kirahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Kwanini kumeongezeka trend ya Watanzania kukamatika kirahisi katika utapeli na watu maarufu?

    Upatu na ponzi scheme zimekula pesa za watu sanaaa, na imekuwa rahisi kuliwa pesa zao kama mtu huyo anaekusanya pesa zao akiwa ni mtu maarufu kwenye mitandao au biashara. Ni tamaa za kupata faida haraka haraka ambazo unakuta wanahaidiwa? Ulimbukeni wetu katika maswala ya uwekezaji?
  2. upupu255

    Video: Tazama mwizi huyu wa simu alivyodakwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe

    Tazama huyu mwizi wa simu alibambwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe
  3. mabutu1835

    Usikubali kushindwa kirahisi kwenye mahusiano

    Asili ya maisha ni kuforce tangu kuingia mimba (wakati wa tendo hadi jasho) hadi kuzaliwa kiasi wengine hadi njia inaongezwa (poleni wanawake). Huo ni mfano mdogo tu wa asili ya maisha kuwa ni mwendo wa kutokukata tamaa na kukubali kushindwa kirahisi. Ukipata demu au mwanaume usikubali kukataa...
  4. Jumanne Mwita

    Umewahi kutapeliwa/umekutana na changamoto gani ya utapeli na ukatapeliwa kirahisi?

    Biashara ya Mtandaoni: Ushuhuda, Mafanikio, na Changamoto za Matapeli Mimi ni mdau mkubwa wa biashara za mtandaoni, na jambo linalonivutia zaidi ni pale tunapoweza kuzungumza na kufanya biashara kwa njia rahisi. Watu wengi wamefaidika na biashara hii, wengine wakitengeneza mtandao mkubwa wa...
  5. KING MIDAS

    Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

    Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana. GHARAMA: 1. Frame...
  6. Dr Luu

    Jitibu chunusi kirahisi sana ukiwa nyumbani kwa gharama nafuu kuanzia tsh. 100/-

    Chunusi na majipu ni matokeo ya maambukizi ya ndani, usawa wa homoni, au sumu ya ndani, ambayo husababisha kuvimba kwa follicles ya nywele na, kwa acne, tezi za sebaceous. Wanapaswa kutibiwa juu ya uso wa ngozi na ndani. Chunusi kwa ujumla hutokea wakati wa ujana na kusababisha vipele vyeupe...
  7. J

    Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  8. SAYVILLE

    Ibenge hawezi kuiachia Yanga kirahisi rahisi

    Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea. 1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila...
  9. Yoda

    Nyama ya bata tamu kuliko kuku ila adimu sana

    Kwa nini japo nyama ya bata ni tamu kuliko nyama ya kuku ila kuku ni maarufu na analiwa zaidi ya bata ? Ni vigumu sana kupata bata mgahawani au hotelini.
  10. Money Penny

    Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

    1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya 2. My dia, kuna wanawake wenzio ambao hawajui kulia kuhusu wanaume, hawajalogwa hawatumii uchawi wala uganga wanatumia...
  11. amoc thedon

    Mkoa nitakaoweza kutoboa kimaisha kirahisi kati ya Dar na Mwanza nikiwa na mshahara wa laki 5 na point

    Ndugu zangu Mimi ni mtumishi wa umma, mshahara wangu ni kati ya laki 5 mpaka 6 kwa mwezi nikiondoa makato na Kodi Hivi Sasa naishi kwenye mkoa wa kawaida kutokana na location ya ajira , hivyo kutokana na ugumu wa maisha minaokumbana nao hapa ikiwa ni pamoja na kukosa kitu cha ziada cha kuongeza...
  12. britanicca

    Meseji Muhimu kuhu Makonda ambayo ilichukuliwa kirahisi japo Rais akaielewa

    Hii ilikuwa ni message kubwa sana, ila hadi leo imechukuliwa kirahisi. JPM aliielewa vizuri ndiyo maana akamwambie akachukue form ya ubunge, halafu akammwaga mazima, huku Ole Sendeka, Mrisho Gambo na Pastory Katambi wakipeta tena kwa mbeleko ya refa
  13. Allen Kilewella

