Mahakama nchini Myanmar imemhukumu jela aliyekuwa kiongozi wa kiraia Aung San Suu Kyi miaka mingine minne, kwa kosa la kumiliki na kuingiza vifaa vya mawasiliano- walkie-talkies kinyume cha sheria lakini pia kuvunja masharti ya kupambana na Covid-19.
Hukumu hii ya pili inakuja, baada ya Suu Kyi...