Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.
Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa muda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege...