kirahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Time after time Waafrika tunachukulika kirahisi na uchumi wa nchi zetu kukua kwenye graphs za kwenye makaratasi.

    Mimi sio mwana uchumi, niko tayari pia kuelekezwa na kupigwa ILA, Ila naamini Uchumi sio hesabu. Haya ma-graphs ni techniques za serikali zetu kujionesha wanafanya jambo. Binafsi naamini kipimo bora cha uchumi ni kupima ukuaji wa ubora wa maisha wa jamii masikini sana kulingana na huduma...
  2. Pdidy

    Usijiunganishe na watu kirahisi

    Bali mpe Mungu nafasi akuunganishe na watu sahihi Wazo la leo Weekend njema
  3. Webabu

    Roketi za Hizbullah zatajwa kuilemaza mitambo ya kujilinda ya Israel, ndio maana zimepenya na kupiga maeneo ya Israel

    Wakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel kumeleta athari kubwa kwa Israel kujilinda kutokana na maroketi yanayorushwa na kundi hilo kutoka...
  4. Crocodiletooth

    Ili ushinde kesi kirahisi, tafuta mwanasheria anayeshinda mahakamani kwenye ofisi za makarani.

    Kwani wana muunganiko mzuri na makarani na waheshimiwa mahakimu, infact ni timu ya ushindi wa haraka na mapema!. -Wana muunganiko wa karibu mno hata katika kupindisha sheria. # ILALA # KINONDONI # TEMEKE -Intelegency! -Tutaendelea kuanika zaidi hapa!
  5. Mpwayungu Village

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe Ukienda shule za private ambazo ni vinara wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla...
  6. Zanzibar-ASP

    Kwa sasa kuna kila dalili Kamala Harris huenda atamshinda Trump kirahisi kabisa!

    Kinyang'anyiro cha mbio za urais huko Marekani kimeshika kasi, na upepo wa kisiasa ukibadilika karibu kila wiki. Na sasa habari kubwa ni kuhusu Kamala Harris kuanza kuuvuta upepo wa kisiasa kuibeba Democrat. Tangu mwanzoni Kamala Harris hakupewa nafasi yoyote ya kuwa mbadala wa Biden. Biden...
  7. comte

    Hoja za CHADEMA zinajibiwa kirahisi na muda na Mungu

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/biashara/bidhaa-zashuka-bei-wachumi-watoa-somo-4695482
  8. Kaka yake shetani

    Ukitaka wakufunge kirahisi nchi za wenzetu ukwepe kodi, ila kodi yao inafaida kuliko hapa

    Ambao mjasafiri na mnataka kusafiri niwajulishe wenzetu kodi yao ni rafiki sana na inakwenda sawa sawa na utofauti wa vipato na hakuna mtu anaweza kulalamika. sio hapa tanzania bar ya mtaani inauza bia 1500 alafu bar nyengine anauza 3000 leseni sawa. Wenzetu kodi zao unaona kabisa imetenda haki...
  9. Mpigania uhuru wa pili

    Juma Magoma anataka akabidhiwe uongozi wa Yanga SC na asimamie assets zote za timu

    Kwenye hukumu ya magoma yameongelewa mengi ila katika jambo ambalo limenichekesha ni yeye kutaka kukabidhiwa timu na account zote za timu ziwe chini yake kirahis kirahis swala la mtu kutaka kupewa timu kirahsis rahis hiki ni kituko na ni ujumbe kwamba tuliowengi tunapenda short cut na kudandia...
  10. Baba jayaron

    Sababu zinazoweza kumfanya mwanamke asikuache kirahisi

    Mambo vip, Nataka niende straight kwa point, Iko hivi nimekua na changamoto ya kutokuachwa kirahisi na mademu zangu kiasi ambacho washkaji wananiulizaga ni mbinu gani natumia mpaka huaga siachiki kirahisi na wanaokua wapenzi wangu hata kama wakijua natoka na wnawake wengine?? Kwanza nataka...
  11. Technophilic Pool

    Kati ya hizi ipi napata hela kirahisi

    Wazee wa blog
  12. Financial Analyst

    Kama haujawahi kupitia machungu makali ya maisha usiwabeze na kuhukumu kirahisi wanaojitafuta kwa njia ambazo zinaoekana ni mythical.

