kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. NetMaster

    Stori yangu, Niliacha shule form 4 nyumbani nilidharaulika, nilichekwa nilipoenda kujifunza useremala ambao leo umerudisha heshima yangu

    kwangu niliona shule siwezi tena maana uwezo wangu wa kujifunza ulikuwa mdogo, walimu darasani walikuwa wanafundisha kwa spidi kubwa kuzidi uwezo wangu, vitabu hakuna, sina hela za kwenda tuishen, n.k. Form 4 matokeo yalitoka nina division 4 mbaya sana lakini waziri wa elimu wakati huo...
  2. JanguKamaJangu

    DOKEZO Mwanza: Mtoto wa mwaka mmoja aoza mkono kisa uzembe wa hospitalini, uchunguzi waanza

    Mwanza. Mtoto Nassoro Rashid Nassoro (1) anapigania maisha yake katika wodi za Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na madhara ya kiafya ambayo wazazi wake wanadai ni uzembe wa madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Tanzanite Jijini Mwanza. Matatizo ya mtoto Nassoro...
  3. Ali Nassor Px

    Rafiki yangu alijiua kisa mapenzi

    Mara nyingi sana huwa nikisikiliza nyimbo ya BUSHOKE na JULIANA KANYOMOZI " usiende mbali ". Huwa anamkumbuka rafiki yangu JAMES mapenzi tu ndo kilikuwa chanzo cha kifo chake. Jamani tunatakiwa tujue maisha mafupi sana haya lakini kuna mtu anaweza akayafanya yakawa maisha mafupi zaidi kwako Au...
  4. MK254

    Mwanajeshi wa Urusi adukuliwa akilaani na kutukana kisa mapigo ya HIMARS

    Anasema mto umefurika miili ya wanajeshi wa Urusi, alikua anaongea na mkewe kwa simu, anatukana balaa na kulaani... "F***ing HIMARS s**t. They are long-range and our tank was hit too....," the soldier allegedly said, referring to the U.S.-supplied M142 High Mobility Artillery Rocket...
  5. Roving Journalist

    Ismail Ramadhan, aliyemuua mwenzake kisa mapenzi, ahukukumiwa mwaka mmoja jela

    Hakimu Mkazi Mkuu, Joyce Minde, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu amemuhukumu mkazi wa Vingunguti, Dar es Salaam, Ismail Ramadhan, kwenda jela mwaka mmoja, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mwenzake bila kukusudia wakiwa wanagombania mwanamke. baada ya mshitakiwa kukiri kosa...
  6. Notorious thug

    Kisa cha Zakayo mtoza ushuru na Mwigulu Nchemba kwa ufupi

    Zakayo kwa Kiebrania Zakai(msafi,mnyoofu) alikua mkuu wa watoza ushuru na tajiri, alipata kibali cha kutoza kodi na mapato na kiasi kilichozidi alikiingiza mifukoni mwake. Aliishi maisha ya kifahari na kuponda mali. Zakayo alimsaliti Mungu na taifa lake . Wakati Yesu...
  7. MK254

    Msongo wa mawazo, Mwanajeshi Mrusi auwa maafisa wa FSB kule Kherson, kisa ulevi

    Hali inazidi kuwa balaa, Kherson kunawaka moto, Warusi wameingiwa na msongo wa mawazo hawajui wanachopigania kwenye nchi ya watu, huyu kalewa mipombe na kufanya yake kwa wenzake...... A Russian soldier shot dead two FSB officers in occupied Kherson after he was caught swigging alcohol while in...
  8. Etugrul Bey

    Tunajifunza nini katika kisa cha Yusuph

    Hakika katika matukio ambayo tumesimuliwa katika vitabu vitakatifu yapo mambo mengi ya kujifunza....usisahau popcorn au korosho pembeni yako huku unapata madini! Jambo la Kwanza ni Usiri katika mambo yako....binadamu sio watu hata kidogo ingawa machoni ni kama watu lkn katika nyoyo zao hakuna...
  9. Liverpool VPN

    Kaka anataka kuvunja ndoa kisa mdomo wa mkewe!

    Habarini Wana JF.. Ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A YANGA BINGWA. Sasa story iko hivi.. Juzi nilisafiri kwenda Mbeya (hata navyoandika huu Uzi nipo Tunduma@Songwe) kufatilia bidhaa fulani hivi. Safari yangu ilianzia Morogoro. Nilivyopanda basi la NEW FORCE ndani ya basi nikakutana na baba...
  10. Nobunaga

    Mume kizimbani kwa kutishia kumuua mke kisa kupeleka chakula kwa mchungaji

    Japo kutishia kuua ni kosa, ila alilofanya huyu dada ni ujinga na upumbavu kwa wakati mmoja. Hatukatai mtu kumtolea Bwana sadaka ila aina hizi za sadaka ni dhambi si sadaka tena. --- Joseph Moses dereva wa ‘bodaboda’ mkazi wa Mbeya anayekabiliwa na shtaka la kutishia kumuua mkewe kwa maneno...
  11. Idugunde

    Wanazuoni: Tozo mpya ni batili hazifai. Mwigulu Nchemba amekurupuka. Double taxation haikubaliki

    Hii ni hatari kwa walalahoi na wavuja jasho. 👇 Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda kinyume na misingi inayokubalika duniani na haipaswi...
  12. Idugunde

    Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

    Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Ibara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi? TAMKO LA TRC Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa...
  13. Mohamed Said

    Kisa Cha Yusuf Athumani Marsha, Peter Mbimbwo na Julius Nyerere Mwanza 1950s

    KISA CHA YUSUF ATHUMANI MARSHA, PETER MBWIMBO NA JULIUS NYERERE MWANZA 1950s Tuanze na Peter Mbwimbo. Peter Mbwimbo ameandika kitabu, ''Peter D. M. Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere.'' Wakati TANU inaundwa na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika zinaanza Peter Mbwimbo alikuwa katika...
  14. sifi leo

    Anasubiria walisahau Ili ajiuzie ndio maana amelificha kichakani

    Wajua kwa vijana wa hawawezi amini ya kuwa wizi katika taasisi za umma hasa ubadhilifu wa Mali za umma ilikuwa ni miongoni mwa maadili ya watumishi wa umma Ili waajiriwe. Yaani kuna kipindi Ili upate ajira serikali I ulitakiwa kusema wazi yakiuwa wewe upo tayari kuwa kibaka ndo unapata ajira...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kisa cha Yanga na pori la nyuma ya nyumba

    Kule kwetu siku za nyuma, nyumba ilijengwa nyuma ikiwa na pori dogo. pori hili lilikuwa mahsusi kwa kujisaidia wanawake, wagonjwa, wazee na watoto. pia mbali ya nyumba, umbali kama kilometa nne kulikuwa na pori kubwa sana, hili lilitumika na vijana pamoja na kina baba wenye nguvu kujisaidia...
  16. MK254

    Kipindi cha miezi michache Iran imenyoga raia wake 251, wengine kisa migogoro ya kwenye ndoa

    Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana. Iran executed at least 251 people in the first half of 2022, including women defending themselves against domestic...
  17. Zero Conscious

    Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana. Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni introvert. Nina...
  18. Suley2019

    Njombe: Mtoto ajiua baada ya kufokewa na baba yake

    Mtoto mmoja Wilayani Makete mkoa wa Njombe amekutwa amefariki kwa kujiua kutokana na kunywa sumu baada ya kuonywa kwa kufokewa na Baba yake aliyekuwa akimuonya baada ya kuwaacha punda waliokwenda kula mazao kwenye shamba la Watu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issah amesema Mtoto huyo...
Back
Top Bottom