    Bila Maxi Nzengeli, Yanga haiwezi kushinda kirahisi

    Yanga wana tabia ya kuwasifia wacheza sindimba wao, lakini mchezaji wa maana anayeifanya Yanga iwe inashinda kwa sasa ni Maxi Nzengeli. Hao wacheza sindimba kina Chama, Ki na Pacome wanakuzwa tu na walanguzi wa habari za michezo bongo. Maxi Nzengeli asipocheza, Yanga huwa inapwaya Sana.
  14. Eli Cohen

    THREAD ya ku-expose aina tofauti za utapeli unaofanyika ili tusaidiane kutoingia kingi kirahisi.

    Wauzaji feki wa sabuni za kuoshea choo: Unakuta wame print kabisa na tshirt ya jina ya biashara yao. Wana target wale wanaonunua jumla. Ukifungua sabuni unakuta mimaji milaini mitupu. Wanaojifanya Afisa wa TRA: Unakuta mfanyabiashara anapigiwa simu na mtu anaejitambulisha kama mfanyakazi wa TRA...
  15. S

    Usiposhiriki ngono unakuwa umeyamudu maisha kwa asilimia 50% unabakiza kupambania 50 kirahisi

    Habari wapendwa! Katika maisha kila kitu kinashortcut! Hakunaga njia ndefu isiyokuwa na shortcut! Mimi ni moja ya waumini wa kutafta shortcut! Yaani mimi li unipitishe njia ndefu huwa ni lazima nichungulie hatari ya kupita shortcut kama nazimudu au la! Ndiyo maana nina imani iko siku tutapata...
  16. ward41

    Mataifa ya Afrika tulipa uhuru kirahisi, Palestine wanakwama wapi?

    Vuguvugu la Uhuru barani Africa lilianza baada ya ww2. Mwishoni mwa miaka ya 50s, tayari baadhi ya mataifa yakaanza kupata Uhuru tena kwa njia rahisi sana. By 1980, tayari karibia mataifa yote yalikuwa huru Nchi za Asia na Latin America, ni Hivyohivyo. Kwa utajili wa Africa, wazungu...
  17. Mwafrika mmoja

    Ingiza $1 kila siku kirahisi kabisa bila kufanya kazi

    Habari za mchana wakuu, mimi kazi yangu ni kuwasogezea michongo ya online ya kuingiza pesa. Kuna huu mchongo rahisi kabisa unaokupa $1 kila siku kwa simu yako na internet yako bila hata ya kuhangaika kufanya kazi. Kuna hii App inalipa kwa kushare internet yako tu. Ikifika $5 unaweza kuitoa...
  18. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Hebu tujadili hili kidogo ndugu, hivi CHADEMA ni asasi ya kiraia au chamber of commerce?

    Bila shaka awali ilionekana chama hiki ni kama chama cha siasa sawa na vyama vingine, Lakini kadiri muda unavyosonga kinaanza kudhihirisha sababu za uwepo wake Nadhani madhumuni, misingi na malengo ya kuanzishwa kwake yameimarishwa au kuboreshwa zaidi hivi sasa na huenda kinyemela... Infact...
  19. The Palm Beach

    Mch. Peter Msigwa, kwanini umekubali kuingia kwenye mtego kirahisi hivi? Tubu, omba radhi yaishe. Mungu atakusamehe

    Moderator, tafadhali kwa heshima na taadhima, naomba Uzi huu ujitegemee, usiunganishwe. Nataka rafiki yangu Mch. Peter Msigwa au washauri wake wa karibu wauone kirahisi pengine naweza kumsaidia. Ni rafiki na ndugu yangu, akinisoma tu ananielewa kwa code zetu...
Back
Top Bottom