    Angalau hajakukaba kukupora au kufanya ujambazi wa unyama kupelekea mauti ya ndugu yako. Hivi unadhani kuna mtu yuko tayari kupoteza nafasi ya kuhudimia familia bila ya kuwa omba omba na mfalme wa madeni. Shida na tabu zinachaganya nyie sio hizo mlizonazo na unajua at some point unafuu una...
  13. G

    Mnaosema kuna fixed matches kwanini hamtumii hela zenu zote, kukopa na kuuza mali zenu ili mpige hela kirahisi kwa uhakika mtajirike?

    tunaishia tu kusikia mkitetea fixed matches zipo, kama zipo kwanini hamfaidiki nazo ? Hakuna mwenye uhakika na betting, na ingekuwa hivyo basi betting ingesha collapse siku nyingi. Hizi za wachezaji kujifungisha huwaga ni siri zao na watu wao wachache sana, hata wachezaji wengine ndani ya timu...
  14. Minimini minimo

    Ukizawadiwa tunda kirahisi usile kwa mapepe

    Hey guys wa JamiiForums, Kuna kasumba moja sasa hivi, mwanamke anakuwa na mwanaume wengi kutokana na tamaa binafsi walizonazo wanajikuta wanapata mimba za kushtukiza. Kama mimba ni ya jamaa asimjali huyo mwanamke ataangalia upande wa pili. Kama ulikuwa unamtongoza na anakukatalia utaona...
  15. R

    Jinsi ya kufunga siku 52 kwa Kila mwaka kirahisi kwa afya

    Salaam, Shalom!!! Naamini Kila mtu anajua ya kuwa, chakula ni muhimu Kwa ajili ya AFYA ya MWILI, lakini pia, matabibu wamethibitisha kuwa chakula pia ni chanzo Cha magonjwa mengi tu yanayosumbua watu wengi tangu zamani. Wiki Moja, Ina siku Saba, ukitenga siku moja iwe special Kwa ajili ya...
  16. Mwafrika mmoja

    Biashara ya kutoboa kirahisi Dar 2024

    Habari za Asubuhi wakuu humu ndani natumahi mko poa. Sasa kama mada inavyojieleza hapo juu, mimi nimekuwa nikifanya utafiti mbalimbali hapa Dar es Salaam kuhusu biashara ambazo mtu ukizifanya kwa sasa ni haraka tu unatoboa kimaisha. Miongoni mwa biashara hizo ni biashara ya kuuza nafaka kwa...
  17. Eli Cohen

    Vijana wa 2,000 mnaoanza kutest ganja kirahisi rahisi, sisi Juma Nature alitushauri hivi kwa phrase fupi sana ila yenye maana kubwa sana

    Sir nature alikuwa mfalme wa "the art of street story telling" Katika wimbo wa Jinsi Kijana aliyasema maneno haya na kwa kweli alikuwa sahihi sana kuhusu bangi kutegemeana na asili ya mtu. "Hiyo mibangi tunayovuta ni stimu za kulanduka, kama sio fani yako kwa kweli utaambuka, kijasho...
  18. Eli Cohen

    Je, kuna watu ambao wako systematically prone kwa tabu na mateso na ni vigumu mikosi yao kuondolewa kirahisi kama wengine?

    Hakuna mwanadamu asie kuwa na changamoto. Asilimia kubwa ya watu duniani tunapitia matatizo makubwa mbali mbali ila kuna wale watu ambao utafikiri furaha hata robo sio ridhiki kwao. Unaweza mkuta mmama, mwenye hurka ya kuishi vyema na watu lakini anapitia mateso kutoka kwa mme wake, wifi zake...
  19. G

    Waafrika tunashindana wenyewe, tunaogopa maendeleo ya mwafrika mwengine, tunaridhika tukiwa juu ya mwafrika mwenzetu bila ari ya kushindana kimataifa.

    Ubinafsi umekuwa ni tatizo kubwa sana kwetu Africa kuzidi umoja wa uafrika wetu hasa katika Loyalty ya ukabila / ukoo / mru binafsi, Mwafrika yupo tayari kumnyima nafasi mwafrika mwenye uwezo kwa sababu za ubinafsi aidha hayupo kwenye kabila / ukoo wake, anahofia akimpa atamzidi maendeleo...
  20. sky soldier

    Mtu kujitangaza kaokoka ama watu kumsemea kaokoka ni undumilakuwili, matendo yake ya mafichoni na fikra zake haviwezi kuonekana kirahisi.

    Mimi nimeokoka sikuhizi, Fulani kaokoka baada ya kutoka jela, fulani kaokoka baada ya kuponea chupu chupu ajali, n.k, ni kauli ambazo nikizisikia namrefer mhusika moja kwa moja na ndumilakuwili. Kuokoka huwa ni siri ya mtu binafsi na Mwenyezi Mungu, kwamba yeye anatenda, kufikiri, kunena, n.k...
Back
Top Bottom