Hamjambo!
Sijajua! Wala sio mtaalamu wa masuala ya hali ya hewa.
Ila kwa elimu ndogo ya kitaaolojia ninaweza kusema hakuna kipindi kigumu na kibaya kwa Majobless na watu wasio na hela kama msimu huu wa kipupwe ambapo baridi yenye kukera na upepo wenye kusudi la kupausha vinashirikiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.