Asasi za kiraia zimetoa wito kwa Serikali ya Marekani chini ya Rais Biden kuwalinda watoa huduma za intaneti nchini Urusi dhidi ya vikwazo. Mashirika hayo yameonya kwamba kukwamisha ufikiaji wa mtandao kutawaathiri wenye mawazo na misimamo tofauti.
Wito huo umekuja ikiwa vikwazo dhidi ya Urusi...
Kumekuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu kusinyaa kwa Nafasi ya Kiraia (civic space), yaani ushiriki huru katika masuala ya kidemokrasia nchini Tanzania kabla na baada ya uchaguzi wa tarehe 28 Oktoba, 2020. Serikali sio tu ilijionesha wazi kukandamiza vyombo vya habari, lakini pia kudhoofisha uwezo wa...
Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amewataka wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge kuwa makini kuepuka kuingizwa kwenye mitego ya kudanganywa na asasi za kiraia zinapotaka ushawishi wa chombo hicho kupitisha ajenda fulani kwa utashi na maslahi yao.
“Bunge huwa ni chombo ha ushawishi...
Mahakama nchini Myanmar imemhukumu jela aliyekuwa kiongozi wa kiraia Aung San Suu Kyi miaka mingine minne, kwa kosa la kumiliki na kuingiza vifaa vya mawasiliano- walkie-talkies kinyume cha sheria lakini pia kuvunja masharti ya kupambana na Covid-19.
Hukumu hii ya pili inakuja, baada ya Suu Kyi...
Katika masuala ya Harambee (fundraising), Tanzania bado hatujaweza kuwa na chombo maalum ambacho kinapaswa kutoa utaratibu pia muongozo katika suala zima la Harambee. Kutokuwa na chombo hiki kwa Tanzania haimaanishi kwamba, Harambee inapaswa kufanywa pasina kufuata taratibu, la hasha. Kuna...
Ndani ya miaka 60 ya uhuru chama cha CCM kimeshindwa kutatua changamoto ndogo kabisa ya maji na umeme halafu wiki hii kuelekea siku ya uhuru 09/12/2021 Rais wa utawala wa kiraia kutoka chama hichohicho anatangazwa kwenye mabango barabarani na mitaani akiwa amevaa mavazi ya kijeshi kuhadhaa uma...
Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu.
Rais Samia...
Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo...
Wakati wa shambulio la Bw. Hamza, tumeona watu wengine kwenye eneo la tukio wakidhani Hamza ni Askari. Hii imekuwa kawaida kuwavalisha Askari wetu nguo za kawaida harafu mnawapa bunduki.
Inasemekana mmoja wa Askari alijeruhiwa na Askari wenzie maana alikwa na bunduki bila ya sare. Juzi...
Nazidi kusikitika kuona utawala na mamlaka ya raia yanapokonywa. Wanasiasa kama unaona huna uwezo wa kuwaongoza hao militant bila kuwaingiza kwenye siasa basi waondoe kwanza jeshini wabaki civilian then ndiyo uwateue.
Kitendo cha karibia mkoa mzima wa Kigoma kuwapelekea wanajeshi kuwaongoza pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.