Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano), kwa kosa la walinzi wake kufanya vurugu na kuvuja mlango na kioo cha dirisha la ofisi ya meneja msaidizi wa uwanja wa CCM Kirumba, wakilazimisha wa maofisa Pamba na wa Uwanja waliokuwa ndani ya ofisi hiyo kutoka nje wakati timu ya...