza au Dom limekuja kula sikukuu. Lilivyoniona tu likatabasamu na kug'ata kidole. Mara jamaa yangu nae kalipanga goma lake. Mara kuna goma langu nimeliinamisha fasta jana. Limekuja kula sikukuu ila limeolewa mjini. Ndo ilishabaki ishara ya heshima tu.
  14. J

    Mauaji haya yangefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea sababu sio "dikteta"?

    Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani Soma taarifa hii uone polisi wanavyofanya utekaji na mauaji bila kificho chochote na hawafanywi chochote. ≠============...
  15. Krismasi ni likizo ya kipagani, Yesu hakuzaliwa December 25

    Hakuna ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 25 Disemba na ndio maana baadhi ya makundi ya Wakristo yanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 6 Januari. Wakristo wa Orthodox kama vile wa nchini Ethiopia wao wanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 7...
  16. Inawezekana kulima ngwara kipindi cha kiangazi?

    Wazo hili limezaliwa kutokana na michango ya wazoefu waliomo humu JF wa kilimo cha zao tajwa. Kwa kuwa wazo limezaliwa humu, nimeamua kulirejesha humu ili lipate ukosoaji wenye tija. Kwa mujibu wa wazoefu, inaonekana ngwara ni zao lisilohitaji maji mengi. Hulimwa mwishoni mwa msimu wa mvua...
  17. Ni sahihi kuchimba kisima maji kipindi cha masika?

    Ni sahihi kuchimba kisima cha maji kipindi cha mvua? Sikuwa na mpango wa kukichimba muda huu, lakini mtu anayelihudumia shamba langu kwa sasa kaniambia anaweza kukichimba kwa bei nafuu hadi ayakute maji. Nilipomwambia kuwa visima vianvyochimbwa nyakati za mvua zinaweza kuishiwa maji wakati wa...
  18. R

    Magufuli aliwakosea nini Awamu ya 5 kipindi Cha pili?

    Salaam, Shalom!! Naomba tu kujua, Shujaa wetu, mchapakazi, mpenda watu, mthubutu, mzalendo Magufuli aliwakosea nini? Kutumia vizuri Kodi zetu kufanya makubwa kwa muda mfupi ni kosa? Kwanini Jina lake liondolewe katika Stendi kuu ya Mabasi Dar na wale wale mliokuwa karibu yake? Ikiwa ni Kuna...
  19. Tafadhali kuwe na Programu Maalum ya kuwafanya Mabinti wanaomaliza Darasa la 7 na Form 4 wawe 'busy' kipindi wakiwa Wanasubiria Matokeo yao

    Wanangonoliwa na Wanaume hadi Huruma na wengi Wao hata ukiwaomba upite nao Barabara za Vumbi tupu ili tutokee Yombo Buza kwa Mpalange wala hawakatai na tena Siku zingine Wao ndiyo wanakumbusha Madereva tukuka wapite huko. Hali ni mbaya sana Wakuu hebu tuamkeni na tuje na Suluhisho ili kwa...
  20. Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten

    Wanabodi Nijitambulishe tena na tena, kuwa japo mimi Paskali Mayalla, ni mwandishi tuu wa Habari wa kujitegemea kwa kujitolea, na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, na kwa sasa mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, hivyo kupitia uzoefu wangu wa utangazaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…