kirumba

Kurumba is an administrative ward in Ilemela District, Mwanza Region, Tanzania. As of 2002, the ward had a total population of 21,642 according to the national Census of 2002 this was before split from Nyamagana District on 1 October 2012 as Ilemela becomes a District Council where given total of 20 wards, and for the whole District had 265911 comparing with the National Census of 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Santiel Kirumba Aiwezesha Vifaa vya TEHAMA Old Shinyanga

    MBUNGE MHE. SANTIEL KIRUMBA AMEIWEZESHA OLD SHINYANGA VIFAA VYA TEHAMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Eric Kirumba aameiwezesha vifaa vya TEHAMA Shule ya Sekondari Old Shinyanga; Kompyuta Tano na Printer 1 ambavyo vitawasaidia wanafunzi kujifunza kwa vitendo darasani...
  2. JanguKamaJangu

    FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

    Mchezo umemalizika Kibu Denis anaipatia Simba goli la tano akimalizia pasi ya Chama GOOOOOOOOOOOOOOOOO 85' Simba inataka kufanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwa mpigo Sakho anapiga shuti la mbali nje ya eneo la 18, anafunga baada ya kipa kutoka eneo lake 75' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 74' Geita...
  3. Wakusoma 12

    Azam sports media Kwanini Mechi ya Jana CCM kirumba mlifunga kamera upande mmoja tu?

    Baada ya kuitazama Kwa makini mechi ya Yanga na Geita hapo Jana, niligundua ya kuwa Azam sports walifunga kamera upande wa magharibi tu wa uwanja na kufanya matukio makuu yasionekane Kwa ukaribu na usahihi. Azam media ni kampuni kubwa sana kushindwa kuwa na vifaa vya kutosha ni aibu. Tafadhari...
  4. Wakusoma 12

    Hawa Marefa wasipodhibitiwa watatuharibia mpira

    Inauma sana asee, Refa anatoa maamuzi kwa hisia, ama kweli nchi hii ina watu wa hovyo. Maamuzi ya Refa kutoa penaiti dhidi ya Geita Gold hakika hayakuwa sawa. Mchezaji amepigiwa mpira ukafuata mkono lakini pia kama haitoshi mchezaji alikuwa nje ya eneo la hatari. Aibu.
  5. GENTAMYCINE

    Hivi kuna goigoi wa akili anawaza kabisa kuwa leo Yanga SC itafungwa na Geita Gold FC kule CCM Kirumba?

    Uzembe wetu na kufungwa kipumbavu na Azam FC juzi umeshatugharimu na leo ndiyo tunaenda rasmi kuachwa kwa alama (points) tatu (3) na Yanga SC. Na hata kesho kuna uwezekano Mtibwa Sugar FC naye akatudindia na gap likaendelea kuwa la alama (points) tano (5). Na ndiyo maana GENTAMYCINE kwa...
  6. Moshi25

    Matokeo ya kukumbukwa leo Simba kapasuliwa na Yanga Kirumba

    1. Onyango kazeeeka alipewa mwili akaanguka kama gunia la mchanga Mayele huyo anaenda kufunga akaamua kumpasia Zanzibar finest Feisaaaaaaaaalll! 2. Nyoni kushindwa kuvaa vizuri hereni yake akahangaika mpaka refa akamuona na kumtoa nje wakati Simba ishapasuliwa muda huo 3. Simba kuwa mbovu na...
  7. JanguKamaJangu

    ASFC: Yanga Vs Simba lazima mmoja atoke analia leo CCM Kirumba, hakuna sare

    Yanga na Simba zinatarajiwa kukutana katika Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) 2021/22, leo Jumamosi Mei 28, 2022 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, huo ni mchezo wa mwisho kwa timu hizo kukutana msimu huu. Katika mechi zote mbili za Ligi Kuu Bara msimu huu hakuna mbabe...
  8. Greatest Of All Time

    FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

    Ahlan Wasahlan wana JF Ni mtanange wa kukata na shoka baina ya Yanga Vs Simba katika nusu fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho la Azam ndani ya dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Ni mchezo unaozikutanisha timu mbili zenye mafanikio zaidi katika soka la Tanzania. Mara ya mwisho kwa timu...
  9. Riz king

    Simba na viongozi Morrison mmekosea sana kumfukuza mrudishen game ya CCM Kirumba

    Nimeona uchezaji wa mawinga wa simba leo sio stubborn hata kidogo kwa game tough. Morrison katusaidia sana kuleta mivurugano kwa mabeki kwenye game za namna hii. Nawaombeni viongozi wetu tumrudishe dhidi ya Yanga ili mabeki wake wasikae na utulivu na ukizingatia Kirumba pitch yake sio smooth...
  10. Greatest Of All Time

    Geita Gold Fc 0-1 Yanga Sc | NBC PL | CCM Kirumba

    Ni mechi kubwa kwa wapenzi wa soka wa Kanda ya Ziwa. Geita Gold itakuwa inawakaribisha Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC katika Dimba la CCM Kirumba pale jijini Mwanza. Geita imehamishia mchezo huu katika dimba hilo badala ya Nyankumbu ili kuongeza kipato. Kitendo hiko kimekemewa sana na...
  11. GENTAMYCINE

    TAKUKURU Mwanza tafadhali kamateni na zikagueni upesi sana Simu za Mchezaji Adeyoum wa Geita Gold FC na Mratibu wa Yanga SC Bhinda

    Hii Michezo tumeshaicheza mno mpaka pale tulipoamua Kustaafu na Kutubu Dhambi kwa Mwenyezi Mungu hivyo Timu zingine zikifanya Michezo hii akina GENTAMYCINE huwa tunaishtukia na Kuigundua haraka sana hivyo tukisema Watu fulani Wachunguzwe upesi huwa tunakuwa tumeshatonywa na Vyanzo vyetu aminika...
  12. Kurunzi

    Sasa hii ni Sifa, Yanga imeamua kuwafuata Mbao FC huko huko kwao, Mchezo Kupigwa CCM Kirumba

    Mchezo wa kuwania kombe la Shirikisho ASFC utapigwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza 29, January,2022 hii no kwa mujibu taarifa toka TFF.
  13. Kasomi

    Ijue Kirumba jijini Mwanza kwa maandishi

    IJUE KIRUMBA YA JIJINI MWANZA PIA PIGA MISELE NAMI KWA NJIA YA MAANDISHI KIRUMBA Ni eneo kongwe tangia wareno, waarabu, wajerumani , na waingereza wamewahi kuishi kirumba, ni mojawapo ya maeneo ya mwanzo kabla ya uhuru kuwa na miundo mbinu ya bara bara ya lami na changarawe. Umeme, simu na...
Back
Top Bottom